Mke wa Bob Marley alipigwa risasi kichwani akimuokoa mme wake, Vipi aina hiyo ya wanawake wapo Leo?

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,598
1,816
Bob Marley's wife, Rita, once took a bullet to the head that was aimed at Marley in an attempted assassination in Kingston. Despite being shot in the head, she survived, due to her thick dreadlocks minimizing the impact of the bullet.

Aina hii ya Wanawake bado wapo Tanzania, ??.
 
Nywele zipunguze impact ya risasi?

Manina

Edit:

Imebidi nikacheki google juu ya uthabiti wa hii stori.

Ni kweli Rita Marley alipigwa risasi ya kichwa lakini na Bob Marley naye alipigwa risasi ya mkono ambayo originally alilengwa kifuani.

Yaani wauaji walidhamiria kuwaua wote wawili na si kwamba mke alitegesha kichwa ili mumewe asiuawe. Rita alipigwa risasi akiwa anashuka kwenye gari.

Na madai ya kwamba dredi zilisaidia kupunguza impact ni ya uongo, risasi ilifika hadi ndani ya kichwa na ikabaki inchi moja kuufikia ubongo.

So yeah, Rita alipigwa risasi. Ila siyo wakati akimuokoa mumewe na dredi hazikupunguza impact ya risasi.
 
Wakisuka izo nywele hawaogii narudia tena hawaogiii ..ume umia nini mkuu mkeo ni mmoja wao au
Wabara ndio husuka yeboyebo apa visiwani Ni aghalabu kukuta mwanamke na hayo matakataka
Nafikiri nyele zao wengi Ni pilipili na usogo pia huchangia
 
Rita angepigwa risasi ya kichwa si angekufa? Hii ya habari siyo ya kweli
watu wanapigwa risasi kichwani na wanapona.kuna mzee wa kihindi zamani alipigwa risasi kichwani na majambazi wakaiba hela.mbona alisavaivu na mara ya pili alipigwa risasi tena tumboni na majambazi na akapona.imagine ni zamani hakuna hata mobile phone!
 
Tupo lakini inategemea ni mwanaume wa calibre gani.

Sasa kama ni hawa kajamba nani tutaandikwa na nani magazetini?

🤣🤣
 
Wabara ndio husuka yeboyebo apa visiwani Ni aghalabu kukuta mwanamke na hayo matakataka
Nafikiri nyele zao wengi Ni pilipili na usogo pia huchangia
Kila siku tunawafundisha humu.

Aghalabu = Mara kwa mara.

Nadra = Mara chache
 
Ni uongo mtakatifu hakuna Dreadlocks inayoweza kuzuia risasi ya moto labda risasi ya mpira.🤣
 
Rita angepigwa risasi ya kichwa si angekufa? Hii ya habari siyo ya kweli
Kupigwa risasi kichwani haimaanishi kwa asilimia 100 huyo mtu lazima atafariki, kuna watu wengi wanaishi na risasi kichwani katika nchi zilizoendelea.
 
Back
Top Bottom