Ni muda sasa niko naye. Ananiamini fika, na istoshe kashanijulisha michongo ya hapa na pale ambayo humuingizia kipato. Siku nyingine hunialika ofisini kwake, natulia pale asubuhi mpaka jioni. Gharama za chakula na vitu vidogo vidogo ni juu yake japokuwa huwa sipendi kutawaliwa na mwanamke...
Nilisikitishwa sana na hili tukio lililomkuta kaka Sindato kwa kweli!
Na hii sio kwa Sindato tuu. Inatokea kwa watu wengi wanaume kwa wanawake. Unakuta watu wameshashindwana na kuamua kuachana lakini mmoja wao anapoamua kuingia kwenye mahusiano mengine inakua vita.
Tena wengine wanafikia hatua...
Watu tunapambana huku na kule, tunajikusu tunatoa kwa ari kubwa kusaidia chama na serikali yetu majina yetu hamyapeleki, nimekwazika sana. Sijaona jina langu na pesa zangu mmekula. Watu tunapambana hivi halafu inakuwa ni wale wale tu. Why? Why lakini?
Naandika haya nikiwa naumia sana. Hampeleki...
Wengi ni watu wasiojiamini.
Wakiwa makazini ni watu wa fitina na majungu.
Wanaamini sana uchawi na ushirikina.
Ukiwa nao mahala unaishi nao kuwa makini.
Ukiwa nao mahala unafanya nao kazi kuwa makini.
Hawafai kabisa
Huyu jamaa ni ndugu yangu wa karibu kabisa. Yaani ni mjukuu wa shemeji yake na binamu wa mamaangu wa kambo.
Ni siku ya tatu sasa tangu nifike hapa mjini, baada ya kuuza ng'ombe nikaona sio mbaya nikaosha kidogo macho na ning'arishe ngozi kwa maji ya mwambao.
Sasa nilifikia kwa huyu ndugu yangu...
Kuna watu wanaroho za korosho,roho mbaya kwa watumishi wa Umma katika nchi hii.Hawataki kuona watumishi wa umma wanaongezewa kipato.
Baada ya taarifa ya ikulu Jana kutoka ikisema mhe Rais Samiah Suluhu Hassan amekubali kufanya nyongeza ya mishahara kwa asilimia 23.3% kwa watumishi wa umma...
Alitumbuliwa Marehemu Mwele Malechela kwa kusimamia tu profession yake ikapelekea kutumbuliwa eti ateseke
Akatumbuliwa Rawrence Mafuru kwa kusema tu serikali kujiondoa kwenye mfumo wa benki binafsi kungeweka sekta ya fedha matatani. Ingawa aliondolewa Ila maneno yake yalitimia. Kwa miaka 3...
Hawa ndugu zetu wanapatikana wilaya za Kilosa, Morogoro na Kilolo, Iringa.
Hawa ndio wale Carl Peters aliingia mkataba na chief wao jamaa fulani hivi mjanja ila alikuwa hajui kusoma, Chief Mangungo.
Ukienda mgeni kwenye miji yao unaweza kufukuzia demu mwenye ngoma asitokee mtu wa kukustua hata...
Ndugu zangu, ili tufanikiwe kwenye jambo lolote kama taifa, ni lazima tuwe na ‘collective effort’ kuyaendea mafanikio hayo.
Hata tuwe na Rais mwema na muadilifu kama Malaika, hatuwezi kuwa na taifa lenye uadilifu na mafanikio ya maana ikiwa tutafikiri kuwa yeye pekee ndio mwenye jukumu la...
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza.
Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo.
Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
Kuna kautamaduni kameibuka ka kuchukia watu wanaofanya bidii na kufanikiwa katika kazi, biashara, masomo au hata maisha kwa ujumla.
Ukipata cheo watasema umependelewa, ukifanikiwa kibiashara watasema ni freemason una misukule dukani, ukifanikiwa kielimu utasikia mara hii si lolote si chochote...
Msanii Otile Brown amewakshifu wasanii wa lebo ya Wasafi Zuchu na Mbosso kwa kutumia mistari ya kibao chake kwenye wimbo wao mpya. Kupitia kwenye ukurasa wake wa instagram Otile amewauliza wasanii hao wawili waache mazoea, ila hana roho mbaya.
"Punguzeni mazoea basi … Hio ni melody nzima ya...
Nimefuga kuku sana wa kienyeji mbegu za hapa hapa nchini, mbegu ya malawi (wale weusi tiiii) na mbegu ya Kuroiler. Kwa kweli inauma sana pale kuku anapokufa mda mwingine unakosa hadi raha. Kuna kuku kishingo kila nikiingia kwenye malazi ya kuku huwa alikuwa ananifata nyuma nyuma nikstokea...
Nasikia kwa sasa Mr. Dar es Salaam hataki kabisa kutumia Mitandao ya Kijamii ( japo kuna muda) huwa anaibuka na pia anasoma mara Ujerumani mara Afrika Kusini na hata akiwa Tanzania amekuwa ni Msiri na Mtu wa Kujificha na kuhamahama kama Digidigi na hata wale Malaya wake wa Beach Kidimbwi akina...
Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo.
Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri walioucheza leo na hadi kutupa Ushindi na kuna Kitu nimegundua kuwa ukitaka Taifa Stars ishinde basi...
Hivi sasa polisi wanalaumiwa Kila sehemu,
Hivi sasa polisi wanadharaulika kika sehemu,
Wanaonekana kwamba kumbe hata wao huwa hawafuati Sheria kwenye ukamataji,lakini wao humtaka raia atii Sheria Bila shuruti.
Imebainika kwamba hawafuati PGO kwenye ukamataji.
Imebadilika kwamba kumbe hawana...
Watu walionyimwa mwili uwa wana roho mbaya sana Wabinafsi mnoo kupita maelezo kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya isee watu walionyimwa mwili ni watu tofauti sana wana roho za ajabu sana yani sio Wivu, Chuki, Roho Mbaya, Wabinafsi, Wambea na wachonganishi
Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost.
Nimesema ukweli nasio uongo. Mwanaume mzuri wakila kitu na bado anaroho mbaya kutoa usaidizi ni...
Ukumbi huu ulikuwa mzuri na wa kiasi chake miaka hiyo.
Mara ikatoka amri kulivunja jengo, kupiti NHC na aliyetoa taamko ni Mchechu, Mkurugenzi Mkuu wake.
Jengo lilikuwa la kihistoria na Club Bilicanas ilikuwa yavuti hata watalii kw ajili cafe yake ya Hard Rock.
Nimepita hapo leo, ni parking...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.