Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years.

President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen Edward Katumba Wamala in a Tuesday morning assassination attempt which left his daughter and driver dead.

Gen (rtd) Museveni said the former chief of defense forces (CDF) was being well-managed and added that the security team has clues to the assailants he described as pigs who do not value life.

“The pigs who do not value life shot at Gen. Katumba killed his daughter and driver and injured him. Condolences on the loss of the two Ugandans. I talked to Gen. Katumba twice on the phone. He is being well-managed. We shall defeat the criminals as we did in the past. We already have clues to those killers. Besides, the new system of digital beacons on all vehicles and Boda Bodas will eliminate the misuse of vehicles and Boda Bodas to commit crimes,” Mr Museveni said in a statement he tweeted on Tuesday afternoon.

“I wish Gen. Katumba a quick recovery. The bodyguard should not have shot in the air. He should have shot to kill. We could be having a dead terrorist instead of scaring away the terrorists. His shooting saved Gen. Katumba by scaring the criminals away. However, killing one or more of the terrorists would have done the same and more,” he added.

The former UPDF commander of land forces who is currently admitted at Medipal International Hospital was shot in the shoulders in the attack that left his daughter Brenda Nantongo and driver Haruna Kayondo dead.

The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years.
 
Hakika mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Watu wasiojulikana kama wale waliompiga risasi Tundu Lisu wamempiga risasi waziri wa ujenzi wa Uganda General Wamala.

Rais Mseveni amewaita watu hao wasiojulikana kuwa ni nguruwe.
 
Hahahahaaa! Nguruwe washika silaha hao.
 
We nawe! Wa Uganda wamejulikana ni nguruwe Ila TZ hawakujulikana yanakuwaje yale yale
 
Hakika mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Watu wasiojulikana kama wale waliompiga risasi Tundu Lisu wamempiga risasi waziri wa ujenzi wa Uganda General Wamala.

Rais Mseveni amewaita watu hao wasiojulikana kuwa ni nguruwe.
Yaan hoja yako inamaana gani juu ya hiyo methali sjui msemo
 
Museveni atuombe radhi wapenzi wa kitifire, yule mdudu hana tabia hizo....aseme ukweli tu kama huyo jamaa anamtisha post yake asisingizie Kitifire
 
What's behind the scene? This isn't an accidental killing attempt, there is a bunch of some officials behind it.
 
Jamaa linawamaliza lenyewe ili kusafisha njia kwa mtoto wake kua rais afu linajisafisha eti pigs.
 
Huyo waziri alikuwa ni mkuu wa jeshi la uganda kabla hajawa waziri, sasa naona yeye alikuwa hataki ulinzi ama msafara wa walinzi tangu apate uwaziri sijui kwanini, matokeo ndo hayo sasa.

Huenda ni kisasi
 
Hakika mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.

Watu wasiojulikana kama wale waliompiga risasi Tundu Lisu wamempiga risasi waziri wa ujenzi wa Uganda General Wamala.

Rais Mseveni amewaita watu hao wasiojulikana kuwa ni nguruwe.
Wakati mwingine wewe huwa kama akili zinakuruka vile usijuwe unachoandika.
 
Back
Top Bottom