Polisi: Magari ya abiria kuingia Tanga mwisho saa sita usiku

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.

“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”

Chanzo: Millard Ayo
 
Tumerudi kule kule, nchi ya matamko, mara Bajaji na Pikipiki zisiingie katikati ya Jiji, mwingine anatengua, ngoja tusubiri na hili kama litatenguliwa.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.

“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”

Chanzo: Millard Ayo
Jee, ni halali kila mji kujiwekea sheria zake? Miaka ya 80 sheria ilipitishwa kukataza usafiri wa usiku kwa nchi nzima. Hilo sawa kwa kuwa lilihusu nchi nzima. Hili la kuweka sheria zinazohusu mji mmoja mmoja lina utata. Kwa mfano gari la abiria linatoka Mbeya kwenda Tanga likaharibika kilomita 100 kutoka Tanga; wakalishughulikia likatengamaa saa sita kasoro za usiku. Ni halali hilo gari kuendelea na safari kutoka hapo lilipoharibikia mpaka ukingoni mwa Tanga halafu hapo lisiendelee kwa kuwa saa sita usiku itakuwa imegonga tayari?
 
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.

“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”

Chanzo: Millard Ayo
Kwa hiyo anatupangia huyu demu? Hajui huo ni muda wa kuchimba madini?
 
Ni sawa.

Awamu hii uhalifu umeongezeka sana, ni bora wafanye hivyo kwa ajili ya usalama wa watu.

Ninashauri hii sheria iwe nchi nzima, asiyetaka aende akazikwe na Magufuli Chatto maana huu utaratibu wa saa 24 (Kasoro Katavi na Kigoma) ulianzia kwake.
 
Jeshi la Polisi Mkoani Tanga limepiga marufuku, magari yanayosafirisha abiria kufanya safari usiku wa zaidi ya saa sita na kwamba atakaekaidi agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

RPC wa Tanga, Safia Jongo amesema: “Ukiwa unatokea Dar kama hesabu zako zitakuonesha kuwa utafika Mkata zaidi ya saa sita usiku, ujue mtaalala hapo hamtapita.

“Hatua hiyo ni kutokana na wimbi la ajali katika barabara ya Tanga - Segera, hii itahusu magari yote ya abiria.”

Chanzo: Millard Ayo
Huyo mkuu wa mkoa ni wa kupuuza kabisa,kwani mkoa wa Tanga wana LATRA yao?
 
Kwa hyo Kama naenda Moshi nikifika segera saa sitaza usku cwezi kukatiza pale
 
Back
Top Bottom