Wafanyabiashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭

Point of No Return 19

Senior Member
Jul 2, 2023
194
454
Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia.....

Kuna watu wanaroho mbaya Sana.

Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭

Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie.

Sasa pale kariakoo nimewazoea baadhi ya WENYE maduka,

Maana nimekua mteja kwao kwa siku nyingi,

Hivyo wakati mwingine mteja hunipgia cm hello, nipo kariakoo nielekeze duka lako lilipo nikachukue kitu flan, hapo KUMBUKA nimepigiwa cm ghafla na Mimi nipo gheto

Sasa ili nisiikose hela bas namtafuta mwenye duka namwelekeza Basi mteja atfikaa hapo dukan na atachukua kile alichokitaka kwa Bei ambayo Mimi nauza.

Siku za mwanzo mwenye duka alikua muaminifu maybe nimesema hiki kitu ni 50,000 Ila dukan huuzwa 40,000

Basi mwenye duka atachukua 40,000 yake na 10,000 ataniwekea .

Sasa baade kila nikipta mteja wa ghafla bas nafanya hivyo, Basi mwenye duka akaanza kuniambia mteja wako alifika Ila hajachukuaa chochote, Mara ya kwanza nikaamini

Sasa ikajiludia Tena na Tena kila nikipata mteja huniambia alifika ila hajachukua chochote Ila nikimuuliza mteja kuwa vipi ulipata anajibu ndyo Ahsante nimeshapata sister.

Kwahyo zaidi ya Mara 5 muuzaji huniambia kila aliyefika hakununua

Huku wateja wote huludi kunishukuru kuwa walichokitaka wamepata

Leo tena mwenye duka akanifanyia hiv hivi

Nimelia Sana , nimelia mnooo

Jinsi nahangaika kutaafuta wateja Mimi nalia sana

Mungu anisaidie nipate office yangu.

Wengine wenye maduka yenu najua mpo humu, jamani mtuonee huruma.

Mimi ninamshukuru Mungu kwa haya, Moyo wangu unaumia jamani daah nahangaika sana
 
Kuna watu wanaroho mbaya Sana...
Siku nyingine usilie sana ndio changamoto za biashara hizo 🐒

Na usilie huku unamlaumu mtu sio vizuri 🐒

Ni vizuri kufanya ipasavyo wewe mwenyewe.

Kumwelekeza mteje kwenye chimbo lako ni sawa na kutoa siri ya ufalme au nguvu zako kwa adui yako 🐒

Ni kupoteza wateja wako na kupoteza kipato chako pia 🐒
 
Kama una moyo mwepesi kiasi hicho achana na biashara tena hasa za k/koo vinginevyo utalia sana na utapata na mipresha bure, kisicho riziki hakiliki hao unaowaona wenye maduka nao wanapitia mengi sana. Usione mtu anamiliki fremu k/koo ukadhani ni rahisi au ndio anapiga hela sana.

Nna jamaa yangu ana ofisi hapo k/koo anatafuta mtu wa kumpa atleast 6m aiachie maana ni pasua kichwa.
 
Kama una moyo mwepesi kiasi hicho achana na biashara tena hasa za k/koo, kisicho riziki hakiliki hao unaowaona wenye maduka nao wanapitia mengi sana. Usione mtu anamiliki fremu k/koo ukadhani ni rahisi au ndio anapiga hela sana.

Nna jamaa yangu ana ofisi hapo k/koo anatafuta mtu wa kumpa atleast 6m aichie maana ni pasua kichwa.
Anauza nn na Yuko mtaa gan
 
Pol
Hii ya leo imeniuma Sana hadi nimelia.....

Kuna watu wanaroho mbaya Sana.

Wafaanya biashara wa online wenzangu mnaelewa jinsi ilivyo kazi kumpata mteja 😭😭

Bas mwenzenu Mimi nafanya biashara online, Sina bidhaa Ila nikipta mteja baada ya kupost ndo nikamchukulie.

Sasa pale kariakoo nimewazoea baadhi ya WENYE maduka,

Maana nimekua mteja kwao kwa siku nyingi,

Hivyo wakati mwingine mteja hunipgia cm hello, nipo kariakoo nielekeze duka lako lilipo nikachukue kitu flan, hapo KUMBUKA nimepigiwa cm ghafla na Mimi nipo gheto

Sasa ili nisiikose hela bas namtafuta mwenye duka namwelekeza Basi mteja atfikaa hapo dukan na atachukua kile alichokitaka kwa Bei ambayo Mimi nauza.

Siku za mwanzo mwenye duka alikua muaminifu maybe nimesema hiki kitu ni 50,000 Ila dukan huuzwa 40,000

Basi mwenye duka atachukua 40,000 yake na 10,000 ataniwekea .

Sasa baade kila nikipta mteja wa ghafla bas nafanya hivyo, Basi mwenye duka akaanza kuniambia mteja wako alifika Ila hajachukuaa chochote, Mara ya kwanza nikaamini

Sasa ikajiludia Tena na Tena kila nikipata mteja huniambia alifika ila hajachukua chochote Ila nikimuuliza mteja kuwa vipi ulipata anajibu ndyo Ahsante nimeshapata sister.

Kwahyo zaidi ya Mara 5 muuzaji huniambia kila aliyefika hakununua

Huku wateja wote huludi kunishukuru kuwa walichokitaka wamepata

Leo tena mwenye duka akanifanyia hiv hivi

Nimelia Sana , nimelia mnooo

Jinsi nahangaika kutaafuta wateja Mimi nalia sana

Mungu anisaidie nipate office yangu.

Wengine wenye maduka yenu najua mpo humu, jamani mtuonee huruma.

Mimi ninamshukuru Mungu kwa haya, Moyo wangu unaumia jamani daah nahangaika sana
Pole Sana...
Sasa sikia tafuta boda boda muaminifu, anakuwa anaenda dukani na kumpelekea mteja , hapo hapo kariakoo...
Cha muhimu mteja asije dukani!
 
Na sh

Na shida ukiweka kwenye profile ni online business wateja wanakuwa na trust ndogo nawe...
Ila Mimi nilituma njia hiyo miaka mitano iliyopita...then mwaka mmoja baadae nikafungua ofisi yangu.
Ukiwa na ofisi ni uhakika zaidi, utapeli umekuwa mwingi sana siku hizi hasa mitandaoni na ndio chanzo cha kufifisha hizi online business.
Awe anafanya delivery zaidi itamsaidia, tatzo ni cash ya kuchukulia bidhaa.
 
Huo sio utapeli. Wewe ni winga. Sasa kama winga, tengeneza wigo na mawinga wenzako.
SIO LAZMA. UWEPO KKOO, IKITOKEA HAUPO, MUELEKEZE MTEJA KWA WINGA MWENZAKO. Maana hilo duka ww ndio umeamua kuliamini, awepo mtu unaweza mtuma. Akutumie hela baada ya biashara.
Mbili Hama chimbo. Mbona duka za viatu ziko nyingi. Huyo tayari hakuheshimu. Jiestablish sehemu nyingine.
Nilikua winga mpaka nafungua duka kkoo. Na michezo hiyo ipo sana. Hama chimbo.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom