rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu wa rushwa

    Baadhi ya wana CCM wanaotafuta nafasi za Ubunge, wameanza usumbufu. Mimi siyo mwana CCM lakini leo napigiwa na mtu anayejitambulisha ni Mkurugenzi wa Halmashauri na anataka kugombea na anaomba support yangu. Namuuliza simu yangu kapata wapi? Anaomba niwe mpole tu tuelewane. Nauliza mbona mapema...
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rushwa hushamiri pale watu wanapocheleweshewa haki yao na kuanza kuitafuta kwa njia ya mkato

    JAJI Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma ameitaka Mahakama kuacha kuchelewesha haki kwani ndiyo chanzo kikubwa cha rushwa katika mhimili huo. Profesa Juma alitoa kauli hiyo jijini hapa jana wakati akifungua Kongamano la Wadau wa Masuala Kupinga Rushwa Nchini lililoshirikisha vyombo...
  3. mgt software

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wabunge mmemaliza muda wenu msirudi Dodoma kupiga mizinga. Pesa zenu ziwekeze mzalishe ajira; msizitumie kwenye rushwa ya kuomba kura

    wana JF Haya sasa mshapewa chenu, sasa tunataka kuona mahubiri yenu mliyokuwa mnatuhutubia kuhusu ajira , kilimo kwanza, viwanda. tayari mtaji wa kuwa na viherani saba kuwa kiwanda mnazo hela. Sisi wasio na kazi tunangoja hela zenu zitutengenezee ajia. Muigeni Mh. Pinda anafuga Nyuki, anafuga...
  4. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Askari usalama barabarani (Traffic Police) ni halali kupokea rushwa?

    Kwanza nichukue pongezi kuubwa kwa Mheshimiwa Brigedia John Mbungo kuteuliwa kuwa mkuu wa Takukuru baada ya kukaimu nafasi hiyo kwa muda mrefu. Lakini pia kwa kuonyesha kazi nzuri. Pamoja na mafanikio hayo bado rushwa ni tatizo kuubwa ndani ya jeshi la Polisi hasa idara ya usalama barabarani...
  5. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa waonywa vitendo vya Rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020

    Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU Makao makuu, imetoa onyo kali kwa viongozi watakao bainika kutumia rushwa katika mchakato na uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwezi Octoba mwaka huu. Akizungumza na wanahabari leo Juni 17, 2020 jijini Dodoma, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia...
  6. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Funguka Rais na Mwenyekiti wangu, TAKUKURU wachane makabrasha ya 'kashfa ya rushwa' ya Lugola na wenzake?

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ilianza na inaendelea na uchunguzi wa sakata la rushwa kubwa ya mabilioni dhidi ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola na makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Hii ilifuatia agizo lako kwa vyombo vya ulinzi na usalama...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Watu 8 wakiwamo Watumishi 7 wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kushitakiwa kwa makosa ya rushwa na Uhujumu Uchumi

  8. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, unakuwaje Rais wa nchi bila kukemea Rushwa, bila kuongelea suala la maji, miundombinu na Elimu?

    Tundu Lissu umetoa hotuba dhaifu sana kuwahi kutolewa na mgombea yeyote kuwahi kutokea nchini mwetu umeongea mambo mepesi ambayo najua mambo hayo ni ya mazingira ya Marekani na nchi zilizoendelea. Tundu Lissu tunaonewa na wala Rushwa wanaoiba Mali zetu na kutufanya tuishi maisha ya kifukara na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kamatakamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani

    Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno. Watawakamata...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania CCM imezindua kituo cha kutoa taarifa za wala rushwa wakati wa uchaguzi. Hawaiamini TAKUKURU?

    Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole amesema kwamba Chama Cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha wananchi kutoa taarifa za Uchaguzi kimaadili ili kuwabaini wala na watoa Rushwa, kuelekea Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020.
  11. MSHINO

    JamiiForums Tanzania TANROAD Dar mtalipa uhai wa Watu na magari kwa uzembe huu? Au Rushwa imewatoboa macho hamuoni?

    Habari wana jukwaa, Nimeanza na kichwa hapo. leo ni siku ya 4 mkandarasi amekata rami barabara ya Old Bagamoyo Road ili kufanya marekebisho lakini mashimo yalikatwa mengi na makubwa na yana sharp edge, na hakuna tahadhari au onyo yoyote iliyowekwa kuwa kuna ujenzi unaendelea. Juzi usiku kuna...
  12. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Hivi, CCM tunamtapeli na kumlaghai nani kuhusu kuichukia rushwa uchaguzini?

    Kisiasa, unapoisha uchaguzi mmoja maandalizi ya uchaguzi mwingine huanza. Maandalizi ya uchaguzi wa mwaka huu 2020 (kuihusu CCM pekee) yalianza tangu mwaka 2015. Makada walijipanga kutetea majimbo na kata na wengine wakitamani kuzipoka kata na majimbo kutoka kwa wasasa. Maandalizi ya kiuchaguzi...
  13. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Serikali ya CCM imepoteza "credibility" ya kupambana na watoa rushwa

    Tulisikia "maigizo" ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Taifa, Humphrey Polepole, akieleza kuwa safari hii kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, hawataruhusu hata kidogo watoa rushwa wenye nia ya kutaka kupendekezwa na chama hicho kwa nia ya kuwa wagombea kwa nafasi yoyote katika uchaguzi ujao...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Kuelekea Uchaguzi Mkuu, Wanasiasa kutoa Zawadi kwa Wananchi, ni Rushwa au ni Kutimiza ahadi?

    Salaam Wakuu, Kuelekea Uchaguzi mkuu, Wanasiasa wamekuwa wakivalia nguo za vyama na kisha kuzunguka huku na huku kutoa Zawadi na kudaiwa kwamba wanatimiza ahadi walizozitoa 2015. Na hii imekuwa na pande mbili: 1). Anayetoa Msaada kama sio Mbunge au kiongozi yoyote wa Kuchaguliwa huwa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Naitafsiri kama ni rushwa

    Habari wanajamvi. Rushwa ni adui wa haki! Hii zamani ilikuwa ni ahadi ya Mwana TANU lakini kwa bahati mbaya haikurithiwa na wana CCM. Juzi tumeona tausi lukuki wakitolewa kwa Marais wastaafu kama zawadi. Kwangu mimi ile ni rushwa tena first class. Nitafafanua. Kwangu mimi ile ni rushwa...
  17. Mudawote

    JamiiForums Tanzania NMB, rushwa ya Mikopo itakomeshwa lini?

    NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako. Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
  18. Supu ya kokoto

    JamiiForums Tanzania RPC simiyu kuwa makini

    Katika mkoa wa simiyu Kuna tabia ya polisi kuwakamata BODABODA na kuomba rushwa ili wawaachie. Sababu za ukamataji huo zimejificha kwenye makosa makuu mawili. 1. Leseni 2. Bima Pamoja na kuwa BODABODA hao wengi wao hawana vitu hivyo vya muhimu kisheria lakini pia jeshi la polisi haliwasaidii...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  20. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Ushahidi huu hapa CHADEMA kuhusishwa na rushwa za ngono.

    Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
Back
Top Bottom