Maisha na mikasa ya safari yangu nchini DR Congo miaka ya 2000's hadi kutaka kupigwa risasi hadharani

bongo man

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,053
2,328
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.

Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye udereva ili niweze kuishi kama mnavyojua maisha ni popote na kujaribu ni muhimu kuangalia kila sehemu ili uweze kutoka ukinzingatia kuwa wengine shule yetu ni kidogo hivyo ni muhimu kijipambania kwa kila hali ili uweze kujikimu kimaisha tukawa tunashike hili na lile ili mrasi tuweze kuishi.

Story yangu ni ndefu kigodo ila ntajitahidi niimalize kwa wakati ili kuepuka zile maneno za kakimbia sijui nini ila naomba tuwe na uvumilivu tu kwani swala la kuandika nalo ni mtihani ukizingalia device tunazo tumia sio rafiki .kwa wale wasio wavumilivu naomba tupite tu hakuna haja ya kulalamika.

Story inaanzia hapa...

Miaka 2000's kulitokea wimbi kubwa la usafirishaji wa magari kutoka bandarini Dar kwenda DRC kipindi kicho ikitwa congo (kama sijakosea) kipindi hicho nilikuwa najishughulisha na udereva taxi pale Mapambano kijitonyama nikipindi ambacho biashara ya taxi ilikuwa na hela kiasi kwani biashara ya Bajaji na bodaboda ilikuwa bado na watu walikuwa hawajazoea kupanda vyombo hivyo, basii maisha yakawa yanasonga mbele kama sijasahau mwishoni mwa miaka ya 2001 ndo vita congo ilikuwa imepowa japo nilikuwa siwahi kufika huko hata mara moja.

Kijiweni kulikuwa kuna mshikaji alikuwa anaitwa Rama kwanza nikili kuwa huyu jamaa alikuwa mjanja kupitiliza na alikuwa anasafiri sanaa inasemekana hata nganda alikuwa anabeba japo tulikuwa wote pale pale kijiweni nae ana kigari chake mwenyewe anabeba abiria ndipo akanipa mchongo wa kusafiirisha magari ya wa kongo kwenda Congo kipindi hali haikuwa nzuri kwakweli hivyo madereva wengi walikuwa hawapendi kwenda huko japo wacongo walikuwa wanapanda offer ya mpaka dolla 250 kuifikisha gari KASUBALESA boda ya Congo na zambia then unamwachia anamilizia kipande chake.

Hapo ndipo jamaa yangu Rama alipopata hiyo fursa kwa jamaa yake alieoko pale bandarini ambae alikuwa na kampuni yake ya clearing na fowarding pale bandarini na kumwambia kuwa kuna wacongo wanahitaji magari yao yafike lumbumbashi then wao watayasafirishi kwa ndege kwenda kinshasa ila wao hawapandi hizo gari wao tutakutana lumbumbashi sehemymu moja sehemu moja kunaitwa KOTA naona nikaribu na soko kubwa la Lubumbashi mjini katikati.

Cha ajabu jamaa walitoa pesa yote kwa jamaa yao wa pale bandarini na kampuni ndo ilitakiwa isimamie kila kitu hapo ndipo mwanangu Rama akanitustua nakumbuka ilikuwa ni kati ya mwezi wa tano kwenda wa sita. Mvua zinanyesha Dar hakuna mfano abiria hakuna nikaona bora nitoe gari kwa jamaa nikimbize IT kwanza nami nipate uzoefu.

Baada ya jamaa yangu kuweka mambo sawa ikiwemo kupata passport ya karatasi na chanjo ya homa ya manjano mzes mzima siku ikawadia jamaa yule akatupa dolla 100 advance, 50 maillage na 50 ya barabarani nikiongea bararani mnilewe hiyo ya wazee .Gari mpya kutoka kiwandani yani bado zina makaratasi mitusubishi dabo cibin mpya kabisa wazee tukawekewa full tank. Zikabandikwa number za IT .siku ya j2 ndo safiri ikawa imeanza rasmi mara ya kwanza kusafiri na magari ya IT ila mwenzangi rama yeye alikuwa mzoefu hata kwa njia hio pia alikuwa anaijua vizuri na alikuwa anajua hata kizambia kidogo na kikongo kisawahili chao kile cha kuya Papa uko na makuta ngapi? Hhhhaaaa...

Safari imeanza.

ITAENDELEA JIONI...
 
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa.

Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi nchini DRC mikasa na visa mbali mbali kwa kipindi chote cha safari wakati napambana na maisha kwenye udereva ili niweze kuishi kama mnavyojua maisha ni popote na kujaribu ni muhimu kuangalia kila sehemu ili uweze kutoka ukinzingatia kuwa wengine shule yetu ni kidogo hivyo ni muhimu kijipambania kwa kila hali ili uweze kujikimu kimaisha tukawa tunashike hili na lile ili mrasi tuweze kuishi.

Story yangu ni ndefu kigodo ila ntajitahidi niimalize kwa wakati ili kuepuka zile maneno za kakimbia sijui nini ila naomba tuwe na uvumilivu tu kwani swala la kuandika nalo ni mtihani ukizingalia device tunazo tumia sio rafiki .kwa wale wasio wavumilivu naomba tupite tu hakuna haja ya kulalamika.

Story inaanzia hapa...

Miaka 2000's kulitokea wimbi kubwa la usafirishaji wa magari kutoka bandarini Dar kwenda DRC kipindi kicho ikitwa congo ( kama sijakosea) kipindi hicho nilikuwa najishughulisha na udereva taxi pale Mapambano kijitonyama nikipindi ambacho biashara ya taxi ilikuwa na hela kiasi kwani biashara yaBajaji na bodaboda ilikuwa bado na watu walikuwa hawajazoea kupanda vyombo hivyo ,basii maisha yakawa yanasonga mbele kama sijasahau mwishoni mwa miaka ya 2001 ndo vita congo ilikuwa imepowa japo nilikuwa siwahi kufika huko hata mara moja.

Kijiweni kulikuwa kuna mshikaji alikuwa anaitwa Rama kwanza nikili kuwa huyu jamaa alikuwa mjanja kupitiliza na alikuwa anasafiri sanaa inasemekana hata nganda alikuwa anabeba japo tulikuwa wote pale pale kijiweni nae ana kigari chake mwenyewe anabeba abiria ndipo akanipa. Mchongo wa kusafiirisha magari ya wa kongo kwenda Congo kipindi hali haikuwa nzuri kwakweli hivyo madereva wengi walikuwa hawapendi kwenda huko japo wacongo walikuwa wanapanda offer ya mpaka dolla 250 kuifikisha gari KASUBALESA boda ya Congo na zambia then unamwachia anamilizia kipande chake.

Hapo ndipo jamaa yangu Rama alipopata hiyo fursa kwa jamaa yake alieoko pale bandarini ambae alikuwa na kampuni yake ya clearing na fowarding pale bandarini na kumwambia kuwa kuna wacongo wanahitaji magari yao yafike lumbumbashi then wao watayasafirishi kwa ndege kwenda kinshasa ila wao hawapandi hizo gari wao tutakutana lumbumbashi sehemymu moja sehemu moja kunaitwa KOTA naona nikaribu na soko kubwa la Lubumbashi mjini katikati. Cha ajabu jamaa walitoa pesa yote kwa jamaa yao wa pale bandarini na kampuni ndo ilitakiwa isimamie kila kitu hapo ndipo mwanangu Rama akanitustua nakumbuka ilikuwa ni kati ya mwezi wa tano kwenda wa sita. Mvua zinanyesha Dar hakuna mfano abiria hakuna nikaona bora nitoe gari kwa jamaa nikimbize IT kwanza nami nipate uzoefu.

Baada ya jamaa yangu kuweka mambo sawa ikiwemo kupata passport ya karatasi na chanjo ya homa ya manjano mzes mzima siku ikawadia jamaa yule akatupa dolla 100 advance, 50 maillage na 50 ya barabarani nikiongea bararani mnilewe hiyo ya wazee .Gari mpya kutoka kiwandani yani bado zina makaratasi mitusubishi dabo cibin mpya kabisa wazee tukawekewa full tank. Zikabandikwa number za IT .siku ya j2 ndo safiri ikawa imeanza rasmi mara ya kwanza kusafiri na magari ya IT ila mwenzangi rama yeye alikuwa mzoefu hata kwa njia hio pia alikuwa anaijua vizuri na alikuwa anajua hata kizambia kidogo na kikongo kisawahili chao kile cha kuya Papa uko na makuta ngapi? Hhhhaaaa...

Safari imeanza.

ITAENDELEA JIONI...
Inaendelea sehemu ya Pili.

Kwanza nikili tu kuwa sintojibu comments za watu ntakuwa straight moja kwa moja kwenye story yangu.

Haya basi tuendeleee safari ikawa imeanza alfajiri ya j2 ile wanaume tukaanza kupiga gia kwakweli mwendo wa magari ya IT si wa mchezo kumbuka kesho tumeshaambiwa ifikapo jumanne asubuhi tunatakiwa tumeshavuka boda ya tunduma upande wa pili NAKONDE kuna mizigo pale tunatakiwa tubebe ya wale jamaa imeachwa pale na bus la TaQwa .wazee tukaamsha mashine kama unavyojua gari ikiwa mpya ni kutembea tu mwanzo mwisho...

Jamaa yangu Rama alikuwa mzoefu wa njia check point za maaskali na tochi zinapokaa hivyo ilibidi mimi nikae nyuma yake akiaamsha nami naamsha akipunguza mwendo nami napunguza na kweli bwana mbele unakuta wazee na vitochi vyao wanaomba document na hela ya soda sisi tunachapa mwendo saa nne asubuhi tukanywa supu msamvu-morogoro tukafungasha nyama choma pale duma mwendo hapo sasa speed ikawa ni noma yanii jamaa yangu Rama anakimbia hadi naogopa aise .

Basi mwendo ukawa mwendo kweli kweli pia usisahau abiria tulikuwa tunabeba wa hapa na pale ili kupata kusave angalau kale ka hela ketu kasiishie njiani saa mbili usiku tunaingia Mbeya aise kama sijasahau tukapata hotel pale mwanjelwa sehemu safi tukapaki magari yetu lodge tukala tukalala mapema ili asubuhi tuwahi Tunduma ili tusubiri bus la Taqwa tuchukue mizigo yetu.

Tukalala pale kila mtu nachumba chake kama kawaida Rama akawa na mchuchu wake pale chumbani sijui alikomtoa ila mimi nilivyochoka hakika sikuwa hata na hamu ya demu mzee nikaangusha mapema saa kumi na mbili asubuhi tupo kwenye chuma zetu tunaitafuta Tunduma taratibu kama kawaida tuna vichwa vyetu viwili vitatu .

Saa tatu tupo Tunduma tunakunywa supu tukaonana clearing wa jamaa akafuta bond na kuclear baadhi ya document sisi tukawa tunasubiri mizigo japo jamaa alitutaka tuvuke siku hiyo hiyo upande wa pili lakini tulikata tukamwambia tutasubiri hapa hapa mizigo. Saa nne taqwa ikaingia tukaenda chukua mizigo tukapakia kwa gari mizigo yenyewe ni makapeti ya nyumbani tukafunga vizuri kabisà tulala .

Mapema asubuhi tukaamka tukaka kwenye foleni ya kuvuka boda baada ya kugonga passport zetu kufikia saa nne tukawa tumevuka boda ya tunduma tupo Nakonde jamaa yangu akanishauri tupumzike ili tutembee usiku lli tusipisha na maroli pia kuna kuwa na atuluvi hivyo akashauri tukapumzike mahala jioni ndo tuamshe .ikabidi nimsikilize tukaenda eneo pale pale boda ukiwa pale nakonde unaweza dhai upo tanzania kumbe ni upande wa zambia yani kunamchanganyiko wa wabongo na wazambia kibao.

Saa kumi na mbili tukaamsha aise sikujua.kumbe Zambia kubwa aise tulitembea giza likaingia aise unatembea kilomita hata mia hupishani na gari lolote halafu pori tupu.

Nyie tukafika kwenye kimji fulani kinaitwa SELENJI tukapaki hapo ili tule na tupumzike ebwanae kulala huo mji ni bora kulala kwenye gari kuna baridi seleenji njombe ikasome tukala pale kwenye hotel ya wasomali tukapaki na magari yetu pale tukalala pale asubuhi mapema bila hata kuoga tukaamsha mapema hapo ndipo nilipo anza kuona usumbufu wa askali wa zambia aise mnasemaga askali wetu wetu wanapenda rushwa nenda zambia yani gari mpya anakwaMbia kosa lako gari ni chafu gari hiyo ipo transit aise yote umwachie hata kwacha elfutano tu aise jamaa wana njaa sijapa ona.

Tukawa tunaitafuta mji wa KAPIRI MPOSHI hapo unajionea watu wana uolima aise kule jamaa wanalima serious sijui kwanini kuna njaa namna ile ...zambia kupata wali maharage ni ishu.

Kama sijasahau kutoka selenji kuna mji unaofuata pale unaitwa MPIKA ( mtanikumbusha kama ntakuwanimesahau) aise kile kipande ni hatari kutembea asubuhi sanaa au usiku kumbe wanapiga mawe hatariii wazambia ni washenzii.

Itaendelea.....soon.
 
Shusha mzigo
 
Back
Top Bottom