risasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, tunaomba uunde Tume ya kuchunguza vitendo vya kuteka, kuumiza na kupoteza watu

    Mh Rais, mama yetu mpendwa Samia damu ya mtu haipotei bure tunaomba uunde tume ichunguze whereabouts za madhila ya hawa watu Kiafrika na kimila itatufariji hata tukizika mifupa ya hawa watu unless tuambiwe Tanzania kulitokea aliens abductions na ufo kipindi cha mwendazake. Mama kilio cha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania SACP Wambura: Jeshi la Polisi Dar lakamata Majambazi, Wauaji, Wezi wa Magari na Pikipiki, na Uvunjaji

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Heri James (CCM), inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lissu risasi, alitishia Sindano

    Alisem hadharani na wala si siri, hakuna anayemsingizia. Atakuwa anajua mipango yote. Inabidi akamatwe atwambie nani alimpiga Lisu risasi maana alisema and I quote him "Safari hii tunammaliza na sindano, pyuuuuuuuuuuuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

    Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini! Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi. Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari

    Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari Mwinyi: Risasi 728 zilitumika mauaji kiwanda cha sukari RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, amesema mauaji ya watu wanne katika mgomo wa wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Kilombero, ni miongoni mwa vikwazo vilivyoutikisa...
  6. Tz boy 4tino

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

    Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet. Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
  7. N

    JamiiForums Tanzania Sirari-Tarime: Inadaiwa Askari wa Kenya Wamewashambulia Wafanyabiashara wa Mahindi, baadhi wamejeruhiwa kwa Risasi

    Nimepata taarifa toka kwa rafiki yangu zinazo dai kuwa, kuna Watanzania wamepigwa risasi na Polisi wa Kenya mpakani Sirari eneo linaloitwa Kipimo. Wengine pia wamevunjwa miguu na mikono na wamekimbizwa hospital. Katika hali ya kushangaza baadhi ya Watanzania waliopigwa risasi wamechukuliwa na...
  8. bongo man

    JamiiForums Tanzania Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye...
  9. STRUGGLE MAN

    JamiiForums Tanzania Marekani: Mwanamichezo kutoka Afrika Kusini apigwa risasi na Polisi na kufariki

    Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini. Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani, kimeibua ghadhabu na hasira kali miongoni mwa watu wa Waafrika Kusini. Kumefanyika maandamano ya...
  10. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

    Polisi wa kituo cha Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha wanadaiwa kumpiga risasi raia aliyetambuliwa kwa jina la Yohana Nasieli kwa kile kilichoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi kati ya mke wa marehemu na askari polisi. Habari kutoka kwa ndugu na majirani wa marehemu zilisema kuwa tukio hilo limetokea...
  11. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Video ya Polisi akimshambulia kwa risasi kijana wa miaka 13 yatolewa Chicago

    Polisi wa Chicago wametoa picha za afisa aliyempiga risasi mtoto wa miaka 13 kwenye uchochoro wa giza. Video hiyo inaonesha polisi huyo akipiga kelele “dondosha” kabla ya kumpiga risasi Adam Toledo mara moja kifuani tarehe 29 mwezi Machi. Mvulana haonekani kuwa ameshika silaha katika sekunde ya...
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtoto wa miaka 17 ampiga risasi mtoto mwenzake na kumsababishia kifo

    Hii ni habari mbaya sana maana ni ngumu kuiamini. ---- Jeshi la Polisi mkoa wa kipolisi Ilala linamshikilia Juma Shamata kwa kushindwa kuhifadhi eneo salama bastola yake, hali iliyosababisha mtoto wake wa miaka 17 kuitumia kwa kumpiga risasi mtoto mwenzie Ikhissan Abdilahi (10) na kumsababishia...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)

    Naomba kujua kama sheria za Tanzania zinaruhusu mtu kutumia gari yenye uwezo wa kuzuia risasi kupenya (bullet proof)
  14. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Mkulima awamiminia risasi mke na mtoto wake, sababu zaelezwa

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Alson Shangali (61) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Kimashuku kata ya mnadani katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro anatajwa kuwajeruhi kwa kuwapiga risasi mke wake Magret Shangali (51) na mwanae Albert Shangali (28). Chanzo Bongo five
  15. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kijana akijihami na Polisi, aua watu 10 kwa risasi sokoni

    Mtu mmoja aliyejihami kwa bunduki amewaua watu 10, pamoja na afisa wa polisi, kufuatia makabiliano ya saa kadhaa katika soko la mboga huko Colorado, polisi wa Marekani wanasema. Shambulio hilo huko Boulder lilitamatika wakati mtuhumiwa aliyejeruhiwa, aliyekuwa bila shati alipoondolewa kutoka...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Rais atoa ruhusa kwa Wanajeshi kuwapiga risasi Watu wote watakaoonekana na bunduki ya AK-47

    Wanajeshi wa Nigeria wamepata ruhusa ya kuwapiga risasi bila kuhitaji kibali, watu wote watakaoonekana wakiwa na bunduki aina ya AK-47, kufuatia agizo la rais Muhammadu Buhari. Amri hii imetolewa kufuatia kuzorota kwa hali ya usalama, baada ya visa vitatu vya utekaji nyara kati ya Desemba na...
  18. Informer

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

    Wakuu, Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi. Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma. Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea...
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mliompiga risasi Lissu tambueni kuwa jinai haina mwisho. Kosa lenu lipo palepale

    Kila mwenye akili timamu anajua kuwa mnajidanganya kuwa kuwa makosa yenu ya kumpiga risasi bila hatia Lissu,watu watayasahau ukweli ni kuwa hayatasahaulika. Huu utawala unaowalinda utapita na kosa la jinai halina mwisho. Hivyo huko mlipo mjitafakari,je huu utawala ukiondoka na akaja mtawala...
  20. beth

    JamiiForums Tanzania Myanmar: Vikosi vyafyatua risasi dhidi ya waandamanaji, 38 wauawa

    Takriban watu 38 wameuawa baada ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama kuwafyatulia risasi Waaandamaji wanaopinga Utawala wa Kijeshi katika Miji kadhaa. Imeelezwa, watu hao walikuwa wanafanya Maandamano ya Amani Imetajwa kuwa siku mbaya zaidi tangu Jeshi kuchukua madaraka. Umoja wa Mataifa (UN)...
Back
Top Bottom