Inachekesha Sana kwamba Kama nchi tuna chombo Cha kupambana na Rushwa Ila Hadi Leo tunavyoongea Hakuna mtia Nia wa chama chochote aliyepelekwa mahakamani kwa tuhuma za kugawa Rushwa ingawa Rushwa imetembea wazi wazi
Cha kushangaza zaidi CCM Wana taarifa za baadhi ya wagombea kupitishwa kwa...
Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda
Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
Chama changu kinachukiwa na wananchi kutokana na kukithiri kwa vitendo vya rushwa kukithiri. Wananchi wanahisi kubadili chama huenda ndio suluhisho la maisha bora kwao.
Pamoja na ukali wa Mwenyekiti wetu wa chama taifa kuhusu Rushwa, lakini kwa sasa Rushwa ndio kwanza inazaliwa CCM.
Sisi...
Kuna watu wamechukua Mikopo mikubwa sana na ndani ya mkopo hiyo wameongeza mikopo mingine tena juu kwa juu (inaitwa TOP-UP)
Sipo hapa kumpangia mtu Matumizi ya Mikopo yake; lakini swali langu je hao watumishi wanaokatwa mishahara yao yote kwa mikopo wanaishije kwa kubakiwa na chenji kwenye...
Heshima kwenu Wakuu,
Leo nccrmageuzihq Wanafanya MKutano Mkuu ambao unafanyikia katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar Es Salaam. Mwaka huu NCCR wamejipanga kushiriki Uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba kikamilifu.
Dira na Madhumuni ya NCCR ni Kuwa chama chenye nguvu kinachofuata itikadi ya...
Ndugu wa JF, Rais wetu na viongozi wakuu wa kitaifa wamekuwa wakijipambanua kupambana na rushwa na Mkuu wetu amekuwa akitumbua watumishi wa umma na wakandarasi huku na kule
Je, wajumbe wametupa kikosi cha wagombea kinachochukia rushwa au JPM yuko peke yake ?
Kama bila CCM imara taifa...
Habari wanajamvi,
Kiukweli kuunganishiwa umeme kwa jiji la Mbeya, imekuwa kama ni hisani. Nimelipia nguzo ili niunganishiwe umeme laki 567,000 tokea mwezi wa pili lakini hadi leo sijapata huduma ya kuunganishiwa umeme.
Nimefuatilia ofisini kwa mara kwa mara wanasema tutakuja tutakuja lakini...
Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
RUSHWA TUNAILEA
RUSHWA INATULEA
Hali ya rushwa katika chaguzi zetu inatisha kuliko wakati wowote. Jitihada za kupambana nayo zinalingana na ongezeko la rushwa yenyewe, yaani vita imeongeza rushwa badala ya kuipunguza. Hii ni kwa vyama vyote na wagombea wote. Tofauti ni viwango tu. Kwa hiyo ni...
Kuna Video clip inazunguka mitandaoni ikimuonyesha Dkt. M.Mwanjelwa na wajumbe wakipeana hongo.
Kama itathibitishwa itakuwa imemmaliza kabisa kisiasa huyu Mama ikizingatiwa amekuwa Naibu Waziri kwa muda mrefu, Tena kwenye Wizara inayohusika na mapambano dhidi ya rushwa na utawaka Bora.
Naamini...
Yaani chaguzi zenu zote kuanzia udiwani hadi ubunge majimbo na viti maalum washindi kila mahali inasemekana zimetawaliwa na rushwa na haya yanathibitishwa na wajumbe wenyewe waliopokea milungula hiyo. TAKUKURU ni kama hawajaona hivi, ni kama wanaogopa hivi.
Waombeni TIS wawasaidie Kama...
Baadhi ya wana CCM wamekipaka matope sana chama chetu sababu ya ubinafsi wao. Kilichotokea kwa baadhi ya majimbo husuani Sengerema ni aibu. Mabepari na watoa rushwa hasa jimbo la Sengerema waliwahonga wapiga kura kila kata.
Masharti yalitolewa kwa makatibu kata na viongozi wengine wanapokwenda...
Na Mwandishi Wetu
HALI ya sintofahamu inazidi kugubika ushindi wa Jackson Kangoye kwenye kura za maoni katika jimbo la Tarime Mjini, baada ya viongozi wa Chama wilaya kukiuka taratibu na kumbeba Kangoye.
Taarifa za kuaminika ilizozipata zilidai kuwa Kangoye ametumia fedha lukuki ikiwemo kutoa...
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua
Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Rukwa inawashikilia wajumbe 7 akiwemo mtia nia wa ubunge viti maalum Iren Dyamukama wakazi wa kijiji cha Singiwe wilayani Kalambo baada ya kukamatwa wakati wakigawa fedha kiasi cha shilingi milioni nne kwa wajumbe wa UWT wilayani humo...
Chama dola kilichoshindwa kudhibiti rushwa hata kwa Wajumbe wake kimeibuka na mpango mkakati mpya wa kupata kura za Wajumbe kwa kutumia ndumba!
Maelezo kamili haya haya kwenye attachment.
Eti ndio CCM wanapiga kelele kudhibiti rushwa, wameshindwa rushwa wamehamia kwenye nyumba baada ya miaka...
Baada ya kusikia na kuona malalamiko mengi Sana ya watia nia ndani ya ccm kuwa walioshinda kura za maoni ni wenye fedha nyingi, Sexless unit iliingia majimboni kufanya utafiti.
Tulitaka kujiridhisha juu ya maswali yafuatayo;-
1. Je, rushwa ilitumika ktk mchakato wa kura za maoni ndani ya ccm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.