Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,300
33,919
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM.

Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
 
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
Akitokea mtu kuthibitisha hakujawahi kuwepo mafisadi katika ccm, uniite. Niko pale chini ya mwembe
 
Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
Hakuna.

Ndani ya utawala wa CCM, kufanya wizi wa pesa ya Umma, imekuwa sawa na mgonjwa kutokosa diet yake ya uji😎
 
Awamu wa tano hakukuwa na watu wa namna hiyo kiasi cha kujitokeza hadharani kulikuwa na nidhamu kubwa sana kwa mali za umma sasa hivi watu waomoa maana sio kuiba
 
Awamu wa tano hakukuwa na watu wa namna hiyo kiasi cha kujitokeza hadharani kulikuwa na nidhamu kubwa sana kwa mali za umma sasa hivi watu waomoa maana sio kuiba
Tena haya tunayoyaona sasa ni matokeo ya ufsadi mkubwa mno uliokuwepo wakati wa mwendazake!
Wakati wa yule mtu ufisadi ulikuwa hata kwake mwenyewe, ilikuwa ni marufuku kuutangaza au kuandika!
 
Awamu wa tano hakukuwa na watu wa namna hiyo kiasi cha kujitokeza hadharani kulikuwa na nidhamu kubwa sana kwa mali za umma sasa hivi watu waomoa maana sio kuiba
Hivi CAG Assad ilikuwaje aliondolewa kwenye madaraka yake kinyume cha sheria? Unakumbuka jinsi Gavana Ndullu alivyolazimishwa kuondoka kwenye Ugavana wa Benki Kuu, mpaka leo watanzania wameelezwa zile 1.5 trilioni zilikwenda wapi??
 
Tena!!

Umesahau ama umejisahulisha mambo ya Chavda na Vallambhia!!??
Mrema alishughulikia

Ufisadi ni tofauti na Wizi na Ujambazi

Kwa mfano kukubali Hoja ya kibajaj kuzuia ripoti ya CAG isijadiliwe ndio Ufisadi

Kusema escrow siyo fedha ya Umma ndio Ufisadi

Kugawana Nyumba za Serikal ndio Ufisadi
 
Awamu wa tano hakukuwa na watu wa namna hiyo kiasi cha kujitokeza hadharani kulikuwa na nidhamu kubwa sana kwa mali za umma sasa hivi watu waomoa maana sio kuiba
Atcl, chato airpo etc, miradi hii haikufanyiwa ukaguzi na CAG.
CAG alipobainisha upotevu (ufisadi) wa 1.5t alisitishiwa contract.
 
Hivi CAG Assad ilikuwaje aliondolewa kwenye madaraka yake kinyume cha sheria? Unakumbuka jinsi Gavana Ndullu alivyolazimishwa kuondoka kwenye Ugavana wa Benki Kuu, mpaka leo watanzania wameelezwa zile 1.5 trilioni zilikwenda wapi??
Kwa sababu alikuwa mpumbavu, wewe mtu umeulizwa, ni kweli kuna upotevu wa 1.5 t? Unakataa, sasa hiyo ni nini kama siyo ujuha?
 
Duh...!.
P
Ni aibu kwako wewe kama mwandishi nguli kuishia kutoa comment kama hii.Lakini ingekuwa mada inahusu katiba ya chadema ungeandika maandishi mareeefu kama wezi wa ccm walivyo,huku ukisindikiza quotes kutoka nyuzi zako za zamani!Kuna siku uliwahi kudai humu kuwa wewe ni mwandishi huru,watu wakakukatalia,kwakuwa machoni umevaa miwani ya kijani!
Really?Huna Cha kusema juu ya wizi unaoanzia CCM na kumalizikia serikalini?
 
Back
Top Bottom