saa

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtoto Rayan aliyetumbukia kwenye kisima huko Morocco amefariki dunia

    Ni habari ambayo imeleta simanzi sana kwa wazazi wake na hata watu waliokuwa wanafatilia habari kuhusu mtoto aliyekuwa anacheza pembeni na maeneo ya kisima kirefu na kudumbukia. Kujulikana kama alikuwa kwenye kisima ni baada ya baba yake kumtafuta sana na kuja kugundua yupo kwenye kisima...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Trafiki aliyekataza mabasi ya Dar kuingia Same kabla ya saa bado yupo ofisini? Kwanini kizuizi kiwe Same na sehemu nyingine?

    Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini. Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Umeme unakatwa saa sita usiku, hadi saa 12 jioni

    Hamna mbinu zozote za kupunguza makali ya mgao wa umeme. Umeme umekuwa ukikatwa saa sita usiku na kuwashwa saa 12 jioni. January Makamba na naibu wake wamelidanganya bunge, waliahidi kuchepusha gesi asili kutoka kwenye njia ya mwekezaji na kuingiza kwenye njia ya TPDC, lakini hadi sasa maumivu...
  4. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeamini kuwa wana CCM wa sasa ni kielelezo tosha cha tabia ya Unafiki iliyopo CCM na huenda hata kwa Watanzania wote

    Dada yangu Spika Mtarajiwa (na mwana Simba SC Kindakindaki Mwenzangu) Dkt. Tulia Ackson tambua ya kwamba Umezugukwa na Wabunge na wana CCM wengi Wanafiki ambao 85% yao hawakukutaka sema tu Rais na Mwenyekiti CCM Taifa Samia anakukubali, Mwanamke mwemzako na ana imani nawe. Kwa mshangao kabisa...
  6. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Wazungu wanatumia nusu saa kujaza uwanja sisi tunatumia siku nzima

    Mechi ya Liverpool na Chelsea mashabiki wanatumia nusu saa tu kuingia uwanjani na uwanja unajaa sisi Simba na Yanga mashabiki wapo uwanjani tangu saa moja asubuhi tumerogwa
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Mawasiliano ya Simu Kupatikana Saa Saba Kwa Siku, Kampuni Zaamrishwa

    Taliban ambao wanaendelea kuiongoza Afghanistan wameweka sheria kali za matumizi ya simu kwa watu wa kaskazini magharibi mwa nchi hiyo ambapo huduma ya simu itapatikana kuanzia saa tatu asubuhi hadi saa tisa mchana. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya Wataliban kujua kuwa simu hutumika...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Jicho langu Kuu la 'Kiuchambuzi' na 'Kimtazamo: juu ya 'Mabadiliko' ya Saa 24 tu zilizopita

    1. Ni mabadiliko ya kuonyesha kumbe kulikuwa hakuna kabisa Maelewano kati ya aliyelala mazima na aliye Hai akiendelea na Kazi, bali ni Unafiki mtupu ndiyo ulikuwa Umeshamiri japo kuna Mtu kila katika Hafla alikuwa akionekana Kutabasamu na hata Kutuhutubia Watu kwa Kuunga mkono harakati zote za...
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pinetech Subwoofer inaizwa bei nafuu

    Ina Speaker 3 Ina play Bluetooth Ina sehem ya Flash na Memory Card Bei 80,000/= Location Manzese Tip Top DSM Contact Call & whatsap 0678296878
  11. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Mech ya Simba Vs Azam inaanza saa ngap ???

    Mwenye taarifa naomb aweke hapa,il nijiandae mapema kwenda kumshuhudia tukio kubwa na mhim katka soka la Tanzania Karibun
  12. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan kulihutubia taifa leo Desemba 31, 2021

    Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji. Stay tuned.
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
  14. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania CCM Mara: Bulembo aliiuza Shule ya wazazi Isango saa 2 usiku kwa milioni 70

    Wakati mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wazazi ukiendelea, alisimama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara, Mrida Marocha aliyemtaja Abdallah Bulembo kuwa yeye na kundi lake walishiriki kuiuza Sekondari ya Isango. Alisema walifanya hivyo saa mbili usiku kwa bei ya Sh70 milioni. Marocha alisema shule...
  15. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Saa 1500EAT Simba sc tuna Jambo letu

    Stay tuned Nasikia uwanja umeivaaa
  16. Influenza

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika Dar na Zanzibar, TANESCO yasema utarudi saa 5 asubuhi

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi. Mafundi wanaendelea na jitihada za...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Mkuu wa Mkoa atoa saa 48 za kukamilisha Madarasa 452

    Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Brigedia Jenerali Marco Gaguti ameagiza Halmashauri zote mkoani humo kukamilisha majengo 452 ya madarasa ndani ya saa 48. Madarasa hayo 452 yamejenga na fedha za Uviko-19 na yapo katika hatua ya umaliziaji. Akizungumza Desemba 7, 2021 wakati wa kupokea vyumba vya madarsa...
  18. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Tanzania kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri

    Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli, kilimo, kemikali, ujenzi na madawa. Haya yote ni matokeo ya Diplomasia ya Uchumi ya Tanzania chini...
  19. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole kuongea Star Tv saa 3:30 usiku

    Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu! NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
  20. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC 3 - 0 Red Arrows kombe la shirikisho barani Afrika

    Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa. Ni Simba Vs Red Arrows...
Back
Top Bottom