Rushwa imekithiri JK Nyerere Airport ikiongozwa na Watumishi wa TRA

complex31

Senior Member
Jun 15, 2016
182
500
Habarini za huku.
Leo nimeona niandike jinsi gani watumishi wa mamlaka ya mapato TRA kitengo cha ukusanyaji mapato wa uwanja wa ndege airport jinsi wanavotumia vyeo vyao vibaya kujipatia hela kwa njia kandamizi na kwa kuomba rushwa nje nje.

Wafanyabiashara hupendelea kupanda Ethiopian, Emirates, KQ pamoja na Qatar kutokana na bei ya Ticket kwenda kwenye miji ya biashara China, Thailand, Dubai na Turkey kua chini pamoja na gharama za mizigo hua tunaiita MCO kua nafuu kulinganisha na ndege kama KLM na Turkish airways.

Kwa kwaida ndege wanakupatia Kilo 21 x 2 pamoja na kilo 7 za mizigo kwa ticket moja ambapo kwa mizigo hii inaelezeka mara nyingi ni vitu binafsi pamoja na zawadi.

Kwa wafanyabishara hununua KG 28 - 32 ili kuweza kua na kilo nyingi zaidi kwa wale wanonunua MCO watakua wamenielewa.

Shida inaanza ukitua airport yetu hawa jamaa wa TRA wakuone na mizigo mingi ambapo hawajali maelezo yako ni ya biashara, ya zawadi, ya kwako binafsi au nini.

Box moja la nguo la KG32 wataanza kusema gharama ya kodi ni 150,000 bila kujua thamani ya hizo nguo au viatu vilivomo huko ndani.

Ukiwa na simu zaidi ya mbili ndio shida zaidi kwani simu moja hutaka ulipie kodi ya shilingi 100,000 mpaka 400,000 na kutumia ubabe na lugha isioleweka pia kutokuelezea hizo gharama za kodi wao wanatumia kigezo gani kujua thamani ya kodi inayopaswa kulipwa

Perfume zaidi ya mbili utaambiwa ni za biashara unatakiwa ulipie kichupa kimoja cha millimeter 120 shilingi 30,000.

Kwa wale wabeba vifaa vya simu kama vioo na protector kwq box la KG 21 huchajiwa 250,000.

Sasa kutokana na hizi bei ambazo sio elekezi hushawishika kuanza maongezi ya jinsi gani unaweza kupunguziwa pesa ya kodi.

Kwa mwenye box la nguo ambalo kodi aliambiwa 150,000 (majina yao nitahifadhi) utaambiwa ulipie 30,000 dirishani 50,000 weka kwenye ile dro yani kodi ya kwenye 150,000 serikali inapata 30,000 na 50,000 inaingia mifukoni mwao.

Kwenye simu utaambiwa kalipie dirishani 20,000 na 30,000 leta huku hapo kwenye bargain wataangalia umesema una kiasi gani robo iende serikalini na robo tatu wanachukua wao

Sio mara ya kwanza au ya tano nimekutana na hivi vitu inauma zaidi pale mzungu anapopita free na mabegi zaidi ya manne bila kupigwa search wala kuulizwa hivi vite ni vya nini?

Nimefatilia mpaka Mapato house kujua bei elekezi za mizigo kutoka nje kwa kupitia viwanja vya ndege sijapata majibu ya kuridhisha

Naomba kujua hizi kodi ziliekwa kwaajili ya kukomoana pamoja na hizi rushwa tunazotoa kutokana na kutokujia bei elekezi wahusika wanajua kua serikali inapoteza karibia nusu ya mapato?
 
Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
1,811
2,000

Serikali ingeweka bei elekezi amabyao wafanyabiashara wangelipa bila kuanza uomba rushwa..Kwa sasa hata serikali ya magufuri imeshindwa kwani mapato yanapotea sana.

Sasa kutokana na hizi bei ambazo sio elekezi hushawishika kuanza maongezi ya jinsi gani unaweza kupunguziwa pesa ya kodi.

Kwa mwenye box la nguo ambalo kodi aliambiwa 150,000 (majina yao nitahifadhi) utaambiwa ulipie 30,000 dirishani 50,000 weka kwenye ile dro yani kodi ya kwenye 150,000 serikali inapata 30,000 na 50,000 inaingia mifukoni mwao.

Kwenye simu utaambiwa kalipie dirishani 20,000 na 30,000 leta huku hapo kwenye bargain wataangalia umesema una kiasi gani robo iende serikalini na robo tatu wanachukua wao

Sio mara ya kwanza au ya tano nimekutana na hivi vitu inauma zaidi pale mzungu anapopita free na mabegi zaidi ya manne bila kupigwa search wala kuulizwa hivi vite ni vya nini?

Nimefatilia mpaka Mapato house kujua bei elekezi za mizigo kutoka nje kwa kupitia viwanja vya ndege sijapata majibu ya kuridhisha

Naomba kujua hizi kodi ziliekwa kwaajili ya kukomoana pamoja na hizi rushwa tunazotoa kutokana na kutokujia bei elekezi wahusika wanajua kua serikali inapoteza karibia nusu ya mapato?
 
Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
2,968
2,000
Mzee baba ya kaisari muachie kaisari duniani hakuna haki na ukiitafuta kwa nguvu utapotea kama upepo,hv haujui TRA wana nguvu kushinda rais kama huamini Rais alisema kisa cha mfanyabiashara mmoja Kariakoo kwamba alipwe fidia na TRA mwaka sana hata mia mbovu hajapewa complex31

Sent using IPhone X
 
Malcolm X5

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,140
2,000
Hii ni kweli kabisa ndugu yangu,ishanikuta mara kibao,mimi ilikuwa ni jersey tu za liverpoool,tena nilipewa zawadi,nilikomaliwa siku hiyo sintosaha,wakati airport zote nilipotoka no one even bothered to ask?,,pair mbili za jersey??,aisee siku ile nilijichukia kuzaliwa hapa...
 
complex31

Senior Member
Jun 15, 2016
182
500
Hii ni kweli kabisa ndugu yangu,ishanikuta mara kibao,mimi ilikuwa ni jersey tu za liverpoool,tena nilipewa zawadi,nilikomaliwa siku hiyo sintosaha,wakati airport zote nilipotoka no one even bothered to ask?,,pair mbili za jersey??,aisee siku ile nilijichukia kuzaliwa hapa...
Pole sana unaweza ukadhani sio Tanzania
 
complex31

Senior Member
Jun 15, 2016
182
500
Mzee baba ya kaisari muachie kaisari duniani hakuna haki na ukiitafuta kwa nguvu utapotea kama upepo,hv haujui TRA wana nguvu kushinda rais kama huamini Rais alisema kisa cha mfanyabiashara mmoja Kariakoo kwamba alipwe fidia na TRA mwaka sana hata mia mbovu hajapewa complex31

Sent using IPhone X
Kwa maana hiyo hii TRA ni chaka la majambazi wamejificha huko kukandamiza wafanyabiashara.
 
impelle

JF-Expert Member
Jan 20, 2017
776
1,000
Kuna siku moja mwaka jana nilichukia sana hao watumish wa TRA hapo airport baada ya kunikadiria kulipia kodi tsh 251,000/= simu ya Tecno (nilikuwa nairudisha nyumbani maana huku haitumiki) na nyingine nilimbebea baba yangu kama zawadi mimi namiliki simu mbili jumla simu 4, so eti wakanisamehe simu moja zingine wakazing'ang'ania. Kuna mahali kuna shida, sidhani kama ni haki kutoza kodi ya vitu tunavyotumia kisa tu tunatoka nje ya nchi, kuna haja ya mamlaka kulitazama upya hili suala huu ni uonevu na kunapunguza uzalendo kwa nchi yetu wenyewe.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,356
2,000
Habarini za huku.
Leo nimeona niandike jinsi gani watumishi wa mamlaka ya mapato TRA kitengo cha ukusanyaji mapato wa uwanja wa ndege airport jinsi wanavotumia vyeo vyao vibaya kujipatia hela kwa njia kandamizi na kwa kuomba rushwa nje nje.

Wafanyabiashara hupendelea kupanda Ethiopian, Emirates, KQ pamoja na Qatar kutokana na bei ya Ticket kwenda kwenye miji ya biashara China, Thailand, Dubai na Turkey kua chini pamoja na gharama za mizigo hua tunaiita MCO kua nafuu kulinganisha na ndege kama KLM na Turkish airways.

Kwa kwaida ndege wanakupatia Kilo 21 x 2 pamoja na kilo 7 za mizigo kwa ticket moja ambapo kwa mizigo hii inaelezeka mara nyingi ni vitu binafsi pamoja na zawadi.

Kwa wafanyabishara hununua KG 28 - 32 ili kuweza kua na kilo nyingi zaidi kwa wale wanonunua MCO watakua wamenielewa.

Shida inaanza ukitua airport yetu hawa jamaa wa TRA wakuone na mizigo mingi ambapo hawajali maelezo yako ni ya biashara, ya zawadi, ya kwako binafsi au nini.

Box moja la nguo la KG32 wataanza kusema gharama ya kodi ni 150,000 bila kujua thamani ya hizo nguo au viatu vilivomo huko ndani.

Ukiwa na simu zaidi ya mbili ndio shida zaidi kwani simu moja hutaka ulipie kodi ya shilingi 100,000 mpaka 400,000 na kutumia ubabe na lugha isioleweka pia kutokuelezea hizo gharama za kodi wao wanatumia kigezo gani kujua thamani ya kodi inayopaswa kulipwa

Perfume zaidi ya mbili utaambiwa ni za biashara unatakiwa ulipie kichupa kimoja cha millimeter 120 shilingi 30,000.

Kwa wale wabeba vifaa vya simu kama vioo na protector kwq box la KG 21 huchajiwa 250,000.

Sasa kutokana na hizi bei ambazo sio elekezi hushawishika kuanza maongezi ya jinsi gani unaweza kupunguziwa pesa ya kodi.

Kwa mwenye box la nguo ambalo kodi aliambiwa 150,000 (majina yao nitahifadhi) utaambiwa ulipie 30,000 dirishani 50,000 weka kwenye ile dro yani kodi ya kwenye 150,000 serikali inapata 30,000 na 50,000 inaingia mifukoni mwao.

Kwenye simu utaambiwa kalipie dirishani 20,000 na 30,000 leta huku hapo kwenye bargain wataangalia umesema una kiasi gani robo iende serikalini na robo tatu wanachukua wao

Sio mara ya kwanza au ya tano nimekutana na hivi vitu inauma zaidi pale mzungu anapopita free na mabegi zaidi ya manne bila kupigwa search wala kuulizwa hivi vite ni vya nini?

Nimefatilia mpaka Mapato house kujua bei elekezi za mizigo kutoka nje kwa kupitia viwanja vya ndege sijapata majibu ya kuridhisha

Naomba kujua hizi kodi ziliekwa kwaajili ya kukomoana pamoja na hizi rushwa tunazotoa kutokana na kutokujia bei elekezi wahusika wanajua kua serikali inapoteza karibia nusu ya mapato?
TISS wapo hapo airport ngoja waione hii kitu wadabue hawa wala rushwa wakubwa.
 
Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
7,356
2,000
Mzee baba ya kaisari muachie kaisari duniani hakuna haki na ukiitafuta kwa nguvu utapotea kama upepo,hv haujui TRA wana nguvu kushinda rais kama huamini Rais alisema kisa cha mfanyabiashara mmoja Kariakoo kwamba alipwe fidia na TRA mwaka sana hata mia mbovu hajapewa complex31

Sent using IPhone X
Very soon mkuu huyo mkurugenzi wa TRA na waliohusika watafukuzwa kazi, kauli ya rais ni SHERIA, stay tuned.
 
complex31

Senior Member
Jun 15, 2016
182
500
Kuna siku moja mwaka jana nilichukia sana hao watumish wa TRA hapo airport baada ya kunikadiria kulipia kodi tsh 251,000/= simu ya Tecno (nilikuwa nairudisha nyumbani maana huku haitumiki) na nyingine nilimbebea baba yangu kama zawadi mimi namiliki simu mbili jumla simu 4, so eti wakanisamehe simu moja zingine wakazing'ang'ania. Kuna mahali kuna shida, sidhani kama ni haki kutoza kodi ya vitu tunavyotumia kisa tu tunatoka nje ya nchi, kuna haja ya mamlaka kulitazama upya hili suala huu ni uonevu na kunapunguza uzalendo kwa nchi yetu wenyewe.
Kwenye Income Tax Act ambapo vitu vya kutoza kodi vimeelezewa huko, kitu ambacho ni for personal use/ consumption kuna vigezi vimeekwa kutoza ama kutokutoza kodi. Hawa sijui hua wanaangalia nini unaeza toka na simu hapa kwenda kuitengeneza China, siku unarudi nayo wanakuambia ilipie kodi, kumbuka hiyo simu ulinunua huku huku nchini na receipt unaeza kua nayo bado wakakuambia lipia kodi
 
Mfukua Makaburi

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,995
2,000
Duniani kodi ni jambo rahisi sana. Kila kitu wazi na raia wengi wanauelewa. Unajua kabisa nikibeba hiki kodi yake ni hii na hiki ni hii.

Hapa kwetu mambo ni tofauti. Kodi wanaijua TRA tu,hakuna uwazi wa kodi, unatika na kitu nje hujui utalipa kiasi gani.

Hawasemi mwisho simu ngapi za binafsi na za biashara wao ukiwa na simu 2 tu ni shida. Ndio maana mazingira ya rushwa TRA ni makubwa sana.

Bila uwazi kwenye kodi hii nchi haitaenda mahala.
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
3,079
2,000
Huu wote ni uozo wa viongozi wa TRA,si mara moja wala kumi watu kulalamikia wizi unaofanywa na maafisa wao kwenye viwanja vya ndege iwe DAR au KIA kote huko shiidaa tupu.
 
kissa anyigulile

JF-Expert Member
Apr 21, 2017
228
250
Huu wote ni uozo wa viongozi wa TRA,si mara moja wala kumi watu kulalamikia wizi unaofanywa na maafisa wao kwenye viwanja vya ndege iwe DAR au KIA kote huko shiidaa tupu.
Poleni saana wote mliobughudhiwa kwa namna moja au nyigine. TRA ni Mali ya Serikali, hivyo muajiri ni Serikali.
P CCB ni mali ya serikali na vile vile muajiri ni serikali. Uzuri wa the later sector anaajiri kimyakimya na kufanya kazi kimyakimya. You wait, time will tell.
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
3,537
2,000
Hao watu tulikuwa tunazinguana sana kipindi narudi likizo kutoka masomoni nje, watataka wafungue mabegi uliyobeba waangalie vilivyomo ili wakukamue kodi. Sikumbuki kama niliwahi kuwalipa hata buku maana moto ninaowasha hapo si wa dunia hii.
 
valet de chambre

JF-Expert Member
Mar 12, 2017
508
500
Habarini za huku.
Leo nimeona niandike jinsi gani watumishi wa mamlaka ya mapato TRA kitengo cha ukusanyaji mapato wa uwanja wa ndege airport jinsi wanavotumia vyeo vyao vibaya kujipatia hela kwa njia kandamizi na kwa kuomba rushwa nje nje.

Wafanyabiashara hupendelea kupanda Ethiopian, Emirates, KQ pamoja na Qatar kutokana na bei ya Ticket kwenda kwenye miji ya biashara China, Thailand, Dubai na Turkey kua chini pamoja na gharama za mizigo hua tunaiita MCO kua nafuu kulinganisha na ndege kama KLM na Turkish airways.

Kwa kwaida ndege wanakupatia Kilo 21 x 2 pamoja na kilo 7 za mizigo kwa ticket moja ambapo kwa mizigo hii inaelezeka mara nyingi ni vitu binafsi pamoja na zawadi.

Kwa wafanyabishara hununua KG 28 - 32 ili kuweza kua na kilo nyingi zaidi kwa wale wanonunua MCO watakua wamenielewa.

Shida inaanza ukitua airport yetu hawa jamaa wa TRA wakuone na mizigo mingi ambapo hawajali maelezo yako ni ya biashara, ya zawadi, ya kwako binafsi au nini.

Box moja la nguo la KG32 wataanza kusema gharama ya kodi ni 150,000 bila kujua thamani ya hizo nguo au viatu vilivomo huko ndani.

Ukiwa na simu zaidi ya mbili ndio shida zaidi kwani simu moja hutaka ulipie kodi ya shilingi 100,000 mpaka 400,000 na kutumia ubabe na lugha isioleweka pia kutokuelezea hizo gharama za kodi wao wanatumia kigezo gani kujua thamani ya kodi inayopaswa kulipwa

Perfume zaidi ya mbili utaambiwa ni za biashara unatakiwa ulipie kichupa kimoja cha millimeter 120 shilingi 30,000.

Kwa wale wabeba vifaa vya simu kama vioo na protector kwq box la KG 21 huchajiwa 250,000.

Sasa kutokana na hizi bei ambazo sio elekezi hushawishika kuanza maongezi ya jinsi gani unaweza kupunguziwa pesa ya kodi.

Kwa mwenye box la nguo ambalo kodi aliambiwa 150,000 (majina yao nitahifadhi) utaambiwa ulipie 30,000 dirishani 50,000 weka kwenye ile dro yani kodi ya kwenye 150,000 serikali inapata 30,000 na 50,000 inaingia mifukoni mwao.

Kwenye simu utaambiwa kalipie dirishani 20,000 na 30,000 leta huku hapo kwenye bargain wataangalia umesema una kiasi gani robo iende serikalini na robo tatu wanachukua wao

Sio mara ya kwanza au ya tano nimekutana na hivi vitu inauma zaidi pale mzungu anapopita free na mabegi zaidi ya manne bila kupigwa search wala kuulizwa hivi vite ni vya nini?

Nimefatilia mpaka Mapato house kujua bei elekezi za mizigo kutoka nje kwa kupitia viwanja vya ndege sijapata majibu ya kuridhisha

Naomba kujua hizi kodi ziliekwa kwaajili ya kukomoana pamoja na hizi rushwa tunazotoa kutokana na kutokujia bei elekezi wahusika wanajua kua serikali inapoteza karibia nusu ya mapato?
Rekebisha heading Mkuu isome TRA JNIA yakithiri kwa rushwa. Vitengo vingi pale.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom