rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TAKUKURU ya Nigeria Bwana Magu amekamatwa kwa rushwa

    Wanasema Nigeria vituko na matukio yasiyo ya kawaida ni vitu ambavyo sio vipya na vinatokea mara kwa mara Mkurugenzi wa taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa bwana Ibrahim Magu amekamatwa kwa rushwa Bwana Magu amekua mkuu wa taasisi hiyo toka mwaka 2015 Nigeria’s anti-corruption boss...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Manyovu, Albert Obama akamatwa na TAKUKURU kwa kugawa Rushwa

    DG, Ninapenda kukujulisha kwamba katika ufuatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020, leo TAKUKURU(M) Kigoma katika jimbo la uchaguzi la Buhigwe tumekamata Tsh. 210,000/= zilizokuwa zimeshagawiwa Tsh. 10,000/= kwa kila mjumbe kwa wajumbe 21 kutoka kata ya Mnanila jimboni humo...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mbona Takukuru wanakamata wagombea ubunge wa CCM pekee ina maana Chadema hakuna rushwa?

    Najiuliza tu. Maana kwanza alikamatwa Dr Kigwangalla akigawa baiskeli lakini akajitetea na kutoa vifungu vya sheria vinavyomlinda. Kisha akakamatwa Kibajaji bado sijajua imeishaje lakini leo kakamatwa Serukamba. Ndiposa najiuliza hiyo rushwa inatolewa huko chama tawala pekee? Au CHADEMA bado...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kukamatwa na kuhojiwa kwa tuhuma za rushwa watia nia wa CCM, sehemu mbalimbali nchini kunaashiria nini miaka 5 ya serikali ya awamu ya 5?

    Kila siku kupitia vyombo vya habari tunasikia watia nia wa CCM sehemu mbali mbali za nchi yetu amawanahojiwa na TAKUKURU au kukamatwa na polisi kwa TUHUMA za RUSHWA. Je, hii inamaana gani kwa utawala wa awamu ya 5?
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote Mikoani chama kina taarifa zao, hawatapata Uongozi

    Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM komredi Polepole amesema chama kinapokea taarifa za watia nia wanaotoa rushwa kutoka kote mikoani kila siku. Polepole amesisitiza kuwa watu hao ambao majina yao yapo makao makuu hawatapewa fursa ya kugombea uongozi kamwe. Chanzo: Channel ten. Maendeleo...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Raia wa China mbaroni kwa rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza, imemkamata raia wa China Bwana SHENG BING LIN (40) kwa kosa la kushawishi na kutoa rushwa kiasi cha shilingi laki moja (100,000/=) ambapo ni kinyume na Kif cha 15 (1) (b) cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa namba 11 ya...
  7. Q

    JamiiForums Tanzania Mbozi Songwe: Rushwa za ngono na vitendo viovu Chuo cha Uuguzi Yohana Wavenza

    Mi ni mgeni wa Jamii forums naomba mnisaidie malalamiko haya yafike kunakotakiwa.. Ni muhitimu wa chuo cha uuguzi cha yohana wavenza kilichopo wilaya ya Mbozi mkoa wa Songwe. Naandika malalamiko haya ili yaweze kuwafikia wanaohusika na kuweza kuyatatua maana mimi binafsi nimekuwa muhanga wa...
  8. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua rushwa inayoendelea kwenye shirika la Hifadhi ya Jamii?

    Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ili kudhibiti Rushwa, Bunge likivunjwa Wabunge wasilipwe kiinua mgongo kwani itasaidia kupunguza rushwa na kuweka mizani sawa katika kugombea

    Kwa mtazamo wangu, naamini fedha wanazolipwa wabunge mara tu baada ya Bunge kuvunjwa,ndio hutumiwa na baadhi ya waliokuwa wabunge kuhonga wajumbe wanaohusika katika upigaji kura za maoni katika maeneo yao ili wafanikiwe kushinda katika hatua hiyo. Kwa kifupi,inawezekana kabisa fedha hizi,hasa...
  10. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Shinyanga inamshikilia Joseph Jonas Tasia kwa kukutwa na doti mia sita (600) za vitenge vyenye nembo ya Chama Cha Mapinduzi na vya kawaida

    TAKUKURU mkoa wa Shinyanga katika ufatiliaji wa vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa viongozi, manao tarehe 29/06/2020 majira ya saa tatu usiku mtaa wa Mwasele B nyumbani kwa Joseph Jonas Tasia ilikamata doti mia sita za vitenge zenye nembo ya Chama cha Mapinduzi na vya kawaida vikiwa...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Tuvunje ukimya ili kupambana na rushwa ya ngono

  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mhariri wa magazeti ya Serikali akamtwa na TAKUKURU kwa tuhuma za rushwa

  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wanne mbaroni tuhuma rushwa kuwania ubunge

    TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Lindi, inawashikilia watu wanne, akiwamo mtia nia wa nafasi ya ubunge, Ally Chinumba (CCM), kwa madai ya kuwashawishi wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Kata wampitishe kwenye kura za maoni. Naibu Mkuu wa Takukuru mkoani hapa, Charles...
  14. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Rushwa ya Dkt. Kigwangalla isifumbiwe macho na chama

    Kwa msimamo wa CCM kujinasua na vitendo vya Rushwa ktk uchahuzi suala la Kigwangala kuwezesha vyombo vya usafiri vyenye thamani karibia billioni moja ambzo hata hazijafanyiwa uchungizi zimepatikanaje kwa wajumbe mkutano mkuu wa jimbo ambao kwa mujibu wa utaratibu ndio watakaopiga kira za maoni...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya Baba Duniani: Lady Jaydee akerwa kukithiri kwa rushwa ya ngono kwa wasanii wa kike. Ujumbe uwafikie Takukuru

    Mwanamziki mkongwe Lady J Dee; ameonesha kukerwa Sana na tabia ya mapromoter, sponsor na mapresenter Kuwataka kingono wasanii wa kike! Adai tabia hiyo inaua Sana ndoto za wasanii hususani chipukizi kuingia kwenye gemu! Salam ziwafikie: Waziri wa Habari na Michezo Takukuru BASATA Swali ni je...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  17. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Haya mazingira ni ushahidi tosha kwa CHADEMA dhidi ya rushwa ya ngono

    #1 Hapo vip!!! Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa. Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: TAKUKURU inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa kwa kugawa rushwa ili achaguliwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum

    Takukuru Mkoa wa Songwe inamshikilia Mjumbe wa Baraza la UWT Taifa toka Mkoani Songwe Neema Ndabila kwa kukutwa akigawa Rushwa kwa wajumbe wa UWT wa Wilaya ya Songwe kwa lengo la kumuunga mkono ili aweze kuchaguliwa kuwa Mbunge wa Viti maalumu. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Songwe DAMAS SUTA...
Back
Top Bottom