rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. IBRAHIM EMMILIAN MBAWALA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kupambana na rushwa kwa mabadiliko makubwa

    Utawala bora ni msingi muhimu katika kukuza maendeleo endelevu na ustawi wa jamii. Moja ya changamoto kubwa katika kufikia utawala bora ni janga la rushwa, ambalo huzuia ukuaji wa kiuchumi, hupotosha usawa na haki, na kudhoofisha imani ya umma kwa serikali. Hata hivyo, kuna matumaini mapya ya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

    Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume Tume hiyo iliundwa Jan...
  3. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara yatuhumiwa kwa upigaji wa zaidi ya Tsh. Millioni 600

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa zaidi ya shillingi millioni 600 zilizoingizwa katika akaunti ya mahakama hiyo kwa ajili ya kuwalipa wanufaika zaidi ya 100 wa mirathi kwa mwaka 2020/2022. --- Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara inatuhumiwa kwa ubadhirifu wa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: "Machawa" sio wawakilishi wa Vijana

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo akiwa katika Maadhimisho ya Siku ya Mapambano dhidi ya Rushwa Afrika, yaliyofanyika Jijini Arusha, Tanzania amesema vijana wanaongoza katika mapambano ya rushwa na ni vema vijana wakashirikishwa katika maamuzi Akieleze mchango wa Vijana katika...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maana ya Vitendo vya Rushwa, Ubadhirifu na Udanganyifu

    Kwa mujibu wa “Mkakati wa Taifa Dhidi ya Rushwa na Mpango wa Utekelezaji wa Awamu ya Tatu 2017-2022 (NASCAP III)”, vitendo vya rushwa vinatafsiriwa kuwa ni kutoa, kupokea au kushawishi moja kwa moja kutolewa au kupokelewa kwa kitu chochote cha thamani kwa maslahi au matumizi binafsi, ili...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: 'Tulipiga Kura za Wazi kwasababu Kulikuwa na dalili za Rushwa'

    Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chadema, Ruth Mollel amesema katika mkutano wa baraza kuu uliofanyika Mei 11 mwaka jana, walilazimika kupiga kura za wazi kwa kuwa kulikuwa na dalili za rushwa. Mollel alieleza hayo jana wakati akihojiwa maswali ya dodoso na Wakili Ipilinga Panya katika kesi ya...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapanda viwango vya Udhibiti Rushwa Afrika, yawa ya 14 kutoka 19

    Jihudi za Kukabiliana na Rushwa za Serikali ya awamu ya 6 Zinazidi kuzaa matunda baada ya Tanzania kuzidi kufanya vizuri. Kwa mujibu wa jaridi la Transparency International linaloangazia masuala ya Rushwa,Tanzania imeendelea kufanya vizuri katika kudhibiti Rushwa kutoka kuwa ya 19 mwaka 2021...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Vijana Wana nafasi kubwa ya kuzuia rushwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums, Maxence Melo amesema vijana wana nafasi kubwa ya kupambana na vitendo vya rushwa kwa kupitia mitandao ya kijamii ambayo inakutanisha kundi kubwa la vijana. Melo amesema hayo wakati akichangia mada kwenye Kongamano la Mapambano dhidi ya Rushwa linalofanyika...
  9. OLS

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu na Rushwa bado ni mkubwa

    Kwa kuzingatia ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka wa fedha 2021/22, ni wazi kuwa rushwa, ubadhirifu, na udanganyifu bado ni matatizo makubwa katika matumizi ya fedha za umma. WAJIBU, kwa kuzingatia ripoti hiyo, imegundua miamala mingi yenye viashiria vya...
  10. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Hali ya kutokuwepo, kutokufahamika au/na kutokutumika kwa mkataba wa huduma kwa wateja kwenye taasisi nyingi inavyochochea rushwa na kutokuwajibika

    Mkataba wa Huduma kwa Wateja ni nyaraka muhimu inayoweka bayana huduma zote zinazotolewa na Taasisi husika, muda unaotumika kutoa huduma hizo pamoja na viwango vya huduma vinavyopaswa kutolewa kwa wananchi. Mkataba wa Huduma kwa wateja ndio nyaraka inayoeleza kwa kina aina zote za huduma...
  11. Tonytz

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuboreshwe uwajibikaji wa kitaasisi katika kupambana na rushwa

    picha: mtandaoni@JamiiForums UTANGULIZI. Rushwa kwa maana iliyo nyepesi ni kitendo cha kutumia nafasi za kimadaraka na kiofisi au hadhi za kiofisi kutumia rasilimali za umma kujipatia manufaa binafsi. Rushwa inajumuisha kutoa na kupokea hongo. Kwa miongo mingi sasa rushwa imekuwa chanzo kikubwa...
  12. jemsic

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tukiondoa urasimu katika utoaji wa huduma za umma tutapata utawala bora

    DIBAJI Tanzania ni nchi yenye historia kubwa na ya muda mrefu ya urasimu ambao umeanza toka kipindi cha ukoloni. Ukiangalia urasimu huu ulipandikizwa na wakoloni ili iwe rahisi kuitawala na kuendesha nchi na kuchukua wanavyovitaka kwa kipindi hicho. Urasimu umedumu toka kipindi hicho na...
  13. C

    JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali iteketeze kichaka hiki cha rushwa barabarani

    SERIKALI ITEKETEZE KICHAKA HIKI CHA RUSHWA BARABARANI UTANGULIZI. Maana ya rushwa; Rushwa maana yake ni matumizi mabaya ya mamlaka au nafasi fulani iliyo rasmi kwa lengo lakujipatia faida binafsi kinyume na sheria na kanuni ya maadili ya nchi.Pia tunaweza kusema rushwa ni fedha au...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi

    Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo; Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi. Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

    Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho. Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
  16. P

    JamiiForums Tanzania SoC03 Utawala bora katika Mabaraza ya Kata

    1.1 Utangulizi Katika kuhakikisha suala la utawala bora linatekelezwa hapa nchini, serikali imekuwa ikifanya juhudi za mageuzi ya kutumia teknolojia na kuanzisha mifumo ya Tehama, hii ikiwa ni katika jitihada za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kiutendaji katika ngazi mbalimbali zinazotoa...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tunawataka DP World, Wabongo wa bandarini tumewachoka wamejaa rushwa na urasimu. Kuwe na kipengere cha Mkataba kuisha kila baada ya Miaka mitano!

    Dp world waje ila kwa mkataba wa miaka mitano mitano, kila baada ya miaka mitano kuwe na option ya kuwaruhusu waendelee kukiwa na ufanisi ama waondoke wakizingua. Kama Dp World hataki kuwa na mkataba wa miaka mitano, ije hata hio kampuni ya kigeni ambayo imepewa tenda kuendesha bandari ya...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Muleba: Afungwa Jela miaka 3 kwa kupokea Rushwa ya Tsh. 250,000

    Hukumu hiyo imetolewa Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba, Kagera dhidi ya Mashaka Magesa Ngereja baada ya kumkuta na hatia ya kupokea Hongo kwa lengo la kuuza Ardhi ya Kijiji cha Kahangaza kitongoji cha Kanyamlima. Mshtakiwa alikutwa na kosa hilo ambalo ni kinyume na Kifungu cha 15 cha...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  20. I

    JamiiForums Tanzania SoC03 Jamii bila rushwa inawezekana

    Rushwa ni kitendo cha kupokea pesa, ushawishi usiokuwa halali kisheria, rushwa yaweza kuwa kubwa au rushwa ndogondogo ambayo mtu anaombwa kwa lengo la kupatiwa huduma fulani mfano hospitali, wakati wa kupatiwa ajira, wakati wa uchaguzi. Hiki kitendo kinawahusisha mtoa huduma na anayepatiwa...
Back
Top Bottom