Why did you disown your brother/ Ni sababu ipi iliyokufanya uvunje undugu na Kaka yako wa tumbo moja?

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,608
15,677
Wataalamu wa mambo wanasema ' Words are more powerful than blood" Ndio maana if your biological father decree and declare that ' from now Ur no longer his son then you become as good as a stranger to him".

Nakumbuka Kuna Jamaa alikuwa disowned na Baba ake mzazi way back in 2001.

NI hivi Jamaa alikuwa ndio Kwanza kamaliza form six anasubiri majibu. Familia yao ikatembelewa na dada mdogo wa Baba wa familia. " Shangazi". Huyo Shangazi alikuwa mdogo kiumri Kwa Jamaa. I think ni zile ishu za wazee wa zamani kuoa wanawake wengi, mtoto wa kwanza anazaliwa mwaka 1950 mtoto wa Mwisho anazaliwa mwaka 1993.

So Jamaa akaanza kupitia na Shangazi yake mwisho wa siku Shangazi akapata ujauzito.

Kofi la Kwanza Kofi la pili akamtaja Jamaa ndio mhusika WA ujauzito . Baba MTU nusura azirai.

Fast foward mhusika wa ujauzito katika kuzurula anamkuta Mshua yupo sebuleni.

Mtoto : Mzee shikamoo.

Dingi: Marahaba shemeji hujambo?

Mtoto : " Butwaa".

Dingi: Vipi shemeji mbona unashanga?

Kabla Jamaa hajajibu dingi akaanza kufunguka " Kweli wewe kijana nimekusomesha kuanzia la kwanza mpaka kidato cha sita ( tena english medium ) halafu eo una diriki kutembea na dada yangu ambae tumeshare wote baba mmoja!!! Kweli!!! Kijana wa miaka 20 hujui shangazi ni nani kwako mpaka unatembea nae? "

Kwa kuwa umetembea na dada angu basi kuanzia leo wewe sio mwanangu tena. Wewe NI shemeji yangu..

Mwisho wa siku:

Dingi hakumpeleka Chuo. Jamaa alifukuzwa kwao. Kwa ufupi maisha yake yaliharibika.

Personally mwaka 2016 I disowned my own biological brother.

Yeye ndio. kaniachia ziwa.

At the time he was 34 years old.

A Engineer Graduate.

Pombe Kali na bangi ndio life style yake.

SABABU YA KUM DISOWN
Mwaka Huo watoto WANGU wawili WA kiume walienda Kwa Bi mkubwa wangu kutembea (walipewa ofcourse)

Their age

1 was four years old.

The other one was 2 years old.

He took them to a place where he used to drink " pombe Kali " with his cohorts.

Akawanywesha konyagi.. Glass moja. Though watoto wanasema walitema ila aliwalazimisha wakanywa
.
Alivyo Rudi nao nyumbani watoto walikua wanajisikia vibaya Sana. Walivyo kaa vizuri wakasema " uncle katunywesha pombe" Pombe gani? Ile IPO kama maji ".

Alipo ulizwa kwanini umefanya hivyo akasema ' haaa ni rafiki zangu wajinga".

Bi mkubwa alinificha Kwa sababu nahisi alijua kama ningejua siku hiyo Leo hii Jamaa angelikuwa futi Sita Chini ya ardhi

Nilikuja kufahamu baada ya wiki mbili baada ya watoto kurudi likizo kutoka Kwa Bibi. Watoto walishitakia kwangu.

To cut story short: Nilitaka kumuweka ndani but baada ya kufikiria kuhusu usumbufu nitakao upata nikapotezea ishu ya kumuweka ndani.

Instead Nika m dis own officially. He tried to reconcile with me several times but nilisha fanya maamuzi tayari.

My own brother you do this kind of a thing to my sons who are still toddlers?!!!

Unataka kuniharibia watoto WANGU?

WHAT ABOUT YOU? SHARE UR EXPERIENCE
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
10,810
13,344
Maisha...
Kutokana na mfumo wa maisha tunayoishi sasa, aina ya matendo, tabia na matukio mfano wa aliyosema hapo hayana budi kuwepo katika jamii.

Jamii haina Upendo, Ushirikiano, Kukutana nk, unakuta mtu ma nduguye hawajakutana mwaka mzima na hawajawahi kukutanisha watoto wao, ...

Kuna visa vingi sana na havijatangazwa vya ndugu kuzaa pamoja, kuwekana unyumba au kutongozana na kuwa na mahusiano, hali hii inasababishwa na wazazi walio busy, wachoyo na wasiopenda kushirikiana na ndugu yake au akiwa masikini au asiyejiweza.

Mtoto kakulia mjini, boarding mpaka 16yrs old hajui kijijini kwao walipo ndugu, siku anakutana na handsome/cute one katokea shamba kumbe ni bamdogo/mamdogo, na ndiyo 'penzi kikohozi...' !

Yote kwa yote dunia na wakaazi wake hawana budi kujiweka tayari kwa dhoruba kali hasa wazazi wenye watoto na hawana muda kuwaunganisha na ndugu zao upande wa pili.
 
olele

JF-Expert Member
Dec 2, 2010
1,293
1,524
Wataalamu wa mambo wanasema ' Words are more powerful than blood" Ndio maana if your biological father decree and declare that ' from now Ur no longer his son then you become as good as a stranger to him".

Nakumbuka Kuna Jamaa alikuwa disowned na Baba ake mzazi way back in 2001.

NI hivi Jamaa alikuwa ndio Kwanza kamaliza form six anasubiri majibu. Familia Yao ikatembelewa na dada mdogo wa Baba wa familia. " Shangazi". Huyo Shangazi alikuwa mdogo kiumri Kwa Jamaa. I think ni zile ishu za wazee wa zamani kuoa wanawake wengi , mtoto wa kwanza anazaliwa mwaka 1950 mtoto wa Mwisho anazaliwa mwaka 1993...
kaka yako amefanya upuuzi wa hali ya juu kabisa, lakini msamehe tu, na maadam ameomba msamaha mara kadhaa, anaonekana ameshajua na kujutia ujinga wake. Msamehe
 
GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,438
18,913
Mimi kaka yangu/Vmdogo wangu/Vdada yangu au mwanangu sidhani kama naweza kum disown. Nitachukia tutagombana pengine hata kupigana lakini mwisho wa siku tutasameheana. Hata kama haitakua tight kama zamani ila tutasameheana.

Nadhani damu nzito kwangu kwa namna hio. After all mimi mwenyewe nina makosa yangu kibao niliwafanyia. Ila tunasameheana na tunasonga mbele. We ar not perfect
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
10,456
15,503
Mimi kaka yangu/ mdogo wangu/ dada yangu au mwanangu sidhani kama naweza kum disown. Nitachukia tutagombana pengine hata kupigana lakini mwisho wa siku tutasameheana. Hata km haitakua tight kama zamani ila tutasameheana.

Nadhani damu nzito kwangu kwa namna hio.
After all mimi mwenyewe nina makosa yangu kibao niliwafanyia. Ila tunasameheana na tunasonga mbele. We ar not perfect
MKUU usimalize maneno jamaa alikata undugu na ndugu yake sababu jamaa alimchapia mkewe tena sio kama alikua hajui nikwamakusudu

Kwamfano hapa kama ungekua wewe ungefanya nini ?!

Naumepata uhakika kama jamaa anatembea na mkeo naninduguyo
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,608
15,677
mkuu,msamehe kaka yako,kwa navoona inaonekana hakuwa sawa kiakili,ni jukumu lako kumtafutia tiba,walevi wa kupindukia wengi huwa na matatizo ya kisaikolojia.samahani lakini
Forgive them but don't hang up with them. Nilisha msamehe but nilishafuta undugu tayari.

Ameanza kunywa pombe toka mwaka 99. Alikusudia . I know him. I had two options 1. To eliminate him 2. To disown him.

I chose the lesser evil.

And haombi msamaha Kwa kusema alikosea. Anasema hakufanya hivyo
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,608
15,677
Mimi kaka yangu/mdogo wangu/dada yangu au mwanangu sidhani kama naweza kum disown. Nitachukia tutagombana pengine hata kupigana lakini mwisho wa siku tutasameheana. Hata km haitakua tight kama zamani ila tutasameheana.

Nadhani damu nzito kwangu kwa namna hio.
After all mimi mwenyewe nina makosa yangu kibao niliwafanyia. Ila tunasameheana na tunasonga mbele. We ar not perfect
Vipi Kaka ako wa damu akitembea na binti yako?

Vipi akimlawiti Kijana wako?

Vipi aki wapa mchoro majambazi kuvamia nyumbani kwako na kupora Mali kuiba etc.?

Udugu ni kufaana sio kufanana.

Kama yeye amekuwa na roho ngumu kiasi cha kukufanyia unyama kwanini na wewe usivae na roho ngumu kidogo tu na kufanya uamuzi wa kum disown
 
mkuu wa kijiji

JF-Expert Member
Apr 7, 2017
930
1,011
Kaka yako au mdogo wako akienda Kwa mganga wa kienyeji na kuambiwa wewe ndie unatembea na nyota yake? Utafanya nini
 
Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
54,023
122,763
Kum disown ndugu ni uzwazwa, inaonesha how weak you are as a human being. Hayo mambo waachieni akina Kaini.

Wewe ningekupa bro wangu kwa maudhi anayotufanyia as a family ungekuwa uko keko ama Segerea siku nyingi mno. Akipiga hela anaenda kulewa anakuja kumtukana mshua saa nane za usiku, na kugonga mawe dirishani kwake mara anataka kupigana nae. Several times mzee alitaka amtie hata shoka la kichwa ila namtuliza hasira tu anamuacha. Saingine anakuja kunivuruga hadi mimi by that time nilikuwa nakaa home sijaondoka bado.

Unamfungulia mlango saa 7 usiku umelala akifika chumbani anataka muongee ukimkaushia anakuamsha na nakoz😂😂😂 mnaanza ngumi usiku.

Unaeza shangaa boxer zako au nguo huoni kumbe amekuibia kijanja, ila atakataa kata kata hajachukua. Pesa ananyofoa kwenye suruali yako, we utashangaa anavuta sigara mingi tu na vitoko. Ukija kusanuka anakuruka futi 100 na mnaweza mkakunjana mashati kabisa.

Ashafikia stage anataka choma nyumba ya mzee ili amkomoe Bi.mkubwa ambaye ni mama wa kambo. Hiyo ni baada ya kumdunda mara nyingi baada ya kukatazwa asiwashe fegi jikoni kwake.

Achilia mbali dhamana ambazo nishamuwekea stakishari, external na buguruni hazihesabiki yani! We unasemea ndugu yako mbaya unamsusa kisa kawapa pombe watoto tu?
 
jr.kiyn

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
752
4,474
Dah!! haya mambo yapo Sana hasa pale mkubwa anapokua au kuleta utemi hata kama yeye ndio mwenye kosa. Lakini kubwa nilikuja kugundua kiburi cha pesa tu mana kabla hajatusua mie ndiye nilikua jembe lake hivyo akahisi ana deni kwangu akaamua kuniweka mbali mwaka WA 7 no salamu no phone ata tukikutana no hi,dah maisha haya!
 
Sam mirror

JF-Expert Member
Sep 29, 2018
1,344
1,865
Unavunja undugu na bro wako, kisa upuuzi huo. Amekosea sawa ni ishu ya kukaa chini kumuambia sitaki hiki, kisa umefanya kumzidi bro wako ndo unaleta ujuaji kaka ni Kaka TU.

Ushauri kamuombe msamaha Kaka ako.
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,608
15,677
Kum disown ndugu ni uzwazwa, inaonesha how weak you are as a human being. Hayo mambo waachieni akina Kaini.

Wewe ningekupa bro wangu kwa maudhi anayotufanyia as a family ungekuwa uko keko ama Segerea siku nyingi mno. Akipiga hela anaenda kulewa anakuja kumtukana mshua saa nane za usiku, na kugonga mawe dirishani kwake mara anataka kupigana nae. Several times mzee alitaka amtie hata shoka la kichwa ila namtuliza hasira tu anamuacha. Saingine anakuja kunivuruga hadi mimi by that time nilikuwa nakaa home sijaondoka bado.

Unamfungulia mlango saa 7 usiku umelala akifika chumbani anataka muongee ukimkaushia anakuamsha na nakoz😂😂😂 mnaanza ngumi usiku.

Unaeza shangaa boxer zako au nguo huoni kumbe amekuibia kijanja, ila atakataa kata kata hajachukua. Pesa ananyofoa kwenye suruali yako, we utashangaa anavuta sigara mingi tu na vitoko. Ukija kusanuka anakuruka futi 100 na mnaweza mkakunjana mashati kabisa.

Ashafikia stage anataka choma nyumba ya mzee ili amkomoe bi.mkubwa ambaye ni mama wa kambo. Hiyo ni baada ya kumdunda mara nyingi baada ya kukatazwa asiwashe fegi jikoni kwake.

Achilia mbali dhamana ambazo nishamuwekea stakishari, external na buguruni hazihesabiki yani! We unasemea ndugu yako mbaya unamsusa kisa kawapa pombe watoto tu?
Kaka nikikupa story za HUYU Jamaa niliye mdisown u will consider Ur brother's story as a Child Play. Jamaa ni mzinguaji Sana halafu mbaya zaidi ni graduate wa chuo kikuu..
 
LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
10,608
15,677
Unavunja undugu na bro wako, kisa upuuzi huo. Amekosea sawa ni ishu ya kukaa chini kumuambia sitaki hiki, kisa umefanya kumzidi bro wako ndo unaleta ujuaji kaka ni Kaka TU.

Ushauri kamuombe msamaha Kaka ako.
Haya Bana Ila usiombee yakukute. Anyways ningesema niweke visa vyake hapa space isinge tosha.

Better disown him than killing him
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
1,731
5,985
Msamehe tu mzee, weka kichwani kuwa bro wako sio wa kumwachia watoto lakini undugu uendelee.

Maisha yako very dynamic, nilijifunza zamani kuwakubali watu na mapungufu yao, wala huwa sihangaiki kumshauri mtu. Inawezekana kwenye mitazamo yao pia wananiona nina mapungufu mengi. So we just learn to accept each other.
 
Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
18,091
38,521
Forgive them but don't hang up with them. Nilisha msamehe but nilishafuta undugu tayari.

Ameanza kunywa pombe toka mwaka 99. Alikusudia . I know him. I had two options 1. To eliminate him 2. To disown him.

I chose the lesser evil.

And haombi msamaha Kwa kusema alikosea. Anasema hakufanya hivyo

dah!!.lakini Gongo inashusha sana heshima,kuna mwamba alimnywesha mtoto wa dada yake,ila alisamehewa,sasahivi amefikia point of no return
 
Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
11,645
19,046
Kum disown ndugu ni uzwazwa, inaonesha how weak you are as a human being. Hayo mambo waachieni akina Kaini.

Wewe ningekupa bro wangu kwa maudhi anayotufanyia as a family ungekuwa uko keko ama Segerea siku nyingi mno. Akipiga hela anaenda kulewa anakuja kumtukana mshua saa nane za usiku, na kugonga mawe dirishani kwake mara anataka kupigana nae. Several times mzee alitaka amtie hata shoka la kichwa ila namtuliza hasira tu anamuacha. Saingine anakuja kunivuruga hadi mimi by that time nilikuwa nakaa home sijaondoka bado.

Unamfungulia mlango saa 7 usiku umelala akifika chumbani anataka muongee ukimkaushia anakuamsha na nakoz mnaanza ngumi usiku.

Unaeza shangaa boxer zako au nguo huoni kumbe amekuibia kijanja, ila atakataa kata kata hajachukua. Pesa ananyofoa kwenye suruali yako, we utashangaa anavuta sigara mingi tu na vitoko. Ukija kusanuka anakuruka futi 100 na mnaweza mkakunjana mashati kabisa.

Ashafikia stage anataka choma nyumba ya mzee ili amkomoe Bi.mkubwa ambaye ni mama wa kambo. Hiyo ni baada ya kumdunda mara nyingi baada ya kukatazwa asiwashe fegi jikoni kwake.

Achilia mbali dhamana ambazo nishamuwekea stakishari, external na buguruni hazihesabiki yani! We unasemea ndugu yako mbaya unamsusa kisa kawapa pombe watoto tu?
Huyo anatakiwa kuadabishwa kabisa.....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

4 Reactions
Reply
Top Bottom