Inakuwaje serikali inapuuzia ripoti nyingi?

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
2,557
3,000
Ripoti ni njia ya sayansi katika kujua, kuchanganua na kutoa pendekezo ya changamoto zinazoikabili jamii.

TANZANIA ni moja ya nchi inayopuuza ripoti za wataalamu licha ya kujali kiasi cha fedha, muda na maarifa ya mtu aliyotumia kwenye ripoti.

RIPOTI ya Mwakyembe kuhusu ushoga, ripoti ya CAG nyingi zinapuzwa, ripoti za madini, nishati n.k bado nchi yetu inapoteza pesa kusomesha ila haizingatii output ndiyo maana wezi ni wengi.

PIA SOMA
- Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali
 
Back
Top Bottom