Uchaguzi 2020 Je, Wajumbe wamempa Dkt. Magufuli, CCM na Taifa wagombea tarajiwa watakaoongoza vita dhidi ya rushwa?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
11,959
20,531
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule

Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ?

Kama bila CCM imara taifa litayumba, je kuna mikakati gani ya kuondoa vimelea vya rushwa ndani ya chama ambayo itayumbisha taifa?

Je, itawezekana kusafisha rushwa Serikalini bila kuisafisha ndani ya chama?

Je, JPM akiangalia kushoto na kulia anaona kazungukwa na wagombea wa aina gani? Je, kama hapendi rushwa lakini kazungukwa na wagombea hawa, nini kitatokea akiiondoka madarakani?

Je, si ndio hawa hushangilia pale JPM anaposhambulia corruption na hata wakati wa hotuba ya kuvunja bunge kidogo meza zipasuke kwa makofi pale JPM alipoonyesha mafanikio ya vita dhidi ya rushwa
 
Mkuu unaongea nini !!? Yaani yeye aingie kwa rushwa halafu aje apambane na rushwa !!?? Moja ya vitu vilivyokuwa vimemshinda JK kupambana navyo basi ni hivyo....HUWEZI KUZUIA WIZI WAKATI NAWE NI MWIZI.
 
Rushwa sio jambo dogo...ni utamaduni.

Viongozi kukemea rushwa sio suluhisho pekee. Tanzania Rushwa ilishakuwa kwenye mfumo wetu wa maisha.

Kuimaliza labda hadi kizazi cha tatu. Ila Rais Magufuli binafsi anaonyesha juhudi saana.
 
Mkuu unaongea nini !!? Yaani yeye aingie kwa rushwa halafu aje apambane na rushwa !!?? Moja ya vitu vilivyokuwa vimemshinda JK kupambana navyo basi ni hivyo....HUWEZI KUZUIA WIZI WAKATI NAWE NI MWIZI.
Aisee
 
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule

Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ?

Kama bila CCM imara taifa litayumba, je kuna mikakati gani ya kuondoa vimelea vya rushwa ndani ya chama ambayo itayumbisha taifa?

Je, itawezekana kusafisha rushwa Serikalini bila kuisafisha ndani ya chama?

Je, JPM akiangalia kushoto na kulia anaona kazungukwa na wagombea wa aina gani? Je, kama hapendi rushwa lakini kazungukwa na wagombea hawa, nini kitatokea akiiondoka madarakani?

Je, si ndio hawa hushangilia pale JPM anaposhambulia corruption na hata wakati wa hotuba ya kuvunja bunge kidogo meza zipasuke kwa makofi pale JPM alipoonyesha mafanikio ya vita dhidi ya rushwa
Je yeye alitoa nafasi kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa ccm kuchuja na kutoa rais bora Tanzania?
 
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule

Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ?

Kama bila CCM imara taifa litayumba, je kuna mikakati gani ya kuondoa vimelea vya rushwa ndani ya chama ambayo itayumbisha taifa?

Je, itawezekana kusafisha rushwa Serikalini bila kuisafisha ndani ya chama?

Je, JPM akiangalia kushoto na kulia anaona kazungukwa na wagombea wa aina gani? Je, kama hapendi rushwa lakini kazungukwa na wagombea hawa, nini kitatokea akiiondoka madarakani?

Je, si ndio hawa hushangilia pale JPM anaposhambulia corruption na hata wakati wa hotuba ya kuvunja bunge kidogo meza zipasuke kwa makofi pale JPM alipoonyesha mafanikio ya vita dhidi ya rushwa
Watoa Rushwa ndio wapambane na Rushwa ila kwa Tanzania hakuna kinachoshindikana
 
Back
Top Bottom