Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,252
Hii ni ngumu kumeza lakini ndivyo ilivyo;
Wanasema kiongozi mwenye akili hawezi kuiba wala kula rushwa wala kufanya ufisadi.
Utafiti unasema kwamba kinachomfanya mtu aibe ni tamaa ambazo huongozwa na hisia. Mtu asiye na akili huongozwa na hisia kwasababu ya kukosa maarifa. Hicho ndicho humfanya ashindwe kuwaza na kuchakata mambo kwa kina kabla hajaiba. Matokeo yake hujikuta anafanya maamuzi ya haraka ya kuiba, kufisadi au kula rushwa.