roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe akubali kushindwa, awapongeza Lissu na Heche kwa ushindi

    Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
  2. Knock life

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kuamini kuwa wanawake wana roho mbaya na ubinafsi mkubwa sana

    kuna mke wa jirani yangu anaitwa mama D Huyu mama D nimemkuta anaishi na mtoto ambaye Ana umri 18+ huyu mtoto Ana undugu na mume wake . Sasa nimemtfutia Kazi huyu binti Kazi yenyewe atalipwa 300K Kwa mwezi Sasa mama D amekasirika hatari anadai huyo mtoto hafai na hiyo Kazi nimtafutie...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiafrika ni wazuri sana ila wana roho mbaya na wana ile njaa ya chakula hatari

    Moja ya mambo huwa siyapendi kutoka Kwa wabantu black women ni uchoyo na roho mbaya na njaa ya chakula. Mimi huwa naonaga black women walipewa maumbo mazuri Ila akili 0% Mfano tangu nikae nao hawa black women ukimuhalika kwako akiona misosi anatoa macho Sana akiona umegawa chakula umewapa...
  4. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mwaka 2025, achana na ubahili achana na uchoyo, achana na roho mbaya

    Nataka niwasaidie wana-JF Kuelekea mwaka 2025 , hakikisha mambo yafutayo unayazingatia Sana na kuyalinda with all costs . Jiepushe na uchoyo - usimnyime mtu kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako, mfano unaona sehemu kuna nafasi ya Kazi usisite kumshtua MTU unayemjua akaenda Ku-cover hiyo...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kati ya CCM Serikali na Watanzania nani mwenye roho mbaya zaidi hasa kuhusiana na uraia pacha?

    Kumekuwa na mjadala unaoibuka na kufa kila mara. Nao si mwingine bali wa kuruhusu uraia pacha katika Tanzania. Serikali imekuwa ikipiga danadana wakati huo ikipigia chapuo uwekezaji wa watanzania waishio ughaibuni nchini. Kuna dalili kuwa serikali ina uchu na pesa ya watu hawa lakini haiwataki...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa RC wa Simiyu, Dkt Nawanda ashinda kesi ya “kumlawiti Mwanafunzi”, asema anamuachia Mungu

    Wakuu, Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi. Dkt. Nawanda alifikishwa Mahakamani kwa mara ya kwanza Julai 9, 2024 na kusomewa...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Uvivu wa kutisha, uchawi (kulaguza), na vijana kuamini kwenye quick gain ni baadhi ya sababu zilizorudisha nyuma maendeleo ya Mkoa wa Kagera

    1. UTANGULIZI Najua watani wangu wa Kagera, akina nshomile mtakuja juu na hawatapenda hili andiko, hasa kwa nini ninawaandama?. Jamani huu ni mwendelezo wa andiko langu la kwanza kuhusu kagera lisemalo "Mkoa uliong'aa (the shiny BK) leo umekuwa mkoa giza (the dark Bukoba) kwenye kila sekta ya...
  8. kwisha

    JamiiForums Tanzania Hakuna watu wenye roho mbaya kama watu kutoka Asia

    Japokuwa watu Usema kuwa wanzungu wana roho mbayaa za ubaguzi hasa kwa watu weusi huu ni uongo kabisa kwasisi ambao tunaishi katika nchi za wazungu tunaona tabia za mataifa mbali mbali. Ukweli ni kwamba hakuna watu wabaguzi na wenye roho mbaya kama watu kutoka bara la Asia. Hawa watu wana roho...
  9. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Ni hali gani ulikutana nayo ukakubali kwamba kuna watu wana roho mbaya extra?

    Tupe ushuhuda wako
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wayahudi wangekuwa na roho mbaya na itikadi za kitapeli tapeli huo msikiti wa Al-Aqsa ungekuwa ushaharibia muda mrefu

    Wayahudi wenyewe wanaamini hapo ulipojengwa msikiti wa al aqsa ndipo solomon alipojenga hekalu la kuabudu. Ndio maana wamejitengea kasehemu kao maeneo hayo ambapo wanafanya ibada na hija. Sasa niambie kama ingekuwa ni wale ndugu zetu wengine unafikiri hekalu wangeliacha hivi hivi...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mimi nina Roho nzuri lakini Wabongo walinipa mtihani huu nikashindwa, acha wanione nina Roho mbaya tu

    Ana andika, Robert Heriel Mtibeli Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kutegemewa na ambao wanafunzi wengine walikuwa wakihitaji msaada wa Majibu kutoka...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa mtu mwema nimeishia kudharaulika naombeni mbinu za kuwa na roho mbaya nisiye na hisia

    Habari zenu jamii forum kama kichwa cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kuwa mtu mwenye roho mbaya nisiwe na hisia za huruma wala upendo. Nimekuwa mtu mwema kwa watu nimeishia kuumizwa na kudharaulika pamoja na kutumika tuu huku wenye roho ngumu na mbaya wakifanikiwa na kupeta na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii kamati ya mashindano ya roho mbaya iliyolejeshwa na eng.Hersi ikiwa na mafia wa enzi za manji nawaona yanga wakiendeleza vilio mwanzo mwisho!

    Kwa wale Wanye kumbukumbu nzuri kwenye Mpira wa Tanzania watakuwa wanawakumbuka awa jamaa vizuri sana; Rodgers gumbo Lucas mashauri Davis mosha Seif Ahmed magari Pelegrinus Rutayuga Hao jamaa walikuwa mafia sana kwenye utawala wa walipokuwa kwenye kamati ya mashindano, yanga ilikuwa aigusiki...
  14. Selwa

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanawake wana roho mbaya sana

    Juzi kati mke wangu alikuwa anapitia msongo wa mawazo sana, anasoma ukubwani kwahiyo kubalance biashara na kisomo kinamramba, kama wiki mbili anadeal na kesi ya wizi dukani kwake na mitihani. Wizi ilikuwa kiasi kidogo ila mkinga kapambana mwizi kapatikana kisha karudi darasani. me nilimuacha...
  15. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Tujadili Maisha: Ni kweli Watu wenye roho nzuri hawafanikiwi kimaisha wakati wenye roho mbaya wanatoboa Kirahisi?

    Kuna usemi maarufu unaosema, "watu wazuri wanamaliza mwisho," ambao mara nyingi hutumika kuelezea hali ambapo watu wenye roho nzuri, ambao ni waaminifu, wanyenyekevu, na wenye huruma, wanakosa mafanikio katika maisha. Wakati huo huo, wale ambao wanaonekana kuwa na roho mbaya, wanaoweza kuwa na...
  16. hitler2006

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa kipato unaopelekea umasikini wa kifikra

    Huku mtaani si ajabu ukakuta mtu anafurahia kabisa mwenzake kukosa dili fulani, au kufukuzwa kazi maarufu kama kutumbuliwa. Utasikia ooh bora tulingane, na hii imepelekea hata hii inayoitwa "mob justice". Mob justice haiishii tu kwenye kupiga mtu kisa kaitiwa mwizii, inaenda mbali sana hadi...
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Mjue Cuckoo, ndege mkwepa majukumu ya ulezi, ndege mwenye roho mbaya

    Cuckoo ni jamii ya ndege wasafiri ambapo husambaa katika kipindi cha kiangazi kwenye bara la ulaya, Asia na Africa. Jamii hii ni aina ya ndege hukwepa majukumu kwa kupandikizia watoto wao kwa jamii nyingine za ndege ili walelewe tangu yakiwa bado mayai. Kwa maana kuwa hutaga kwenye viota vya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ushawahi faidika na roho mbaya uliyo nayo?

    Wewe ni bosi upo kampuni flani au kwenye taasisi ya serikali lakini unatumia mamlaka yako vibaya kwa kuwakandamiza na kuwanyanyasa walio chini yako na kuwadhulumu stahiki zao, nini faida ya yote hayo unayoyafanya? Zikitangazwa ajira kwenye ofisi yako unaitisha interview kama formality tu lakini...
  19. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Masikini wana chuki na roho mbaya sana

    Masikini wana roho mbaya Na Paul R.K Mashauri Watu wengi wanafikiri matajiri wengi "wealthy people" wana roho mbaya na makatili. Nazungumzia waliotafuta pesa kihalali sio "walioiba na kudhulumu" Waliochuma kwa jasho. Hao matajiri wengi wana roho nzuri sana na ni wanyenyekevu sana "very humble...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini binadamu wana roho mbaya sana juu ya wanyama?

    Watanzania wana roho mbaya sana juu ya wanyama. Wakimuona paka ata kama hajafanya kitu wanaanza kumporomoshea mawe wanamfukuza na matusi juu. Halikadhalika mbwa na ndege kama vile kunguru na ndege wengine. Ni nini hasa inachangia Watanzania kuwa na roho mbaya juu ya wanyama ambao ni viumbe...
Back
Top Bottom