Picha: Kamati ya mapokezi ipo tayari saa Kumi kujua next assignment

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.

Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa kuwa iko nje ya uwezo wao wanawasikilizia CAf hapo saa kumi leo kujua watapangiwa mgeni gani wa kumpokea.

Kila la heri kamati ya mapokezi , Mungu awape wepesi wa kazi yenu ngumu nA ya kizalendo kabisa katika kukirimu wageni..MSISAHAU KUWAHADITHIA KUHUSU NGUVU ZA GIZA NA KUPULIZIWA SUMU VYUMBANI.

Screen Shot 2022-04-05 at 8.52.48 AM.png
 
Mkuu wanatamani sana wakawapokee wachezaji wao wakitoka nje ila sasa wanajikuta wako hapahapa tu ili wajifariji wanaenda kupokea wapinzani wetu.Uto bwana mwiko unawatesa sana huko nyuma.
Nilikuwa nabishana na mmoja wao jana anasema mwaka huu wanaenda kuchukua ubingwa Africa , nilisikitika sana nikakosa jibu jamani dah
 
Sijui mashabiki wa yanga huwa hawaoni aibu, bahati mbaya wakiipokea tu timu basi hiyo timu itakula mvua za kutosha kwa mkapa.
 
likitokeaga hilo huwa wanasema simba inatumia uchawi na kupuliza sumu vyumbani...ninachofurahi ni kwamba washajua wao kimataifa ni round ya awali mwisho wao, washakata tamaa kwa hiyo wamewekeza kwenye majungu na kuikatisha simba tamaa tufanane nao
 
Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.

Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa kuwa iko nje ya uwezo wao wanawasikilizia CAf hapo saa kumi leo kujua watapangiwa mgeni gani wa kumpokea.

Kila la heri kamati ya mapokezi , Mungu awape wepesi wa kazi yenu ngumu nA ya kizalendo kabisa katika kukirimu wageni..MSISAHAU KUWAHADITHIA KUHUSU NGUVU ZA GIZA NA KUPULIZIWA SUMU VYUMBANI.

View attachment 2176241
They are foolish these people, why are they not be proud for Simba's success. We fought till next year we go 4 teams inteenational but they are not thanksfully...waache waendelee kuchunga ng'ombe wa Mayele.
 
Kamati nguli ya mapokezi ambayo kwa hii miaka 4 imeteseka kupokea wageni wa kila aina na kununua majezi feki ya kila aina leo iko stand by kujua week ijayo wanenda kumpokea nani airport.

Ila habazi za ndani ndani zinadai wanamtamani sana aje Tp mazembe kwani wao hujiona kama ni wa congo ila kwa kuwa iko nje ya uwezo wao wanawasikilizia CAf hapo saa kumi leo kujua watapangiwa mgeni gani wa kumpokea.

Kila la heri kamati ya mapokezi , Mungu awape wepesi wa kazi yenu ngumu nA ya kizalendo kabisa katika kukirimu wageni..MSISAHAU KUWAHADITHIA KUHUSU NGUVU ZA GIZA NA KUPULIZIWA SUMU VYUMBANI.

View attachment 2176241
Wawapigie simu Rivers nao waje.
 
Kuna lile zwazwa linaitwa GENTAMYCIN limeanzisha nyuzi tatu mfululizo na zote Mods wameziunganisha.
yule ana ugonjwa kama wa manara au kigogo wa twitter kupenda kuonekana yeye genius na kushidana ila deep anaipenda sana simba na trust me anachoandika ni kinyume chake ana ID's kama 40 atarudi kivingine kabisa
 
Back
Top Bottom