Tundu Lissu akikemea rushwa atawachukiza watoa hela za mafuta?

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,901
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa

Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu

Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.

Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu

Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.

Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.

Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
 
Kampeni bado hazijazinduliwa, kwa hiyo kazi ya kuinadi ilani nayo bado.
 
Mmeiba trillion 1.5, mmetoa rushwa kununua wabunge na madiwani wa upinzani, Rc Mnyeti akirekodiwa wazi wazi kati ya wengine wengi, mchakato wa kupata wagombea wenu wa ndani umegubikwa na rushwa majimbo yote 300+ Tz nzima, mgombea urais anapita akigawa rushwa barabarani tena hadharani,
Bado mnathubutu kuongelea suala la kukemea rushwa?? Mkiwa ninyi ndo vinara wa rushwa, Tanzania pengine na dunia na mfumo wa sayari kwa ujumla wake, aibu ccm, AIBU!
 
Hakuna watu clean ambao wanaweza kutoa ela za mafuta? Au inchi hii watu wote ni wala rushwa tu
Kiujazacho moyo...CCM bila Rushwa hakunaga.Wanashabikia rushwa inayotolewa na wagombea na kupokelewa na wajumbe kwa umoja wao katika ngazi zote za uongozi.Hatari sana.
CCM Mpya inafanya kampeni kwa kutumia miradi iliyotekelezwa kwa kodi za Watanzania wote.
 
Mbona ueleweki unaongea nn
 
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa

Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu

Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.

Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu

Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.

Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.

Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Kampeni hazijaanza mnaweweseka namna hii, sasa kampeni zikianza si mtampiga risasi tena?

Umeshaiona ilani ya Chadema? Maana ya ccm hata kuisoma hujawahi kazi kupiga vigelegele tu.
 
Mmeiba trillion 1.5, mmetoa rushwa kununua wabunge na madiwani wa upinzani, Rc Mnyeti akirekodiwa wazi wazi kati ya wengine wengi, mchakato wa kupata wagombea wenu wa ndani umegubikwa na rushwa majimbo yote 300+ Tz nzima, mgombea urais anapita akigawa rushwa barabarani tena hadharani,
Bado mnathubutu kuongelea suala la kukemea rushwa?? Mkiwa ninyi ndo vinara wa rushwa, Tanzania pengine na dunia na mfumo wa sayari kwa ujumla wake, aibu ccm, AIBU!
Hakika huo ndiyo ukweli,ukitaka kufahamu jinsi walivyo watakupinga kuwa kile afanyacho mgombea wao siyo rushwa.Wamepofushwa kiasi kwamba hawafahamu tena tafsiri ya rushwa ambapo hata TAKUKURU nao hawafahamu aina na mbinu watumaizo watoaji wakishirikiana na wapokeaji.
Rushwa Tanzania kupitia CCM na watu wake ni ruhusa ndiyo maana ile Mahakama ya Mafisadi haina wateja kwa miaka yote mitano.Waje waseme imemhukumu nani hadi leo au mashauri gani yanayosikilizwa sasa hivi?Sana sana watawatja Herbinder na Mzee Rugemarila ambao wanashtakiwa kwa shauri lililopo tangia wakati wa Mzee Kikwete la ESCROW,na Mzee alituambia hizo fedha siyo za serikali na ndiyo maana hilo shauri la kubumba halitokaa liishe.Wahusika halisi waliowezesha ufisadi ule wapo mtaani wanaponda life ila hao wazee wanatumika kufunika kombe...
Rushwa?Rushwa?Rushwa na CCM ni kama samaki na maji,hivyo Mh.Lissu hakubaliki na watawala waliozoea kuishi kwa Rushwa na ndiyo maana wapo tayari kufanya chochote kuhakikisha wanamzuia asigombee,wanafahamu fika yatakayowakuta akichaguliwa na Watanzania hivyo wanafanya juhudi kuzuia kimbunga kinachowanyemelea.
 
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa

Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu

Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.

Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu

Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.

Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.

Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Kampeni bado hazijazinduliwa, kwa hiyo kazi ya kuinadi ilani nayo bado.
Rushwa imekemewa kwa miaka yote na viongozi wetu lakini hzijawi kuisha. Kwahiyo kukemea sio kigezo cha kupambana na rushwa. Ilianzishwa mpaka mahakama ya mafisadi lakini sijui ni kesi ngapi na ni mafisadi gani mpaka sasa wameshahukumiwa kwenye hiyo mahakama.
 
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa

Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu

Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.

Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu

Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.

Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.

Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Kwani Tanzania Kuna Rushwa?
Mimi ninavyojua CCm kila mwaka hupambana na Rushwa na Kuimaliza. kwa hiyo tundu akichukua nchi si itakuwa safi tuu?
Sasa ya nini kukisemea kitu kisichokuwepo tena?
 
Hapo Sawa nimeelewa
Nashukuru wewe umeelewa mapema,tusaidiane kuwaelewesha Watanzania wenzetu ya kuwa bila kuiondoa CCM,mapambano dhidi ya Rushwa hayatakaa yafanikiwe kwa sababu hao ndiyo waanzilishi wa Rushwa hapa Tanzania,wameilea na wanailinda ili waendelee kuwepo.Hivyo,kuondoa Rushwa kwa njia ya kisayansi ni kuondoa chanzo chake ambacho ni CCM.
Jukumu la kuiondoa CCM madarakani haitokuwa rahisi kama tunavyodhani kwa sababu ya uwezo wao wa kutoa Rushwa hadi za kimfumo mfano wajumbe wa Tume licha ya kuteuliwa na Mwenyekiti wa CCM,amewatishia kuwa ajira zao zinamtegemea yeye nao bila kutafakari kuwa nafasi walizonazo ni za kisheria wamejaa hofu.POLISI bila kufahamu kuwa kazi yao ya msingi ni Kulinda Raia na Mali zao,wao wanapiga,wanahukumu,wanaweka raia vizuizini kwenye vituo vyao na kudhibiti wapinzani wasifanye siasa bila kuzingatia sheria wala weledi wowote.
Jukumu letu kama Watanzania ni kuhakikisha kuwa tunaikataa Rushwa kwa kuwakataa Waasisi wake wote toka chini hadi juu.
 
Mgombea ambaye leo siku ya 20 akiwa Tanzania hajaongelea na kukemea rushwa badala yake anawatetea wala Rushwa

Rushwa ni adui wa haki: wala rushwa wanaua, wananyonga, wanadhorotesha ustawi wa uchumi wa nchi yetu. Rushwa husababisha Mateso makali kwa wananchi wetu

Rushwa imekuwa ikisababisha vifo vya wagonjwa wengi hospitalini.

Rushwa imekuwa ikisababisha madhara makubwa kwenye utu hadhi na heshima ya binadamu

Amepatikana mtetezi wa wakwepa Kodi, mafisadi na wala Rushwa sugu. Mafisadi haya yameitesa nchi kwa miaka mingi wacha Magufuli ayashughulikie.

Mgombea huyu, Tundu Lissu hawezi kuleta ustawi wa jamii bila kupambana na wala Rushwa.

Tutamuadhibu kwa kumpa 0% akawasimulie Ubeligiji kwamba alikuwa anawadanganya.
Alipoongelea wajasiriamali wa kisiasa hukumuelewa? Subiri muziki wake kampeni zikianza ndo utasikia kipigo cha rushwa kwenye kura za maoni. Au nyie rushwa ni halali kwenye chama lenu?
 
Back
Top Bottom