Kipanya na rushwa mchakato kupata wagombea CCM

Bome-e

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
17,104
26,070
Ukimya wa CCM kwenye kuteua wagombea una jambo nyuma yake,sio bure!
Kwa nyepesi nyepesi zilizoko mtaani ni kuwa majimbo karibu yote rushwa imehusika!
Je, itakuwa funika kombe?
117391946_972810663146733_7351421295988745394_n.jpg
 
Ukimya wa CCM kwenye kuteua wagombea una jambo nyuma yake,sio bure!
Kwa nyepesi nyepesi zilizoko mtaani ni kuwa majimbo karibu yote rushwa imehusika!
Je,itakuwa funika kombe???View attachment 1535784View attachment 1535784
CCM ya JIWE hiyo, eti ndio safi kuliko zote.
Mwenzenu naona ndio INAZIDI kung'ara kwa demokrasia ya RUSHWA
Maana hata wanaojifunza kutoa rushwa , kama yule mwaJF aliepata 0, walijivunia kujazana huko kwenye nguvu ya RUSHWA
 
Ccm na rushwa baba yao na mama yao mmoja!
 
Back
Top Bottom