Rais Magufuli stuka, wenzako wanakung'ong'a kwa sifa, sifa zao ni dhihaka kwako wakataze

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,498
51,092
Nyerere alisifiwa sana lakini hakupenda misifa ya kijinga. Na alikuwa anajua sana kuwasoma wanaotafuta vyeo kwa kumsifusifu akawa hawapi au anatafuta namna ya kuwanyamazisha kwa vijembe vya hali ya juu.

Mheshimiwa Rais, stuka sasa hawa wanakusifusifu hovyo hawakutakii mema, wanakung'ong'a, wanakupaka mafuta kwa. mgongo wa chupa!

Wamekusoma, wamekuelewa kuwa unapenda ujiko na wao sasa kila mmoja anatafuta ujiko mkuubwa ili akupatie.

Na kimsingi hawa wanaosifu bila haya wanatafuta nini? Wanataka uwape nafasi tu washibishe matumbo yao.

Mheshimiwa these people are embarrassing you, yaani wanakupamba ili kukupanga, wakataze la sivyo watakufanya kituko ndani ya Taifa na huko nje kwenye Mataifa.

1. Kuna yule aliyedai ni mnyonge katoka huko kavaa barakoa lakini alipofika mbele yako mnyonge yeye kaamua kuivua.

2. Kuna yule anayedai utake usitake utalazimishwa Uraisi, Yaani upende usipende Katiba itabadrishwa kwa ajili yako.

3. Kuna yule aliyesema kuwa kuna sehemu ndani ya jiji la Dodoma sharti iitwe Magufuli city.

4. Kuna huyu anakuita YESU, kwamba ulipomtengua nafasi ni sawa na bwana Yesu anatwaa kilicho chake.

5. Kuna hawa kila baada ya sentensi moja wanataja jina lako

6. Bahati mbaya hata viongozi wa dini nao wameingia kwenye mkumbo, kuna yule sheikh aliyesema kuwa wewe ni kichwa sana na asiyekubaliane na wewe afe huku akiharisha akataka watu waseme Amen

7. Kuna hao wa makanisa ya kupiga hela, nao ndo kutwa kucha kuimba sifa kwako

Mheshimiwa ngoja nikwambie kitu, Mwenyezi Mungu anakataza kutukuza tukuza watu kupita kiasi kwa muktadha huu inabidi ukataze wanaokutukuza namna hii japo kiukweli kabisa wanakucheza shere, hawakutakii mema, sisi wananchi tunaona ni vituko kabisa maana tunawaangalia tunaona kabisa they don't mean it!

Mheshimiwa umebakiza miezi michache madarakani, baada ya muda itategemea kama Mungu ataamua kukurudisha kwenye hiyo nafasi au la, basi kaa chini ufikiri, je kipindi utakapokuwa nje ya hicho kiti hao wanaokutukuza tukuza wataendelea kukutukuza au sasa watatafuta "Bwana" mpya?

Mheshimiwa rais kuwa makini sana na malaya wa kisiasa, wao watatukuza yeyote atakayewapa madaraka, vyeo au pesa na hao malaya wa kisiasa pindi wakipata "Bwana" mpya ndo watakuwa wa kwanza kukuponda!

Mheshimiwa rais stuka! watu wanataka usiwakate kwenye kugombea ubunge!
 
Katika makanisa yote huwa tunawaombea viongozi wetu wote ulinzi kutoka kwa Mungu, kuna siku nilikaa kimya, sikusema chochote baadaya kuona kiongozi mmoja anataka kuchukua utukufu wa Bwana kutoka kwa muhubiri
 
Ninamuogopa Mungu sana. Mwanadamu si kitu mbele za Mungu. Angalau tungejua hivyo tusingesema tunayosema. Mungu akiamua leo niondoke hakuna wa kumpinga. Mwanadamu siku zake si nyingi na zimejaa tabu na shida.

Jambo moja alisema mtumishi wa Mungu, mwabudu Mungu wako na jiepushe na maovu ya dunia hii. Kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe. Mwisho wa siku hakuna aliye mwema hata mmoja, wote tumeoza kwa matendo yetu maovu. Hakuna wa kumnyoshea mwingine kidole.

Tujiepushe na kuhukumu wengine tusije tukahukumiwa. Ndiyo maana Yesu alikuja kutuokoa na dhambi zetu. Muache kusema yasiyompendeza Mungu kwa kumfananisha mwanadamu na Yesu wote. Raisi mwenyewe amesema tumombee hasije akawa na kiburi maana Mungu ndiye anayeinua na huyohuyo ndiye anayeshusha.
 
Nyerere alisifiwa sana lakini hakupenda misifa ya kijinga. Na alikuwa anajua sana kuwasoma wanaotafuta vyeo kwa kumsifusifu akawa hawapi au anatafuta namna ya kuwanyamazisha kwa vijembe vya hali ya juu.

Mheshimiwa Rais, stuka sasa hawa wanakusifusifu hovyo hawakutakii mema, wanakung'ong'a, wanakupaka mafuta kwa. mgongo wa chupa!

Wamekusoma, wamekuelewa kuwa unapenda ujiko na wao sasa kila mmoja anatafuta ujiko mkuubwa ili akupatie.

Na kimsingi hawa wanaosifu bila haya wanatafuta nini? Wanataka uwape nafasi tu washibishe matumbo yao.

Mheshimiwa these people are embarrassing you, yaani wanakupamba ili kukupanga, wakataze la sivyo watakufanya kituko ndani ya Taifa na huko nje kwenye Mataifa.

1. Kuna yule aliyedai ni mnyonge katoka huko kavaa barakoa lakini alipofika mbele yako mnyonge yeye kaamua kuivua.

2. Kuna yule anayedai utake usitake utalazimishwa Uraisi, Yaani upende usipende Katiba itabadrishwa kwa ajili yako.

3. Kuna yule aliyesema kuwa kuna sehemu ndani ya jiji la Dodoma sharti iitwe Magufuli city.

4. Kuna huyu anakuita YESU, kwamba ulipomtengua nafasi ni sawa na bwana Yesu anatwaa kilicho chake.

5. Kuna hawa kila baada ya sentensi yako wanataja jina lako

6. Bahati mbaya hata viongozi wa dini nao wameingia kwenye mkumbo, kuna yule sheikh aliyesema kuwa wewe ni kichwa sana na asiyekubaliane na wewe afe huku akiharisha akataka watu waseme Amen

7. Kuna hao wa makanisa ya kupiga hela, nao ndo kutwa kucha kuimba sifa kwako

Mheshimiwa ngoja nikwambie kitu, Mwenyezi Mungu anakataza kutukuza tukuza watu kupita kiasi kwa muktadha huu inabidi ukataze wanaokutukuza namna hii japo kiukweli kabisa wanakucheza shere, hawakutakii mema, sisi wananchi tunaona ni vituko kabisa maana tunawaangalia tunaona kabisa they don't mean it!

Mheshimiwa umebakiza miezi michache madarakani, baada ya muda itategemea kama Mungu ataamua kukurudisha kwenye hiyo nafasi au la, basi kaa chini ufikiri, je kipindi utakapokuwa nje ya hicho kiti hao wanaokutukuza tukuza wataendelea kukutukuza au sasa watatafuta "Bwana" mpya?

Mheshimiwa rais kuwa makini sana na malaya wa kisiasa, wao watatukuza yeyote atakayewapa madaraka, vyeo au pesa na hao malaya wa kisiasa pindi wakipata "Bwana" mpya ndo watakuwa wa kwanza kukuponda!

Mheshimiwa rais stuka! watu wanataka usiwakate kwenye kugombea ubunge!
Kiswahili kina misemo ya ajabu ajabu. Dah kung'ong'a, baraza la kiswahili wanaweza kuibadisha. Mbona walibadilisha nyani haoni mqoundou wake na kuiweka nyani haoni kundule ama makalio yake.
 
Number 2 nasikia ni punga Daddy
 
Lakini kwa kiwango kikubwa hata msifiwaji huyu ni wazi kuwa "ana chembechembe za kupenda na kutaka kusifiwa" na zipo kwenye damu yake 100%...

Kwa hiyo ili afanikiwe kuidhibiti ama kuikataa kabisa tabia hii ya wanafiki hawa, basi ni sharti apokee uponyaji wa nafsi yake (badiliko la ndani) na kamwe siyo badiliko la nje...

Kufanya kinyume na hiki, ni kutwanga maji kwenye kinu kumpa ushauru huu huyu mzee kwa sababu hatakuelewa na badala yake, yeye mwenyewe ndio atakuwa wa kwanza kuuponda ushauri wako...

Na pia ni kwa sababu wanafiki hawa wa kusifu tuuu kama majuha wako kuanzia kwenye grassroots mpaka wapambe wake wanaomzunguka kila Siku, kila wakati....

Watu (viongozi) wa namna hii kiasili ndiyo hawa tunaowaita "madikteta". Na madikteta huwaadhibu WASIOWASIFU na SIYO WANAOSHAURI kwa lengo la kuboresha....

Kwa hiyo hata wewe kuwa makini unaweza kutelezeshwa kwenye ngazi na kujikuta umevunjika miguu na baadaye usemwe ulikuwa umelewa chakari kisha ukaanguka mwenyewe...

Hawa viongozi wa dizaini hii (madikteta) mwisho huwa siyo wa kawaida, huwa ni wa fedheha na aibu huku watoa sifa wanafiki (malaya wa kisiasa) wakiwa wameshapata "mabwana" wengine...!
 
Lakini kwa kiwango kikubwa hata msifiwaji ni wazi kuwa "chembechembe za jamaa huyu kupenda na kutaka kusifiwa" zipo kwenye damu yake 95%...

Kwa hiyo ili afanikiwe kuidhibiti ama kuikataa kabisa tabia hii ya wanafiki hawa, basi ni sharti apokee uponyaji wa nafsi yake (badiliko la ndani) na kamwe siyo badiliko la nje...

Kufanya kinyume na hiki, ni kutwanga maji kwenye kinu kumpa ushauru huu huyu mzee kwa sababu hatakuelewa na badala yake, yeye mwenyewe ndio atakuwa wa kwanza kuuponda ushauri wako...

Na pia ni kwa sababu wanafiki hawa wa kusifu tuuu kama majuha wako kuanzia kwenye grassroots mpaka wapambe wake wanaomzunguka kila Siku, kila wakati....

Watu (viongozi) wa namna hii kiasili ndiyo hawa tunaowaita "madikteta". Na madikteta huwaadhibu WASIOWASIFU na SIYO WANAOSHAURI kwa lengo la kuboresha....

Kwa hiyo hata wewe kuwa makini unaweza kutelezeshwa kwenye ngazi na kujikuta umevunjika miguu na baadaye usemwe ulikuwa umelewa chakari kisha ukaanguka mwenyewe...

Hawa viongozi wa dizaini hii (madikteta) mwisho huwa siyo wa kawaida, huwa ni wa fedheha na aibu huku watoa sifa wanafiki (malaya wa kisiasa) wakiwa wameshapata "mabwana" wengine...!

Wanamgeuza laughing stock!
 
Nchi hii inaongozwa na mshamba mpenda sifa Acha ajifananishe na MUNGU Ila adhabu yake IPO karibu sana
 
Ninamuogopa Mungu sana. Mwanadamu si kitu mbele za Mungu. Angalau tungejua hivyo tusingesema tunayosema. Mungu akiamua leo niondoke hakuna wa kumpinga. Mwanadamu siku zake si nyingi na zimejaa tabu na shida. Jambo moja alisema mtumishi wa Mungu, mwabudu Mungu wako na jiepushe na maovu ya dunia hii. Kila mtu atachukua mzigo wake mwenyewe. Mwisho wa siku hakuna aliye mwema hata mmoja, wote tumeoza kwa matendo yetu maovu. Hakuna wa kumnyoshea mwingine kidole. Tujiepushe na kuhukumu wengine tusije tukahukumiwa. Ndiyo maana Yesu alikuja kutuokoa na dhambi zetu. Muache kusema yasiyompendeza Mungu kwa kumfananisha mwanadamu na Yesu wote. Raisi mwenyewe amesema tumombee hasije akawa na kiburi maana Mungu ndiye anayeinua na huyohuyo ndiye anayeshusha.
Bwana Mungu Mwenyezi,Muumba mbingu na ardhi akubariki sana "mzalendo wa kweli" mwenzangu.
 
Sifa anazo pewa Anastahili
na hawezi tupangia kumsifia au tusimsifie
tumeamua wenyewe
hatuna chakumlipa
tutamsifia akiwa hai na Akienda kwa Muumba
anastahili sifa zoote
Mswalie Mtume wewe binti! Huku unakoelekea utamkana muumba wako ili kumtukuza na kumwabudu mwanadamu badala ya Mola wako! Acha unafiq na mrejelee Mola akinusuru!
 
Nyerere alisifiwa sana lakini hakupenda misifa ya kijinga. Na alikuwa anajua sana kuwasoma wanaotafuta vyeo kwa kumsifusifu akawa hawapi au anatafuta namna ya kuwanyamazisha kwa vijembe vya hali ya juu.

Mheshimiwa Rais, stuka sasa hawa wanakusifusifu hovyo hawakutakii mema, wanakung'ong'a, wanakupaka mafuta kwa. mgongo wa chupa!

Wamekusoma, wamekuelewa kuwa unapenda ujiko na wao sasa kila mmoja anatafuta ujiko mkuubwa ili akupatie.

Na kimsingi hawa wanaosifu bila haya wanatafuta nini? Wanataka uwape nafasi tu washibishe matumbo yao.

Mheshimiwa these people are embarrassing you, yaani wanakupamba ili kukupanga, wakataze la sivyo watakufanya kituko ndani ya Taifa na huko nje kwenye Mataifa.

1. Kuna yule aliyedai ni mnyonge katoka huko kavaa barakoa lakini alipofika mbele yako mnyonge yeye kaamua kuivua.

2. Kuna yule anayedai utake usitake utalazimishwa Uraisi, Yaani upende usipende Katiba itabadrishwa kwa ajili yako.

3. Kuna yule aliyesema kuwa kuna sehemu ndani ya jiji la Dodoma sharti iitwe Magufuli city.

4. Kuna huyu anakuita YESU, kwamba ulipomtengua nafasi ni sawa na bwana Yesu anatwaa kilicho chake.

5. Kuna hawa kila baada ya sentensi moja wanataja jina lako

6. Bahati mbaya hata viongozi wa dini nao wameingia kwenye mkumbo, kuna yule sheikh aliyesema kuwa wewe ni kichwa sana na asiyekubaliane na wewe afe huku akiharisha akataka watu waseme Amen

7. Kuna hao wa makanisa ya kupiga hela, nao ndo kutwa kucha kuimba sifa kwako

Mheshimiwa ngoja nikwambie kitu, Mwenyezi Mungu anakataza kutukuza tukuza watu kupita kiasi kwa muktadha huu inabidi ukataze wanaokutukuza namna hii japo kiukweli kabisa wanakucheza shere, hawakutakii mema, sisi wananchi tunaona ni vituko kabisa maana tunawaangalia tunaona kabisa they don't mean it!

Mheshimiwa umebakiza miezi michache madarakani, baada ya muda itategemea kama Mungu ataamua kukurudisha kwenye hiyo nafasi au la, basi kaa chini ufikiri, je kipindi utakapokuwa nje ya hicho kiti hao wanaokutukuza tukuza wataendelea kukutukuza au sasa watatafuta "Bwana" mpya?

Mheshimiwa rais kuwa makini sana na malaya wa kisiasa, wao watatukuza yeyote atakayewapa madaraka, vyeo au pesa na hao malaya wa kisiasa pindi wakipata "Bwana" mpya ndo watakuwa wa kwanza kukuponda!

Mheshimiwa rais stuka! watu wanataka usiwakate kwenye kugombea ubunge!
Yani wanamsifu mpaka inakuwa kufuru na kutia kinyaa wanasiasa wabaya Sana hawajui wanavyozidi KUMSIFU na ndivyo wanavyomfanya adharaulike.
 
Back
Top Bottom