rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti CCM MARA: Wasaliti na Watoa Rushwa Hawana nafasi ndani ya CCM

    Akiongea leo na UVCCM eneo la Bunda mkoani Mara, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mara Ndugu Samwel Kiboye ALMAARUFU kama namba Tatu, amsema kwamba, "Mtu yeyote msaliti hawezi kuaminika. Huyo mtu kuna siku atakusaliti na wewe akipata mwenye dau kubwa, wauza nafsi zao, na watoa rushwa ndani ya CCM...
  2. Patriot

    JamiiForums Tanzania Rushwa katika uchaguzi ni mbegu mbaya inayopandwa na CCM

    Nimeanza kuona watu wakitetea tatizo hili la rushwa kwa kusema lete ushahidi. Ukweli ni kwamba nafasi ya wajumbe wa CCM kuamua nani awe mgombea, inatumika vibaya sana! Hawa ni watu ambao hawalipwi mshahara. Wakati wa uchaguzi hutegemea kipato toka kwa wgombea huu ni mtindo ambao umejionesha...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kura za maoni CCM uligubikwa na rushwa ya kutisha

    Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook". Mkakati mkuu walioutumia mara hii...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Sumaye aliona mbali, siyo rahisi kufuta rushwa CCM ni heri ibatizwe kuwa Takrima!

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Waziri mkuu mstaafu mzee Sumaye baada ya kuona siyo rahisi kuondoa rushwa kwenye uchaguzi ndani ya CCM aliipa jina jipya na zuri la Takrima. Watu wakapiga sana kelele lakini ndio hivyo hadi leo huwezi kushinda uchaguzi CCM bila kutoa takrima. Mgombea...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Video: Mgombea wa CCM akiwatoka PCCB wakati akigawa rushwa

    Tangu kura sijui za maoni sijui za nini huko zitangazwe, matukio ya rushwa yalishamiri mno, mchakato huu ulifanywa na Chadema pia ila hatukusikia haya mambo. Video hii ni mtu anayesikika akitajwa kwa jina la Ngeleja akiwakimbia PCCB wakati wakijaribu kumkamata. Wabunge wa style hii kamwe...
  6. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rukwa: TAKUKURU wamekalia kimya rushwa ya Josephat Sinkamba Kandege (CCM), mwaka wa pili sasa

    MBUNGE wa jimbo la Kalambo mkoani Rukwa, Josephat Sinkamba Kandege (CCM) amenaswa na akigawa hela kwa wajumbe wa CCM wa Halmashauri kuu ya Wilaya wa Kata ya Matai na Lyowa tarehe 05.10.2018 7 Oktoba 2017 aliteuliwa na Rais Magufuli kuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za...
  7. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kilio hiki kikufikie Dkt. Bashiru na Rais Magufuli. Rushwa yatoa mgombea Singida Magharibi

    Wasalaam viongozi wangu taifa! Kwanza kabisa ninaomba kuwasilisha vilio vingi kwa niaba ya wanachama wa CCM jimbo la Singida magharibi kupitia jukwaa hili. Ninamfahamu kabisa viongozi wangu mwenyekiti na katibu wa chama changu taifa uadilifu wenu hauna mashaka na hauwezi kutiliwa shaka ya...
  8. Mao Tanzania

    JamiiForums Tanzania Tuvisaidie Vikao: Tushirikishane Taarifa za Rushwa Majimboni

    Pongezi JF Nimekuwa nikiwasiliana na watu kadhaa walioshiriki kwa namna moja au nyingine kwenye kura za Maoni. Jambo moja naona limejitokeza, Kuna maelezo kuwa Rushwa imetembea huenda kuliko wakati mwingine wowote. Tumuunge Mkono Mwenyekiti wa CCM katika juhudi zake za kupambana na Rushwa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi. Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa Vyama vya Siasa na rushwa iliyopo kwenye chaguzi zao

    Kutokana na ukweli usiofichika ndani ya nchi ya Tanzania kwamba, Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni miongoni mwa Chama Kikubwa cha Siasa na pia ndio Chama kilichoshika madaraka mpaka sasa na ambacho kinatabiriwa kwa asilimia kubwa kuendelea kushika madaraka na kuunda Serikali kwa mara nyingine tena...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tuwapongeze wa kijani kwa kudhibiti rushwa lakini sasa "umaarufu" je ?

    Ni jambo lililowazi kwamba rushwa kuna dalili za kutaka kuidhibiti kwa kila hali na mali. Ni mategemeo yangu kwangu jambo hili halitazamwi kwa kutafuta kama hakuna aliyepokea chochote bali kwa dhamira ya dhati kutoka juu na kitihada za vyombo husika na pongezi zinalenga huko. Lakini sasa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania OCD Gairo amempatia Shabiby walinzi katika zoezi la kugawa rushwa

    Wakati wajumbe wakianza kuingia mjini Gairo kwa ajili ya kupiga kura ya maoni kwa waliojaza na kurudisha fomu, mbunge aliyemaliza muda wake Mhe. Shabiby anakabiliwa na wagombea wengine zaidi ya 20. Juzi baada ya kikao cha wagombea wake, amesambaza pesa kupitia kwa wagombea udiwani waliomaliza...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kahama Mjini wanaCCM 60 wanaogombea Ubunge wapewa onyo kali kwa kujihusisha na rushwa

    Wagombea 60 wa ubunge jimboni Shinyanga Mjini wamepewa onyo kali baada ya kujihusisha na vitendo vya rushwa. Katibu wa CCM mkoani Shinyanga amesema atalifutilia mbali zoezi la kura za maoni kama wagombea wataendeleza vitendo hivyo haramu vya kununua kura Chanzo: ITV habari Maendeleo hayana...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Rushwa katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020

    TAKUKURU chini ya kifungu cha 7 cha sheria ya kuzui na kuoambana na rushwa namba 11/2007 imepewa jukumu la kuzuia na katika jamii ikiwemo rushwa katika uchaguzi ukiwemo uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020. Makosa ya rushwa katika uchaguzi yameanishwa katika sheria ya uchaguzi Cap...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamsafisha Lusinde baada ya kukosa ushahidi wa tuhuma za rushwa dhidi yake

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imemsafisha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtera Livingstone Lusinde baada ya kukosa uthibitisho kuhusiana na tuhuma za rushwa walizokuwa wanamtuhumu. Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Dodoma, Sosthenes Kibwengo. Hivi karibuni, Taasisi hiyo ilitoa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yasimamisha uchunguzi dhidi ya Livingstone Lusinde ( Kibajaj) baada ya kukosa ushahidi wa rushwa

    TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa. Source Azam tv! Livingstone Lusinde (Kibajaji) adakwa live na TAKUKURU nyumbani kwake akigawa rushwa kwa wajumbe wa CCM
  17. J

    JamiiForums Tanzania Rushwa imebadilika katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, jitihada za kupambana lazima nazo zibadilike

    Benki ya Dunia imejikita katika kuzisaidia nchi mbalimbali katika mapambano dhidi ya rushwa tangu mwaka 1996 baada ya aliyekuwa Rais wa taasisi hiyo, James Wolfensohn kutoa hotuba yake huku akiifananisha rushwa na ugonjwa wa saratani Hotuba hiyo ilikuwa kichocheo cha kuifanya rushwa kuwa agenda...
  18. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 TAKUKURU walitishwa na CCM kuwajibishwa endapo hawatawachukulia hatua watia nia wanaojihusisha na vitendo vya rushwa

    Wakuu kama mnavyojua kuwa watia nia wengi majimboni wamekuwa wakikumbana na rungu la Takukuru kwa tuhuma za kutoa rushwa ili kuweka mazingira ya kupitishwa kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu 2020. Pia soma> Uchaguzi 2020 - Polepole: Watia nia wanaotoa rushwa kote...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kiinua mgongo walichopata wabunge kinachangia rushwa na uondoa usawa

    BAadhi ya wabunge wasitaafu wanatumia kiinua mgongo waliachopata hivi majuzi kurubuni wajumbe na hicyo kuondoa keshima ya chama chetu. Kila kona rushwa. Hii inaondoa usawa kwa wagombea ubunge mwaka huu. Itakuwa vigumu sana wasio na pesa kupata ubunge. Tunaimba uongozi wa chama chetu ccm uwe...
Back
Top Bottom