roho mbaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Ukiwa mnene unakula sana; ukiwa mwembamba una roho mbaya. Dunia inataka nini?

    Hii dunia haina shukrani kabisa, sababu kunenepa utaambiwa unakula sana, ukikonda utaambiwa una roho mbaya ndio maana hunenepi. Mnataka mtu awe na mwili wa aina gani? Au naombeni picha za ukubwa wa mwili elekezi kwa dunia ili watu waige hapo.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

    Huu ni wito kwa Tuzo za BET zinazoendeshwa na kutayarishwa na Black Entertainment Television (BET) kumzuia Diamond Platnumz kushiriki tuzo. Movement #ChangeTanzania started this petition to bet awards and 3 others Hadi 8/6/2021 saa 02;00 Asubuhi, 19,566 have signed. Let’s get to 25,000...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ukipata matatizo watu wakafanya sherehe bila kuwepo wanaosikitika na wewe Basi una roho mbaya na katili

    Paul Makonda toka ametumbuliwa hakuna mtu aliyewahi kujitokedha adharani kusikitika kuondoka kwake, hata Wana CCM wa ngazi zote hawakuwahi kusikitika naye si mitandaoni Wala adharani. Huyu mtu ana roho mbaya na si mtendaji wakikabidhiwa watu aongozi. Ole Sabaya ametumbuliwa leo hadi Bukoba...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakazi wengi wa Dar es Salaaam mna roho mbaya?

    Japokuwa sio wote lakini asilimia kubwa ya wakazi wa Dar wana roho mbaya sana. Hawapendi wageni, wao kwa wao hawapendani. Wamejaa matusi, visirani maneno mengi na ukorofi wa hali ya juu. Watu wengi wakitoka mikoani na kwenda Dar hukutana na hii kitu. Hawakaribishwi vizuri, wananuniwa na ndugu...
  5. Senior Boss

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Kuna wazee wengine wana ukoloni na roho mbaya sana

    Salaam wakuu, Nina hadithi ya kweli ningependa ku share nanyi. Ni kitu nimekishuhudia kwa macho yangu na kimetokea kuniumiza sana roho !!! Sumtyms huwa nikiwaza nakosaga na majibu kabsa. Ule usemi " Sio kila king'aacho ni dhahabu " ni ukweli kabisa na nime prove kwamba wakat mwngne kwenye...
Back
Top Bottom