roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya kulelewa na mama wa kambo mwenye roho mbaya!

    .
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwakinyo: Masikini ana roho mbaya sana

    Bondia ana hoja asikilizwe
  3. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukatili na roho mbaya katika kundi hili la bodaboda vinasababishwa na nini?

    Hili kundi la bodaboda a.k.a Maafisa usafirishaji mostly ni watu wakatili na wenye roho mbaya. Kijana mwenzao kapata pikipiki ya mkataba akipeleka pua tu kwenye kijiwe wanamtoza laki 2, 3, 4 au aondoke haraka kabla hawajamwitishia mwizi. Laki 3 kijana ambaye ni jobless ndio kwanza kapata...
  4. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Wanawake washauriwa kuacha roho mbaya na husda

    Na mimi nakazia, wanawake acheni roho mbaya
  5. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ni kweli ili ufanikiwe kimaisha unapaswa kuwa na roho mbaya?

    Ndugu zangu, kuna ukweli hapa kuwa ukiwa na roho nzuri sana, ni nadra sana kufanikiwa kimaisha? Binafsi kwangu naona ili ufanikiwe kimaisha pale unapopata nafasi, kazi/ biashara inayokupa kipato unapaswa kuwa katili sana. Ukatili huu ni kuwa na roho mbaya kwenye pesa, yaani siyo kila mtu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia. Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
  7. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni mtu mwema sana ila amezungukwa na watu waroho na wenye roho mbaya

    Kwanza kabisa huyu mama ni mchamungu na nadhani nyie wenyewe ni mashahidi, hajawahi kuingia msikitini na camera. Mama amekuwa ni mtu wa kutoa sadaka kwa wingi hasa kwa watu wenye uhitaji na hata wale anaowapa misaada huwa hatuoni wakimulikwa na camera kama alivyokuwa anafanya mwendazake. Suala...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Hussein Jumbe ni ushuhuda tosha kwamba jamii zetu zina wachawi, watu wenye roho mbaya sana na makatili. Tuwe na Imani kwa Mungu

    Nikipitia maisha ya Hussein Jumbe, naona kama hakuwa na furaha, japo alikuwa anatumia muda mwingi katika kumbi za burudani zilizotarajiwa au zinazosemwa ni sehemu za furaha. Moyo wake ulijaa mambo mazito, mzigo mzito, malalamiko, na kilio kwa Mungu. Alikuwa akionewa bila hatia. Hata uso wake...
  9. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kocha Mecky Mexime Watanzania wengi wana Roho mbaya

    Kocha Mecky Mexime alipoulizwa kuhusu mchezaji wa taifa stars luhende alikuwa anatetemeka uwanjani Kama hana confidence hivi.👇 Jibu la kocha Mecky Mexime luhende ni mchezaji mkubwa ameshacheza mechi nyingi kubwa kwa kiwango kizuri na timu ya taifa ashaitumikia Sana sio mchezaji muoga na wote...
  10. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Adaui wa mwafrika na mtanzania ni wivu na roho mbaya.

    Hey
  11. Mr mutuu

    JamiiForums Tanzania Kisa Cha kuchekesha kuhusu roho mbaya za walimu wa kibongo

    Wasaalam.. Aisee imepita miaka kipindi npo 1st year udsm Kuna course ya hesabu MT sijui ngapi nimesahau code tulikua tunafundishwa na mkorea mmoja Mambo yakawa yanaenda fresh mpaka siku kesho yake tunafanya test 1, tupo kwenye pindi jamaa akamaliza akaanza kupitia notes zake kwenye projectile...
  12. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya

    Wazee wetu punguzeni nongwa, ubinafsi na roho mbaya. Ni ukweli usiopingika kuwa wazee wetu wamekuwa ni miongoni mwa sababu mojawapo ya vijana wengi kunyimwa ajira kwa kigezo cha uzoefu. Wazee wanawasagia kunguni vijana. Sasa kumezuka wimbi kubwa la wazee kulazimisha kupewa msaada wa hali na...
  13. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa mkoa wenye roho mbaya sana

    Watu kama Makala na Gondwe ambao hawajajiajiri maishani mwao miaka yote wanaishi kwa jasho la walipa kodi hawawezi kujua ugumu wa kusimamisha biashara kutoka mchangani. Dada wa watu katega eneo zuri ambalo mmempa wenyewe, ameweka hela yake, ameitumia nguvu ku-brand biashara leo imekuwa imara...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kenya: Kareem Mandonga Mtu Kazi ashinda kwa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi

    KENYA: MANDONGA AMCHAKAZA MKENYA KWA TKO Bondia Mtanzania Kareem Mandonga amefanikiwa kupata ushindi huo wa TKO dhidi ya Daniel Wanyonyi katika pambano la uzito wa kati ‘Super-middleweight’ Kabla ya pambano hilo, Mandonga alisema atamchakaza mpinzani wake huyo kwa ngumi ya Sugunyo ambayo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ni mwana Simba SC mwenye roho mbaya na ya kichawi ndiyo hatolifurahia 'Classic Goal' la Stephane Aziz Ki

    Kama mwana Simba SC ni goli ambalo limeniuma kwani amesawazisha ila kiuanamichezo na hasa nikiwa kama mdau wa soka GENTAMYCINE, nisiwe mnafiki na naomba niseme tu kuwa ni goli zuri hakuna mfano. Kwani alijiseti vyema kabisa na kunipigia 'muwa' wa maana ulioenda kule kule anakotagia mayai ndege...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe bila Naibu spika Zungu "miradi" ingekuwa imekwama leo hii? Tuna watawala wenye roho mbaya sana na wabinafsi

    Yaani kama kuna mazindiko yaliwekwa mahala nchi hii yakatolewe haraka, the country is rotten to the core IMEKUWA NCHI YA KINAFIKI SANA kujifanya ni ya upendo na haki lakini deep inside ni nchi ya watu wenye roho mbaya sana wanaotawala wenzao na tabasamu la kinafiki huku wakiwaangamiza...
  18. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake, hata kama mmetofautiana na waume zenu msiwaseme mbele za watu

    Peace be with you all, Weekend ya majuzi nilikua kiwanja flani ndani ya kitovu cha mji wa utalii Tanzania, nikiwa peke yangu katika kujipumzisha mwisho wa week. Ndani ya lounge ya hotel hii kilitokea kihoja kilichowastaajabisha wengi pale hotelini ila mimi sikushangaa maana nawajua wanamake na...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Masikini, wavivu na watu wenye roho mbaya walikuwa wakifurahia hatua za Magufuli kuturudisha kwenye UJAMAA

    Habari! Watu maskini, wajinga (waliokosa elimu), na wavivu ndio makundi ya watu waliokuwa wakifurahia harakati za Magufuli kutupeleka kwenye UJAMAA. Hata. UJAMAA hauwezi kufurahiwa na watu wenye bidii na vipawa katika utafutaji. Hata Wachina wanaukacha UJAMAA na kuanza kuishi kibepari, kila...
Back
Top Bottom