raisi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Walioitwa wafanyakazi wa majalalani ni wateule wa Rais na siyo wafanyakazi wa kawaida wasio wateule wa Rais

    Msemo wa walio okotwa majalalani uliletwa ama kusemwa na Waziri wa Mambo ya Nje, Professor Palamagamba Kabudi Msemo huu unawahusu wafanyakazi wote wanaodharau nafasi zao za kazi walizokuwa nazo awali na kujipendekeza kwa Rais na wengine wanauza hadi utu wao ili Rais awaone. Kila jambo wanalo...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Mawaziri lijalo Rais aingize Wazungu, Wachina na Wahindi na wakumbukwe teuzi za Serikalini na Taasisi za Umma

    Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais asisite kuwapa ubunge wa kuteuliwa wale anaoona wanafaa a kuwapa hata uwaziri ili tushirikiane nao...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ametangaza Jumamosi kuwa siku ya kitaifa ya maombi kwa ajili ya COVID-19

    Rais Yoweri Kaguta Museveni ametangaza muda mfupi uliopita kwamba kutokana na kufuatwa na mtu fulani aliyedai ameoneshwa na Mungu maono kwamba amwambie Museveni aandae siku ya maombi ya Kitaifa kumshukuru Mungu kulitoa Taifa katika janga la Corona ameamua siku ya tarehe 29 /8/2020 kuwa siku ya...
  4. JamiiForums Tanzania Raisi Mstaafu Kikwete!

    chadema oyeee, ...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 CCM kuzindua kampeni Jumamosi, Agosti 29, 2020 uwanja wa Jamhuri, Dodoma

    CCM inazindua rasmi kampeni za uchaguzi ujao siku ya Jumamosi katika viwanja vya jamhuri mjini Dodoma. Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Magufuli anatarajiwa kutikisa kitovu hicho cha nchi mji wa Dodoma na vitongoji vyake kwa hotuba yake ilopangwa maalum...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amekosea sana kuagiza magari ya kesi za Uhujumu Uchumi yapewe Taasisi za Serikali

    Raisi Magufuli amefanya kosa kubwa sana kuagiza kwamba magari yaliyotaifishwa kuhusiana na kesi za uhujumu uchumi yagaiwe kwa taasisi za Serikali kwa sababu mbili kubwa zifuatazo; Haya magari mengi ni ya zamani sana, zaidi ya miaka 10, na mengi yalinunuliwa kama used vehicles. Wamiliki binafsi...
  7. JamiiForums Tanzania Killery Clinton amwambia Joe Biden "don't accept results of 2020 Election''

    Huko USA kazi imeanza, sasa wameanza kutafuta visingizio baada ya kuona D. Trump anawapiga mchana kweupe, “Joe Biden should not concede under any circumstances because I think this is going to drag out, and eventually, I do believe he will win if we don’t give an inch and if we are as focused...
  8. JamiiForums Tanzania "Tunajua wanapolala, wanachopanga" - IGP Sirro

    Msikilize kwa makini IGP Sirro kuanzia dakika ya 33 hadi mwisho.
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Wagombea uchaguzi huu hasa nafasi ya Rais njooni na suluhiso la ajira nchini, leteni sera za kuinua wawekezaji wa ndani

    Hello bosses, Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni aibu kuona wanavyuo wengi wanahitimu wakati bado wengine wengi wako mitaani bila kazi au wanafanya kazi za chini sana ambazo hata hawakutegemea(kama vile ulinzi, vibarua, etc....) Ni muda sasa wagombea wetu mje na sera za kutatua tatizo la...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Katiba inasemaje kuhusu Rais aliyepo madarakani ikiwa anatetea nafasi yake ni muda gani anakuwa kama mgombea?

    Kwa wajuzi na wabobezi wa maswala ya sheria kwa mujibu wa katiba ya Tanzania na sheria nyingine zinasemaje kuhusu mamlaka ya raisi anapo kuwa mgombea kutetea nafasi yake"ni wakati gani anakuwa na kofia ya urais na ni wakati gani anakuwa na kofia ya mgombea? Nauliza hilo kwa sababu nilikuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

    Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
  12. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Rais Magufuli atapiga tena push up kwenye kampeni kuonesha anafaa kuwa Rais?

    Kampeni za uchaguzi wa mwaka 2020 zilikuja na vituko vyake. Moja ya vituko hivyo lilikuwa ni kitendo cha Magufuli kujaribu kuwashawishi Watanzania kuwa alifaa kuwa Raisi wa Tanzania kwa kuwa aliweza hata kupiga push up. Kuna watu walishangalia kitendo hicho, na huenda kuna watu walimpigia...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Kamwelwe fanyeni haya juu ya zuio la ndege za Tanzania kwenda Kenya

    Nawapongeza kwa hatua zilizochukuliwa za kuzuia ndege za Kenya kutua nchini. Sitaki kuwachosha na maneno mengi, ila nimeona mazungumzo yameanza kurejesha safari, mimi nina wazo hili. Kwa kuwa kenya wameanzisha utaratibu wa kutubeep, tukiwapigia wanaomba tuongee tuyamalize, mimi nashauri ili...
  14. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
  15. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai kumuomba Rais Magufuli ajenge Ofisi za TAKUKURU Kongwa ni sahihi?

    Ndugu wana bodi Leo kwenye uzinduzi wa Ofisi mpya za TAKUKURU Chamwino mkoani Dodoma, Sipika Ndugai amemwambia Raisi Magufuli kuwa Wilayani kwake hawana Ofisi za Takukuru . Kitu cha kushangaza ni kwamba ,Bajeti ya Bunge imepitishwa takribani mwezi mmoja sasa na yeye alikuwa ndiye msimamizi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, tafadhali mpeni Tundu Lissu ushirikiano, msaidieni atulie na baada ya uchaguzi ndio kesi zake ziendelee

    Tafadhali sana mheshimiwa sana, Raisi wetu, Dkt. Magufuli, yahusu huyu Tundu Lissu atakaporudi nyumbani Tanzania. Kama kweli alikuwa msaliti, ni Mungu tu ajuaye na ni Mungu tu aliye hakimu wa haki. Mheshimiwa sana, wewe ni Mkatoliki na pia mseminari, waijua vema hadithi ya mwana mpotevu na...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

    Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Sanaa ya siasa: Mbinu za Rais Magufuli katika medani hii

    Nimefuatilia siasa za Tanzania kwa muda mrefu, nimefuatilia haiba, mienendo ya kisiasa ya watu mbalimbali maarufu nchini. Miongoni mwa hao, nimefuatilia namna ambavyo raisi Magufuli hufanya siasa zake. Ufuatao ni uchambuzi wa mbinu na tekniki amazo raisi Magufuli hutumia ili kufikia malengo...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais kuvaa sare za chama ni sahihi?

    Wanajukwaa naomba kuuliza hili la walinzi wa Rais Magufuli kuvaa sare za CCM limekaaje?
  20. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli yuko vizuri kwenye ulinzi wa mitaji ya umma, yaani public capital kuliko Rais yeyote aliyemtangulia

    Moja ya majukumu makubwa ya Rais ni kusimamia vizuri mapato na matumizi ya serikali. Lakini ana kazi ingine kubwa sana ya kusimamia mitaji ya umma ambayo pesa za serikali zimewekwa kwenye vitega uchumi mbalimbali kwenye mashirika ya umma na taasisi ii hiyo mitaji isife. Tunakumbuka kwa marais...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…