ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Ripoti ya CAG isirudiwe tena kusomwa hadharani, inatia hasira na kuleta manung'uniko, wanaotuhumiwa hawajawahi kukamatwa

    Ibaki kuwa siri ya Rais na watu wake baasi, maana kiukweli pamoja na madudu yote yanayoanikwa lakini hakuna hata mmoja aliyechukuliwa hatua. Zaidi ya kuleta manung'uniko na hasira kwa wananchi, hakuna lolote linalofanyika , kuna haja gani sasa ya kutupotezea muda kuangalia na kusikiliza ripoti...
  2. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Hassan Mwinyi, apongeza ripoti ya Finscope kwa kuakisi sekta ya fedha

    ● Asema upatikanaji wa huduma jumuishi za fedha Zanzibar sasa zimekua kwa zaidi ya asilimia 80. Zanzibar Jumatano Machi 27, 2024: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Ripoti ya FinScope Tanzania 2023 kwa upande wa Zanzibar, ambayo...
  3. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Mwanahabari azungumzia ripoti kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing

    Mwanahabari Abubarkar Harith toka Kituo cha televisheni cha Zanzibar anatuletea ripoti ifuatayo kuhusu Mikutano Miwili ya China mjini Beijing. https://www.facebook.com/watch/?v=430890095997725
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Idadi Ya Wabunge Wanawake 2023 iliongezeka

    Muungano wa Wabunge duniani (UIP) unasema wanawake wameongozeka katika bungu kwa mwaka 2023 ambapo wanawakilisha ongezeko la asilimia 0.4 mwaka baada ya mwaka, kiwango sawa cha ukuaji kwa mwaka 2022. Hata hivyo, ukuaji huo ni wa polepole kuliko miaka iliyopita kwani chaguzi za 2021 na 2020...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti AfDB: Gharama kubwa za maisha zinaweza kuamsha machafuko zaidi Afrika

    UCHUMI: Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB) imesema kuendelea kupanda kwa gharama za maisha hasa mahitaji muhimu kama Chakula, Nishati na bidhaa nyingine kunaweza kuibua hasira za Wananchi na kusababisha vurugu katika baadhi ya Mataifa ya Afrika. AfDB imezitaja baadhi ya Nchi zinazopaswa kuchukua...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawa miongoni mwa nchi zinazofanya vizuri kiuchumi Afrika 2024. Yazipiku Kenya na Uganda

    Nchi 3 za Afrika Mashariki zimetajwa katika orodha hiyo ambapo zitaongozwa na Rwanda inayotarajiwa kupata Ukuaji wa 7.2% ikifuatiwa na Tanzania 6.1% na Uganda itakayokua na Ukuaji wa Uchumia wa 6%. Afrika itachangia uchumi wa nchi kumi na moja kati ya 20 zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Wanaume wananyanyasika zaidi kingono kwenye vyombo vya habari kuliko wanawake

    https://www.youtube.com/watch?v=A3BiWhBGNxY Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania FIFA Ripoti: Zaidi ya Tsh. Trilioni 23.3 zilitumiwa na Vilabu kufanya Usajili mwaka 2023

    Zaidi ya vilabu 1000 vya soka duniani vilitumia dola bilioni 9.63 katika uhamisho wa mwaka jana na kusajili ongezeko la 48.1% la takwimu kutoka 2022. Wachezaji wa kitaalamu walichangia 31% ya takwimu za uhamisho lakini walitawala matumizi ya klabu. Wachezaji kumi bora walitumia 10% ya pesa...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala: Mkandarasi akatwa zaidi ya milioni 327 kwa kuchelewa kukamilisha mradi wa vyoo vya umma Dar

    https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024. Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
  11. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Benki ya Dunia yaonesha Tanzania inakabiliwa na ongezeko la mzigo wa kulipa madeni

    Dar es Salaam. Ripoti mpya ya Benki ya Dunia imetoa taswira inayohusu nchi zinazoendelea, ikiwa ni pamoja na Tanzania, zinazokabiliana na kuongezeka kwa mzigo wa kulipa madeni. Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanzania na nchi zingine walitumia kiasi cha dola bilioni 443.5 kulipia deni la nje mwaka...
  13. Mlalahoi

    JamiiForums Tanzania Ripoti kuhusu ufisadi unaoendelea huko Zanzibar

  14. L

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya IMF yafichua madai ya “mtego wa madeni" yaliyotengenezwa na Marekani

    Shirika la Fedha la Kimataifa IMF hivi karibuni lilitoa ripoti ya mtazamo wa uchumi wa Afrika ikikiri kuwa China sio chanzo kikuu cha mzigo wa madeni katika Afrika Kusini mwa Sahara. Wachambuzi wanasema wakati Marekani na nchi nyingine za kimagharibi zinaendelea kuishutumu China kwa kutengeneza...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ripoti: Kodi na Tozo zimesababisha Wafanyakazi 70,000 kupoteza Ajira

    Shirikisho la Waajiri (FKE) limesema kati ya Oktoba 2022 hadi Novemba 2023, takriban Watu 70,000 wanaofanya kazi katika Sekta Binafsi walipoteza kutokana na mazingira magumu ya uendeshaji wa Biashara yanayochangiwa na Kodi zisizohimilika pamoja na athari za #UVIKO19. Pia, FKE imesema Sekta...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri 2 wasimamishwa kazi kwa kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo

  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?

    Ripoti ni njia ya sayansi katika kujua, kuchanganua na kutoa pendekezo ya changamoto zinazoikabili jamii. TANZANIA ni moja ya nchi inayopuuza ripoti za wataalamu licha ya kujali kiasi cha fedha, muda na maarifa ya mtu aliyotumia kwenye ripoti. RIPOTI ya Mwakyembe kuhusu ushoga, ripoti ya CAG...
  18. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji: Siku za Nyuma ripoti ya CAG ilikuwa Siri. Wanaochezea pesa za miradi watungiwe Sheria kali

    Mfanyabiashara maarufu nchini, Mzee Azim Dewji amezungumza na vyombo vya habari kumpongeza Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuruhusu mjadala wa ripoti ya CAG unaoendelea bungeni kuwa mjadala wa wazi, amesema uwazi huo utasaisia wezi wa pesa za miradi kuacha tabia hiyo Kwa upande mwingine...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  20. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Bunge limehitimisha mjadala leo, nini kitafuata? Waliohusika na ufisadi na ubadhirifu watafanywaje?

    Kwa siku kadhaa, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson limejadili Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG). Kimsingi, Wabunge wengi wameuona, wameusemea na kuukaripia ufisadi na ubadhirifu mkubwa ulioainishwa kwenye Ripoti ya CAG. Wabunge...
Back
Top Bottom