rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Watoa rushwa waliopitishwa na wajumbe wasishinikize wagombea wao kupitishwa

    Wapo baadhi ya waliogombea kupitia CCM ambao walitumia rushwa wanaendelea kutumia rushwa ili kushinikiza wateuliwe na kuwa wagombea huku wakijua wazi wametumia rushwa. Napenda kuwaasa kuwa CCM ipo macho na inawaona masaa 24 na hivyo wasitumie pesa kujimwambafai kwa kukusanya vikundi vya watu...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM haina uwezo wa kumuondoa mgombea yeyote kwa sababu ya kutoa rushwa, labda iwe kwa sababu nyingine

    Huu ndio ukweli wa wazi kabisa, kwamba kauli za polepole kwamba waliotoa rushwa watafundishwa adabu zichukuliwe kama porojo za kunogesha mazungumzo yake tu, hazina ukweli wowote na hata kwa cheo alichonacho hana mamlaka ya kumuengua mtu yeyote kwa tuhuma zozote (soma majukumu wa katibu mwenezi...
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu akikemea rushwa atawachukiza watoa hela za mafuta?

    Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu Rushwa imekuwa ikisababisha...
  4. JamiiForums Tanzania Rushwa ya ngono yaingia kwenye makosa ya uhujumu uchumi

    “HAKUNA Mwanaume amewahi kulalamika rushwa ya ngono,” amesema Mwendesha Mashtaka wa Takukuru, Stella Mafuru. Amesema kesi zote zinazohusu rushwa ya ngono, zinatolewa na wanawake, lakini hakuna mwanaume yeyote ambaye amewahi kuripoti rushwa hiyo ya ngono ambayo kwa sasa imeingia kwenye kipengele...
  5. JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyetaka rushwa ya ngono kwa mwanafunzi afunguliwa shtaka la uhujumu uchumi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Dodoma inatarajia kumfikisha mahakamani Mhadhiri Msaidizi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Jacob Nyangusi (43) na kufunguliwa shauri la uhujumu uchumi kwa kosa la kutaka rushwa ya ngono kinyume cha sheria ya kuzuia na Kupambana na rushwa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa mafuriko ya Lissu wafichuka, ni watoa rushwa CCM wanahaha kwa kuwatuma wafuasi wao

    Hatimaye siri imefichuka baada Katibu itikadi na uenezi CCM, kuwatisha wabunge washindi wa kura za maoni, sasa wabunge hao waibuka na janjajanja wasikatwe. Mbinu inayotumiwa na mafisadi wa CCM walionunua wajumbe, ni kuwatuma wafuasi wao katika misafara ya Tundu Lissu anayesaka wadhamini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Tundu Lissu ana uwezo wa kupambana na rushwa na ufisadi? Historia yake inatuhakikishia hilo?

    Jambo kubwa kabisa alilolifanya Rais Magufuli ni kuwashughulikia mafisadi wala rushwa na wapiga dili waliokuwa wanalihujumu taifa letu. Wananchi zaidi ya 95% wanataka Kazi Iendelee kwamba sasa yakang'olewe mazalia na mabakibaki ya mafisadi popote yalikobakia na wanataka jukumu hilo likamilishwe...
  8. JamiiForums Tanzania Kipanya na rushwa mchakato kupata wagombea CCM

    Ukimya wa CCM kwenye kuteua wagombea una jambo nyuma yake,sio bure! Kwa nyepesi nyepesi zilizoko mtaani ni kuwa majimbo karibu yote rushwa imehusika! Je, itakuwa funika kombe?
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Rushwa ilivokithiri Kura za maoni za CCM Jimbo la Kalenga

    Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa. Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ni Maajabu: CCM inajua kuna wagombea wamepita kwa kutoa Rushwa ila TAKUKURU hawajamkamata hata mmoja nchi nzima

    Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ni rahisi zaidi kwa CCM kuachana na Rushwa kuliko wapinzani kuweka mgombea mmoja kwa Rais na Mbunge

    Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
  12. JamiiForums Tanzania Watanzania hawamchukii Magufuli, wanaichukia CCM kwa sababu ya rushwa kukithiri

    Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao. Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM. Sisi...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Utumishi, Wizara ya Fedha na TAKUKURU kwanini mnaruhusu watumishi wa umma kukopea mishahara yao hadi Senti ya mwisho? Hamuoni kuwa inachangia Rushwa?

    Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP) Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kutoka Diamond Jubilee Dar: Mkutano Mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi, Yeremia Kulwa Maganja ateuliwa kuwania Urais Tanzania

    Heshima kwenu Wakuu, Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu. Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Je, Wajumbe wamempa Dkt. Magufuli, CCM na Taifa wagombea tarajiwa watakaoongoza vita dhidi ya rushwa?

    Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ? Kama bila CCM imara taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Kalemani tunaomba imulike TANESCO jiji la Mbeya rushwa imezidi kuunganishiwa umeme

    Habari wanajamvi, Kiukweli kuunganishiwa umeme kwa jiji la Mbeya, imekuwa kama ni hisani. Nimelipia nguzo ili niunganishiwe umeme laki 567,000 tokea mwezi wa pili lakini hadi leo sijapata huduma ya kuunganishiwa umeme. Nimefuatilia ofisini kwa mara kwa mara wanasema tutakuja tutakuja lakini...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  18. JamiiForums Tanzania Kuhusu Rushwa kura za maoni CCM: Wahojiwe Wajumbe wenyewe na siyo kusubiri ushahidi wa TAKUKURU

    Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo. TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
  19. JamiiForums Tanzania Madhara ya Rushwa katika Uchaguzi

    #UchaguziMkuu2020Tz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…