Tume ya Haki Jinai: TAKUKURU ina watumishi Wala Rushwa na Wasio Wabobevu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Uboreshaji wa Mfumo wa Haki Jinai Nchini, ametoa taarifa hiyo hiyo leo tarehe 15 Julai, 2023 katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete - Ikulu Dares Salaam wakati akiwasilisha Ripoti ya Mapendekezo ya Tume

Tume hiyo iliundwa Jan 2023 na kuanza kazi rasmi Feb 1 2023 lengo likiwa ni kutoa tathmini ya kina ya mfumo wa haki jinai nchini ili ije kufanyiwa maboresho kwenye taasisi za Jeshi la Polisi, Mahakama za Mashtaka, TAKUKURU, Jeshi la Magereza, Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya na Mahakama ya Tanzania, tume hiyo iliundwa watu 11 ikiongozwa na Jaji Mstaafu Mohamed Chande, kwa ujumla tume imegusa taasisi 18.

 
Back
Top Bottom