saa

  1. BigTall

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi ifanyie kazi ishu ya wachezaji kuunguzwa na nyasi mechi za saa 8 mchana, Simba na Yanga wasiwe watoto special

    Kuna kitu kimoja ambacho kimekuwa kikilalamikiwa chinichini mara nyingi kwenye ulimwengu wa soka. Ishu ya baadhi ya timu kucheza saa nane mchana wakati wa jua kali imekuwa ni kama kilio cha baadhi ya timu ambazo zinaonekana hazina nguvu kubwa. Simba na Yanga wao ni wakubwa, TFF na Bodi ya Ligi...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

    Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria. RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kabla ya Saa 7 Kamili Mchana leo mniambie mnataka Kocha Pablo aanze na Kikosi kipi Kati ya hivi Viwili viifuatavyo?

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Kennedy Juma 5. Henock Inonga 6. Jonas Mkude 7. Pape Ousmane Sakho 8. Rally Bwalya 9. Kibu Denis 10. Meddie Kagere 11. Bernard Morrison Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Pascal Wawa 5. Henock...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Picha: Kamati ya mapokezi ipo tayari saa Kumi kujua next assignment

    Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport. Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Maswali yote kuhusu mechi ya Simba kuchezwa saa 4 usiku asiachiwe Ahamed Ally kuyajibu

    Mechi kati Simba vs US Gendamarie itachezwa saa 4 usiku siku ya jumapili kuamkia jumatatu siku ya kazi. Hii ni mara yetu ya kwanza kuwa na kitu kama hiki nchini kwetu. Inafahamika kuwa Uwanja wa Mkapa uko pembeni mwa jiji hasa kwa watu wanaotoka Ilala, Kinondoni, Ubungo, Kawe, Bagamoyo, Kibaha...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC mmefanya Makosa makubwa sana Kukubali Mechi na Gendarmerie ichezwe Saa 4 Usiku na si Saa 1 Usiku

    Leo naomba nitoe Elimu Kiduchu ya Unujumu ( Uchawi ) ni kwamba mara nyingi Jini la Simba SC huwa linakuwa 'Active' sana kati ya Saa 10 hadi Saa 12 na Saa 1 hadi Saa 3 na hiyo ya Saa 10 hadi Saa 12 nayo huwa ni Siku za Jumapili tu na siyo Siku za Jumamosi au Jumatano. Kwa muda wa Saa 1 Usiku...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mtoto chini ya miaka 10 kumkatisha usingizi kisa masomo uchwara; Saa 11 Alfajiri?

    Kwema Wakuu! Shida zako zisikufanye uwe Mpumbavu kiasi hicho mpaka umtese mtoto wako WA kumzaa mwenyewe. Yeye anamakosa gani gani umtese hivyo. Yaani matatizo yako ya maisha unavyodhani yalisababishwa na wewe kutokusoma ndio unahamishia hasira na Mateso yote Kwa mtoto, huo ni upumbavu...
  8. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mchezo wa Simba Vs USGN ni saa 4:00 Usiku Aprili 3, 2022

    Shirikisho la Soka la Afrika (CAF) limeamua mchezo wa mwisho wa Hatua ya Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika katika ya wenyeji Simba dhidi ya Union Sportive Gendarmerie Nationale (US Gendarmerie) kuwa utachezwa saa nne usiku. Hiyo itakuwa ni mara ya kwanza kwa mchezo wa soka ngazi ya labu...
  9. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Senegal Vs Misri inaanza saa ngap kwa majira ya Tanzania?

    Mwenye taarifa naomba ansaidie il nijiandae nkachek mech kubwa na tam
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Unajua Saa ya Dunia?

    Tangu mwaka 2007 Dunia hutumia Jumamosi ya Mwisho ya Mwezi wa tatu kuadhimisha Saa ya Dunia. Siku hii ambayo kwa mwaka 2022 imeangukia Machi 26 huadhimishwa kwa kuzima ta zote za umeme kwa muda wa saa moja Umoja wa Mataifa ‘UN’ umetangaza kushiriki maadhimisho haya na watazima taa katika...
  11. nyboma

    JamiiForums Tanzania Ni uzembe sana kwa mwanamme kulipia room (hoteli) usiku wa saa nane kisha uka CASHOUT asubuhi ya saa mbili

    Ni uzembe wa hali ya juu sana kwa mwanamme kumtamani mwanamke katika maeneo ya starehe, unamnunulia vinywaji, unaondoka nae lets say saa nane usiku unampeleka katika hoteli unalipia gharama zote halafu ikifika saa mbili ama tatu una CASH OUT. Huu ni ujinga na uzembe wa hali ya juu, kwangu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye uzoefu na aina ya wanawake ambao wanadai wametingwa na shughuli kila saa

    Hi guys kwenye mahusiano yangu yaliyopita sijawahi kusumbuliwa na wadada wakati wa kutongoza kwa style hii Kuna mdada nlionana naye juzi, nikamwomba namba tuchat akanipa kirahisi, nikamtext jioni hiyo alijibu, shida ni kuwa Kila nikimwomba nikutane nae sehem ya canteen au public place anadai...
  13. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Yanga ipo saa ngap?

    Mech ya Yang dhid ya Tim ya taifa ya Somalia inachezwa saa ngap?? Mweny taarifa sahihi naomba unijuze
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Chechnya amuomba Putin awaruhusu makamanda wake wafanye mashambulizi ya kushtukiza na mabaya zaidi ili waimalize vita ndani ya saa 48

    Mshirika mkubwa wa rais Putin ameomba mashambulizi ya kushtuza na mabaya zaidi yaruhusiwe na Putin nchini Ukraine ili majeshi ya Ukraine yasalimu amri ndani ya siku moja au mbili. Ramzan Kadyrov ni kiongozi wa Chechnya ambaye ana cheo cha Meja Jenerali ktk mojawapo ya majeshi ya Russia na pia...
  15. Superbug

    JamiiForums Tanzania Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni Siasa? Tanesco? Maji? Gesi? Mitambo chakavu? Hujuma? Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
  16. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Unatuma Pesa ya nauli Kwa mwanamke, kumbe ni mke wa mtu, mara baada ya kutuma nauli mume wa mwanamke huyo anakutumia ujumbe huu na video hii

    Asante Sana kaka Kwa kumtumia mke wangu nauli. Na mimi nimekatamo ka Hela ka pombe .
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nawaombeni sana Mechi zetu Mbili za Berkane na Gendamarie zote tuchezee Uhuru na siyo kwa Mkapa tena Saa 9 Alasiri

    Kwanini......? 1. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mdogo hivyo utawapa Changamoto akina Gendamarie na Berkane wanaopenda na waliozoea Viwanja vyao Vikubwa huko Kwao Niger na Morocco hivyo Kuwafunga kiurahisi. 2. Kiufundi Uwanja wa Uhuru ni mzuri kwakuwa Mashabiki 35,000 ambao wataruhusiwa wa Simba...
  18. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Offer Kabambe: Pata Saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!

    Offer kabambe: pata saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU! Hizi saa thamani yake kwa kawaida ni over 200K TZs. Lakini nimeamua kutoa unbeatable offer, hivyo utapata kwa 100,000 TU! Unapata saa zote tatu! Kwa wale wanaojua value ya hizo saa wananielewa. Brands: Amst =1 Navi Force = 1 Skmei...
  19. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Saa chache kabla mtu hajafa

    Kwa mujibu wa uislam mtu anapokaribia kufariki huonyeshwa matendo yote alofanya katika maisha yake. Kisha huonyeshwa mafikio yake eidha motoni au peponi. Sasa wanasayansi wa leo wame prove hilo Je,wajua kinachopita akilini mwako unapokaribia kufa?-Utafiti Saa 7 zilizopita CHANZO CHA PICHA...
  20. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Salamu kwenu ndugu. Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka. Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi. Hivi hasa ni...
Back
Top Bottom