INAUZWA Offer Kabambe: Pata Saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!

Classic 1

Senior Member
Sep 11, 2021
113
111
Offer kabambe: pata saa 3 za Viwango kwa 100,000/- TU!

Hizi saa thamani yake kwa kawaida
ni over 200K TZs.
Lakini nimeamua kutoa unbeatable offer, hivyo utapata kwa 100,000 TU! Unapata saa zote tatu!

Kwa wale wanaojua value ya hizo saa wananielewa.

Brands:
Amst =1
Navi Force = 1
Skmei millitary watch= 1

Delivery: From Dar es salaam to all regions

Call: +255 658 700 510
(Serious buyers only)


IMG_20220227_084830.jpg


IMG_20220227_085029.jpg
 
Mkuu kwa sisi tusiojua sifa ya hizo saa ungetuwekea ili tushawishike lakniwewe unataka kuwauzia watu wanaozijua tu . Mimi nikiingalia naona kama saa za kawaida kumbe inasifa nyingi nzuri ambazo zinaweza kunishawishi nikavunja kibubu.
 
Back
Top Bottom