roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna wenye nyumba wana roho mbaya usiombe

    Natumaini wote mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu Naja tena na ushuda wa niliyoyapitia kwenye upangaji Mwaka 1984 mitaa ya uhuru mwanza nikapata nyumba ya kupanga kwa mzee x na mkewe. Nami nikiwa na mama watoto classmate wangu na watoto wetu wawili nikiwa nafanya kazi ma mzee mmoja...
  2. Enyi madereva wa masafa marefu acheni roho mbaya dhidi ya wasaidizi wenu matingo

    Natumai wote ni wazima wazee kwa vijana poleni na mvua za masika zinazoharibu miundombinu yetu. Moja kwa moja nianze kwa kusema kama dereva wa masafa marefu niliyetundika daruga 2010. Uliza Congo uliza Malawi Zambia Uganda kenya Burundi rwanda hapo nikiwa na chuma cha msweden scania 113 pulling...
  3. M

    Ngenga makazini haziwezi kuisha. Binadamu wana roho mbaya kuliko wanyama

    We piga kazi nenda zako home. Kula zako Kangala changanya na Ambiace. Lala fofofo Asubuhi piga kimoja cha burudani, oga nenda kapige kazi.
  4. B

    Uwe ba roho mbaya kiasi gani, utaondoka tu duniani

    Ujumbe wa leo
  5. E

    Kwanini manesi wana roho mbaya?

    Kwanini manesi wakike hasa wa Dar es Salaam hasa wanaohusika na wazazi wana roho mbaya sana. Manesi kwani ninyi hamjui kwamba Kuna ambao hawana uwezo wa kuwahonga pesa. Kwani ni kosa kuzaa? Wewe nesi hapo Muhimbili mama mtu mzima mwenye curl kit jiheshimu.
  6. Sina roho mbaya ila huu si wakati muafaka wa pensheni za Wenza wa Marais

    Sote tunajua nchi inamadeni mengi, miradi mingi tunayojipamba nayo kwamba tumetekeleza ni madeni ya kuja kulipa baadae na kiasi kidogo cha misaada, mikopo bado inatukimbiza kwa mbali dhidi ya mapato. Hivi ni wakati muafaka kweli wabunge kujadili sheria ya pensheni ya wenza wa Marais na mawaziri...
  7. Sio roho mbaya kwa Mwakinyo ila kinachomfaa ni burudani na maonesho

    Mzungu anasema, "Put your money where your mouth is". Sasa jamaa anaongea sana zaidi ya anavyofanya boxing. Seems like kuburudisha watu na maneno yake ya ujuaji na uvaaji ndio anachokiweza zaidi kwa sasa.
  8. Jamii inayopenda kuchukua Sheria mkononi ni jamii maskini na yenye watu wenye roho mbaya

    Ukifika mtaa au mji wowote wadadisi jinsi wanavyowafanya wezi wadogo wadogo wa kuku, nguo, au vitu vingine. Ukiona wenyeji wako wanaanza kujisifu kuwa wao huua wezi hiyo jamii imejaa wajinga na wapumbavu na ina watu wenye roho mbaya a.k.a wachawi. Hakuna maendeleo kwa watu kama hao, kuwekana...
  9. R

    Kwanini Watumishi wa Umma wana roho mbaya na wanajikatili wenyewe kwa wenyewe?

    Kikokotoo kimeandaliwa na watumishi wa umma na kinalalamimiwa na watumishi wa umma Bima ya watoto imeondolewa na watumishi wa umma kisa watoto wao wanatibiwa bure ila wanashindwa kufahamu kuna kufukuzwa kazi. Mishahara inaandaliwa na watumishi wa umma na siku zote waliopo hazina ukiwasikia...
  10. Je, natakiwa kuwa na roho mbaya Ili nifanikiwe?

    Ni jioni Sasa napanda Kitandani kupumzisha fuvu langu nikitafakari mambo yaliyotokea leo. Mpaka muda huu nimepokea simu 3 kutoka kwa washikaji zangu tuliosoma nao chuo wanafunga ndoa simu za usumbufu ni Kila siku, jirani yangu hapa mtoto wake anapata kipaimara kesho anaomba mchango, napigiwa...
  11. Watanzania acheni roho mbaya na wivu hakuna mwenye dhambi za kudumu kuliko wengine na asiyesameheka. Mnyeti ana haki mbele ya Mamlaka ya Uteuzi

    Wasalaam TZ na Dunia, Ndugu Alexander Mnyeti aachwe afanye kazi uwaziri ni haki yake. Nchi hii imejaa mazuzu wanaodhani mtu fulani akiwakosea wao basi hafai Kwa wengine na jamii nzima. Alexander Mnyeti ana sifa kama za Watanzania wengine wote ambao ni watenda mema na mabaya kila siku...
  12. B

    Changamoto ya kulelewa na mama wa kambo mwenye roho mbaya!

    .
  13. Mwakinyo: Masikini ana roho mbaya sana

    Bondia ana hoja asikilizwe
  14. Ukatili na roho mbaya katika kundi hili la bodaboda vinasababishwa na nini?

    Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya. Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi. Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndio kwanza kapata...
  15. Wanawake washauriwa kuacha roho mbaya na husda

    Na mimi nakazia, wanawake acheni roho mbaya
  16. Ni kweli ili ufanikiwe kimaisha unapaswa kuwa na roho mbaya?

    Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha? Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana. Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...
  17. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia. Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
  18. Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  19. Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

    Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha. Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
  20. Kocha Mecky Mexime Watanzania wengi wana Roho mbaya

    Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇 Jibu la kocha Mecky Mexime luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…