Dkt. Mwele: Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Dr Mwele at twitter

calibrate
/ˈkalɪbreɪt/

verb
mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument) with those of a standard in order to check the instrument's accuracy. Asante Rolimodo @mwelentuli
IMG_20200504_201816.jpg
 
Ila hapo dada Mwele si walikuwa wanatafuta Covid pia ?Mimi naenda na idea kuwa sample zao zilikuwa contaminated. Maana kipimo hicho hicho kilisema invalid kwa Sungura,kikasema negative kwa oil.Ila wameshupalia tu positives.
 
Dr Mwele atulie atuachie Jamhuri yetu na Rais wetu

Kale ka gonjwa alichotaka kuleta mtafaruki kameishia wapi sijui Zica sijui nini

Vyombo vya Ulinzi vinatosha kutupa majibu

Hata Masks zao za mabebberu zinachunguzwa na majibu yatatoka soon

Zile propaganda za kutaka tusitumie masks za vitambaa ili tuvae zao zenye matakataka tayari zimesambaratishwa

This is Tanzania chezeeni kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama kipimo cha mimba umetoa mkojo wa mwanamke umeweka wa mbuzi alafu unategemea nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr Mwele atulie atuachie Jamhuri yetu na Rais wetu

Kale ka gonjwa alichotaka kuleta mtafaruki kameishia wapi sijui Zica sijui nini

Vyombo vya Ulinzi vinatosha kutupa majibu

Hata Masks zao za mabebberu zinachunguzwa na majibu yatatoka soon

Zile propaganda za kutaka tusitumie masks za vitambaa ili tuvae zao zenye matakataka tayari zimesambaratishwa

This is Tanzania chezeeni kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaonekana nawewe unafamilia ila wanao wakibahatika kuona hii comment,watasikitika sana
 
Ila hapo dada Mwele si walikuwa wanatafuta Covid pia ?Mimi naenda na idea kuwa sample zao zilikuwa contaminated. Maana kipimo hicho hicho kilisema invalid kwa Sungura,kikasema negative kwa oil.Ila wameshupalia tu positives.
Ni kweli. Kipimo kilichokuwa calibrated kusoma kitu fulani kitasoma hicho hicho. Ndiyo maana nasisitiza kuwa aliyepeleka sample ndiye mgonjwa wa COVID 19 maana kama shida ingekuwa ni vipimo basi kungekuwa na mkanganyiko mkubwa kwenye samples zote. Yani sijui mitanzania ndiyo hatuna akili au ni nini? Yani kila kipimo kimesoma vizuri ila hatuelewi. Kungekuwa na shida kama vipimo vyote vingesoma aina moja.

Yani tunakurupuka kijinga sana na kufanya siasa za kipuuzi kabisa tukiongozwa na mwenye nguvu.
 
Kipimo ulichokicalibrate kwa ajili ya COVID kitapima COVID ukiingiza sampuli ambazo siyo umeivuruga! Majibu yatakuwa hayana mantiki!

Dr Mwele at twitter

calibrate
/ˈkalɪbreɪt/

verb
mark (a gauge or instrument) with a standard scale of readings or correlate the readings of (an instrument) with those of a standard in order to check the instrument's accuracy. Asante Rolimodo @mwelentuliView attachment 1439721
Ndio maana Fenesi majibu yalikuwa unconclusive?

Na Sungura Undetermined?
 
Back
Top Bottom