Saa 6 usiku inatumika

kilamba lamba

JF-Expert Member
May 27, 2020
367
679
Habarini wana nnzengo wa JF, natumai wote ni wazima.

Kuna jambo niwashirikishe labda mtanisaidia wakuu, haiwezekani unapiga simu ya mpenzi wako saa 6 usiku inatumika halafu akwambie alikuwa anaongea na dada yake. Sasa mimi nimekaza nimemwambia siwezi kumuelewa mpaka aniambie alikuwa anaongea na nani muda huo na screenshots zote nazitaka.

Yaani nahisi kudanganywa wazi wazi, halafu namwambia kajibu powa, sasa anijui vizuri huyu.

NB: Siyo mbaya naona malaika mtoa roho analimendea penzi langu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom