ripoti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya muonekano wa tovuti ya TCRA yameathiri upatikana wa ripoti za mawasiliano nchini

    TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari
  2. TRA Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya makusanyo ya mapato kwa mwaka wa fedha 2022/23

  3. B

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: Kituo cha mwendokasi Mbagala chageuzwa danguro

    Kama ulidhani kutokukamilika kwa mradi wa mwendokasi awamu ya pili kutoka Gerezani hadi Mbagala Rangi Tatu kunawakera wakazi wanaohangaika na usafiri kila linapokucha au kukuchwa unajidanganya. Ipo adha nyingine ya vituo vyake kugeuzwa madanguro, walalamikiwa wakubwa wakiwa baadhi ya askari...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Kama waziri Mwigulu anakataa kuwa pesa hazijaibiwa serikalini, ina maana kuwa anapingana na ripoti ya CAG?

    Wakati akifunga mjadala wa bajeti ya wizara ya Fedha ya mwaka 2023/2024 waziri Mwigulu alinukuliwa akiwaambia wabunge kuwa, kama ripoti ya CAG inadai kuwa pesa nyingi zimeibiwa serikalini, je pesa yote anayoitoa Rais Samia kwenye miradi mbalimbali nchini, angezitoa wapi, iwapo pesa nyingi...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Muhimbili: Wanaume 4 hadi 8 wanaishi na Maambukizi ya Virusi vya Homa ya Ini

    Mkurugenzi wa Huduma za Tiba kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ametoa taarifa hiyo na kuongeza kuwa idadi hiyo inaweza kuwa zaidi kwa makundi hatarishi wakiwemo wanaojidunga Dawa za, Kulevya Aidha kwa mujibu wa Takwimu za MNH, Saratani ya Ini ni ya pili kwa...
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa haya yaliotajwa kwenye Ripoti ya Bajeti yanaanza lini?

    1. Magari ya umeme kuwa 0% taxed. 2. Gari za 2000cc au chini kuchajiwa 5% ya CIF tu kama ushuru. 3. Gari za zaidi ya 2000cc kupigwa ushuru wa 10%. Je, haya yatekelezeka kweli au ndio kiki za kisiasa tu?
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa PPP, David Kafulila asifiwa na Rais Samia kuhusu ripoti yake ya PPP

    Salaam Wakuu, Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Davidi Kafulila ambaye ni Kamishina wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na TCRA kukosea jina lao kwenye ripoti yao

    Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ripoti Maalumu: Upatu, ‘smart phone’ janga jipya kwa wanafunzi wa sekondari

    Je, umewahi kuona wanafunzi wakiwa wamerundikana katika kituo cha daladala huku wakiyaacha mabasi ya abiria hata kama ni matupu? Unajua siri iliyojificha miongoni mwao kama sio wengi wao? Mwananchi Digital imefanya uchunguzi wa kina na kubaini chanzo. Uchunguzi wa takribani mwezi mzima...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti Amnesty International: Serikali ilitumia nguvu kubwa kuwaondoa Wamasai Loliondo

    Shirika la kutetea haki za Binadamu la Amnesty International limelaani mamlaka nchini Tanzania kwa kuwaondoa kwa nguvu watu wa jamii ya kiasili ya Kimasai kutoka katika ardhi ya mababu zao ya Ngorongoro. Shirika hilo la kutetea haki za binadamu limesema Juni 2022, vikosi vya ulinzi na usalama...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Nusura: Maswali ya kujiuliza kwenye Ripoti ya Tume ya Uchunguzi

    Ripoti ya THBUB inasema April 27 asubuhi Nusura alisafiri kwa basi la Manning Nice kutoka Dodoma hadi Babati. Kisha akapanda Coaster hadi Arusha, kabla ya kumalizia safari kwa basi la Ibra Line hadi Moshi. Lakini taarifa ya VC UDOM (Soma hapa Chuo Kikuu cha Dodoma chatoa taarifa kufuatia kifo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Kwa mwendo huu serikali kutowachukulia hatua za kisheria "wezi" waliotajwa na CAG, ripoti za CAG zitakuwa SIRI

    Kitendo cha rais kutowachukulia hatua wezi waliotajwa na CAG, Bunge kupiga dana dana kuzijadili, huko tuendako ripoti za CAG zitakuwa na muhuri wa SIRI na hivyo kutakuwa for public consumption. Hata Bunge halitakuwa na mamlaka ya kuzijadili
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Moody: Tanzania ni salama kwa uwekezaji

    Taasisi ya Uwekezaji ya Kimarekani ya Moody's imeipa Tanzania tathmini chanya kiuchumi kutokana na sera bora za uwekezaji hususani baada ya kuboreshwa kwa mazingira ya sekta ya madini. Ripoti ya Moody's inatuma ujumbe chanya kwa wawekezaji kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, Makamba, Mbarawa kusomewa Albadir Tanga kwa ufisadi ripoti ya CAG

    Katibu wa Jumuiya ya Wafanyabiashara mkoa wa Tanga,Ismail Masoud amesema kama wananchi wanaumizwa na ubadhirifu wa fedha za umma unaofanyika Serikalini na kuwa watafanya dua ya Albadiri kwa wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG. Huyu anakuwa mtanzania wa pili kutangaza kufanya maamuzi magumu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania SoC03 Usomaji wa Wajibisho la Ripoti ya CAG

    Miaka mingi inapita na kila ripoti ya CAG inaposomwa inabainisha kiasi kikubwa cha fedha kinachopotea au kutumika kwa ubadhirifu. Mfano, sehemu ya ripoti ya mwaka 2021/2022 imebaini mianya ya uvujaji wa mapato ambapo bilioni 17 hazikuweka benki. (Niliyoyashudia eneo langu) katika...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Mitaala Nchini: Umri wa kuanza darasa la kwanza ni miaka 6, elimu ya msingi mwisho darasa la 6

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda Akizungumza na waandishi wa habari tarehe 9/5/2023, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya 2014 toleo la 2023 pamoja na Rasimu ya Mitaala Mipya ya Elimu ya Msingi, Sekondari na...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Idadi ya watu duniani inatarajiwa kufikia Bilioni 8.5 Mwaka 2030

    Kwa Mujibu wa Takwimu za Umoja wa Mataifa (UN) kufikia Novemba 2022, idadi ya Watu Duniani inakadiriwa kuwa Bilioni 8. Ongezeko la Watu katika Nchi nyingi zenye Uchumi wa Chini linakadiriwa kuongezeka mara mbili zaidi kati ya Mwaka 2022 na 2050 Kufikia Mwaka 2022, idadi ya Wanaume Duniani...
  18. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Robertinho ripoti hii hapa Kuelekea 2023- 2024

    Kila siku tunawaambia acheni kuleta wachezaji mizigo. Timu inatakiwa ifanye mabadiriko makubwa mno ya kimfumo na kiuendeshaji. Viongozi wanapaswa wajiuzuru Na wachezaji waondoshwe. Waajiri mkurigenzi wa ufundi ahusike moja kwa moja usajili. 1. Mohamed Ottara. 2. Joash Onyango. 3. Ismail...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nimepita jengo la bunge nimeliangaliaaa, kisha nikajiuliza, waliomo humo wanatusaidia nini?

    Daah! Kweli imekuwa kimya kwa upotevu wa matrilion tarifa za CAG? Kisa wahusika wakuu ni viongozi wa mawizara na Idara mbalimbali?? Kweli kabisa? Siamini nachokiona na kukisikia kwa masikio yangu! Daah! Ikitokea mtumishi wa chini kabisa huko kahusishwa tu na udanyifu fulani, achana na...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Ndugu Watanzania, Ripoti ya CAG kujadiliwa imeisha wapi?au tumesahau!!!

    Nimeuliza baada ya kuona hii picha.
Back
Top Bottom