Habari za kuaminika kutoka Uyui zinasema Mahead master wawili wametoa Laki tano tano kwa Afisa elimu taaluma (jina nalihifadhi) ili wabaki kuwa wakuu wa shule sekondari Kinyume na kiwango cha elimu yao ambayo ni diploma!!!Wakuu hao kwa wakati tofauti wametoa rushwa hiyo ili kubaki madarakani...
Hivi karibuni Trafic Police wanakaa sambamba na kituo cha Ubungo Kibo kuzuia magari yasipite njia ya mwendo kasi (kuelekea Ubungo). Sambamba na kituo hicho, kuna kituo cha daladala pia na bajaji zinapakia na kushusha.
kutokana na pilikapilika mahali hapo, waendesha magari kuna wakati...
Sidhani kama hiyo kitu itaisha
Unapoingia mawasiliano watu wamejipanga wanasimamisha kila gari. Na kila gari konda anashuka anaweka 3000 anasokota kwenye risiti ya zamani akifika anakabidhi risiti anageuka.
Ukikaa kituo cha kwenda Mbezi unaweza kuhisi ni movie. Mbaya mmoja anasimamisha zaidi...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi.
Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
Waziri wa zamani wa Sheria Cho Kuk ameshtumiwa kwa jumla ya makosa 11 yakiwemo ya rushwa, uzuiaji wa Biashara na kughushi nyaraka na madai mengine yanayohusiana na kashfa dhidi ya familia yake
Mwendesha Mashtaka amedai ufadhili wa masomo ya Utabibu wa Milioni 6 (Fedha za Korea) alioupata mtoto...
Waziri wa zamani wa Habari na Mawasiliano, Son Bac Nguyen amehukumiwa kifungo hicho huku aliyekuwa Naibu wake, Tuan Quoc Tran akihukumiwa kifungo cha miaka 14 kwa makosa ya rushwa yaliyoisababishia Serikali hasara ya Dola za Marekani Milioni 3
Mahakama ya Watu ya Hanoi imetoa kifungo hicho kwa...
Moderator naomba andiko langu lijitegemee, lisiunganishwe na nyuzi kadhaa zilizoandikwa humu kuhusiana na Rushwa za ngono kwa sababu maudhui yake ni tofauti kabisa.
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa nyingi zinazoandikwa kuhusiana na rushwa za ngono au manyanyaso ya kingono yanayofanywa zaidi na...
Picha: Renatus Muabhi
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Nchini (TAKUKURU) inamshikilia Katibu Mkuu wa Chama cha Siasa kiitwacho Chama Cha Kijamii (CCK), Renatus Muabhi kwa kujifanya Mtumishi wa Taasisi hiyo
Anadaiwa pia kuomba rushwa ya Tsh. Milioni 50 kwa Mkurugenzi wa Kampuni ya...
Kumekuwa na tuhuma nyingi kuwa Taasisi ya Kuzuia Rushwa ni Toothless bull dog na kwamba taifa linapoteza fedha nyingi kuiendesha wakati haina tija yeyote. Na haya yamesemwa mpaka na wabunge wenyewe.
Kuna tuhuma ambazo zimekuja kama swali bungeni leo kuhusu wabunge wa CCM kupewa rushwa ya...
Ndugu wana JamiiForums,
Nchi yetu imetafunwa mno na ni wakati sasa tuseme imetosha. Tumsaidie Rais Magufuli na Serikali yake kuweza kuzifahamu kero zetu za yanayotusumbua kama Watanzania ambayo tungependa yafanyiwe kazi.
Karibuni sana.
MWONGOZO: Elezea jipu/kero yako na kama ina ufafanuzi wa...
Wanabodi,
Kuna hoja nyingi huwa zinaibuliwa humu JF kuhusiana na sisi waandishi wa habari, kwa vile na mimi ni mwandishi, naomba nichangie kwa lengo la kuhabarisha na kuelimisha na sio kujitetea!
Intro ya Pasco au Paskali.
Mimi ni Mtanzania, nimezaliwa jiji Dar es Salaam, nimesoma primary Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.