Ushahidi huu hapa CHADEMA kuhusishwa na rushwa za ngono.

Status
Not open for further replies.

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,070
3,705
Hapo vip!!!

Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa.

Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya chadema miaka 4 iliyopita ila nilikaa chini,nikaanza kuichunguza chadema kwa undani zaidi nikagundua msingi wa uanzishaji chadema itapelekea familia fulani na kabila fulani kuwa miungu watu na wafalme na wakufanya maamuzi ya mwisho ndani ya chama hichi japo ukiangalia kwa juu juu utaona kama haina hizi elements,kilichofanyika ni kuficha ukabila na msingi hatari iliyonayo chama hichi ili ipate kibali kwa wananchi ila ikishashika dola ndio mtawaaona wenye chadema yao,hawa wakina Lisu na wengine ni magasha tu..Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini Lema ananguvu ndani ya chadema na anakipenependele kama bint mwajuma,Lema ni mtu wa wap na mbowe ni mtu wa wap...Lema kuna wakati mwingine anongea ndani ya hicho chama kama ndio mwenyekiti.

Turudi kwenye mada husika,nikweli kwa ufumo wa chadema na aina ya uongozi wa chadema ni wa kihuni na viongozi ndani ya chadema wanatembea na wabunge wa viti maaluma pasipo kuheshimu yakwamba wengine ni wake za watu.Mfano kuna mbunge mmoja wa songwe wa vitu maalum,ambaye amekuoa akigawa uroda ndani ya chadema mpaka amepelekea ndoa yake kuvunjika...Nimejiuliza haka kabunge hakapo smart ,how come akawa mbunge?kumbe lazima uvue chupi upewe nafasi.

Huyu mbunge kabla hajawa mbunge alikuwa na ndoa yake tena mume wake ni mfanyakazi kwenye sekta nyeti ya serikali na anangawiraa za kutosha tu,japo nasikia mwanamke mwenyewe ni mgawaji mzuri tu muda mrefu ila kutokana na tabia yake akaona fursa chadema yakwamba wakula wanataka tunda tu then hapo umekuwa umepata nafasi basi nayeye akagawa mpaka akavunja ndoa yake.

Swali la msingi ninalo jiuliza hapa kama chadema kweli hakuna vitendo kama hizo kwanini Ndoa ya huyu mbunge imevunje baada ya kuwa mbunge...Swali lingine:kwa mbunge kwa kama huyu mweupe kichwani amepataje nafasi hii...

Nawasilisha.
 
Umeandika upuuzi kweli.

Unasema Chadema kuna rushwa ya ngono unakilaumu chama wakati mwenye uamuzi wa mwisho wa mtu kutoa mwili wake ni mtu mwenyewe, au unataka Chadema wasimamie mpaka miili ya viongozi wake!. upuuzi mtupu.

Kuhusu ukabila; unathibitisha kuwepo ukabila Chadema kwasababu ya uwepo wa Mbowe na Lema that's all!, wale kina Sugu, Msigwa, Matiko, Heche wao vipi?! nao ni wachaga? unasema Lema ana kiherehere, what is kiherehere by the way? unataka awe amezubaa ndio ufurahi!.
upuuzi mwingine.

Nikwambie kitu wewe raia, hakuna yeyote aliyestaarabika huwa anajadili privacy za watu, ukitaka uheshimiwe siku nyingine, ukija na hoja njoo nayo kam ilivyo, usichanganye na mambo ya watu binafsi, ukitaka kuleta ujinga wako, ujue hata huko CCM hampo salama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee hata kuandika hujui afu unakua mmbea ushahidi upi umeeleza afu unatuuliza Tena sisi wkt wewe umedai una ushahidi hv ccm inawatoa wapi vilaza Kama nyie
 
Nashangaa sana serikali yangu hadi Leo hii bado kuna chama kinachoitwa CHADEMA, hiki chama kilipaswa kufutwa kabisa,nchi haiwezi kuruhusu kuwa na chama cha wahuni wahuni kwa mgongo wa chama cha siasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo vip!!!

Kwa muda mrefu uongozi ndani ya chadema imekuwa ikituhumiwa kuhusika na rushwa ya ngono kwa wabunge wa viti maalum ila washabiki na baadhi ya wanachama wa chadema wamekuwa wakitafrisi tuhuma hizo kama giliba za kisiasa.

Binafsi wakati nikiwa university nilivutiwa na sera ya chadema miaka 4 iliyopita ila nilikaa chini,nikaanza kuichunguza chadema kwa undani zaidi nikagundua msingi wa uanzishaji chadema itapelekea familia fulani na kabila fulani kuwa miungu watu na wafalme na wakufanya maamuzi ya mwisho ndani ya chama hichi japo ukiangalia kwa juu juu utaona kama haina hizi elements,kilichofanyika ni kuficha ukabila na msingi hatari iliyonayo chama hichi ili ipate kibali kwa wananchi ila ikishashika dola ndio mtawaaona wenye chadema yao,hawa wakina Lisu na wengine ni magasha tu..Hivi umeshawahi kujiuliza kwanini Lema ananguvu ndani ya chadema na anakipenependele kama bint mwajuma,Lema ni mtu wa wap na mbowe ni mtu wa wap...Lema kuna wakati mwingine anongea ndani ya hicho chama kama ndio mwenyekiti.

Turudi kwenye mada husika,nikweli kwa ufumo wa chadema na aina ya uongozi wa chadema ni wa kihuni na viongozi ndani ya chadema wanatembea na wabunge wa viti maaluma pasipo kuheshimu yakwamba wengine ni wake za watu.Mfano kuna mbunge mmoja wa songwe wa vitu maalum,ambaye amekuoa akigawa uroda ndani ya chadema mpaka amepelekea ndoa yake kuvunjika...Nimejiuliza haka kabunge hakapo smart ,how come akawa mbunge?kumbe lazima uvue chupi upewe nafasi.

Huyu mbunge kabla hajawa mbunge alikuwa na ndoa yake tena mume wake ni mfanyakazi kwenye sekta nyeti ya serikali na anangawiraa za kutosha tu,japo nasikia mwanamke mwenyewe ni mgawaji mzuri tu muda mrefu ila kutokana na tabia yake akaona fursa chadema yakwamba wakula wanataka tunda tu then hapo umekuwa umepata nafasi basi nayeye akagawa mpaka akavunja ndoa yake.

Swali la msingi ninalo jiuliza hapa kama chadema kweli hakuna vitendo kama hizo kwanini Ndoa ya huyu mbunge imevunje baada ya kuwa mbunge...Swali lingine:kwa mbunge kwa kama huyu mweupe kichwani amepataje nafasi hii...

Nawasilisha.
Kwann usipeleke ushahidi kwa msajili maana mbinu zote zinatafutwa za kuifuta chadema zimeshindwa.Kama ni mgawaji na kaamua kuvua mwenyewe kwa mapenzi yake chama kinahusika vipi hapo
 
Ni Kujitakia Tu Kikwete pia alimlazimisha Vicky Kamata Na Amina Chifupa? Au Jiwe Kamlazimisha Kairuki Na Joketi? wanawake wanajidharirisha tu kwa tamaa zao hii sio chadema hata kwenye ajira na vyuoni.

Mtu makini alitakiwa kutangaza kabla ya kukubali alipopewa viti maalumu unapata pesa unapa utamu then unaleta maneno je mshahara wako wa ubunge ulitugawia? pumbavu kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom