rais

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia msiba wa mumewe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba pamona na Viongozi mbali mbali wa Vyama na Serikali na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia...
  2. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

    Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako. Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi. Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
  3. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Kwa niaba ya Watanzania, natoa pole kwa Mheshimiwa Rais kwa msiba huu uliotugusa!

    Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole na rambirambi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia msiba wa mume wake mpendwa. Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunamuombea Mwenyezi Mungu ampe Mheshimiwa Rais nguvu, moyo wa subira na faraja katika kukabiliana na pengo hili...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watu kufurahia kifo cha Mume wa rais wao kinaleta taswira gani kwenye taifa?

    Hii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla. Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki. Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
  5. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

    Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300. Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 . Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais. Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji. Mh Rais , anapenda usafi hata juzi...
  6. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Mume wa Rais Samia kuzikwa leo kizimkazi

    Mwili wa Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, unatarajiwa kuzikwa leo, Septemba 7, 2026, Kizimkazi, Zanzibar. Hafidh Ameir amefariki dunia leo katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Zanzibar, ambako alikuwa akipatiwa matibabu. Kifo...
  7. Ruwamangi

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Nchimbi kushiriki maziko ya mume wa rais zanzabar kabla ya swala ya Magharibi?

    Leo Zanibar kabla y jua kuelekea Magharibi kutakuwepo na ibada ya mazishi ya Mume wa Rais. Viongozi wakuu wastaafu na waandamizi wa serikali ya Jamhuri ya Muungano na mapinduzi ya Zanzibar watafika zanzibar. Uvumi wa kutoonekana kwa Makamu wa Rais aliyejiuzulu Utafutwa?
  8. N

    JamiiForums Tanzania Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

    Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo. Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha...
  9. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kifo cha mume wa rais, wananchi wabubujikwa machozi washukuru Mungu hata hiki kidogo. Mmh tumefikaje hapa!?

  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Atangaza Msiba wa Mwenza wa Rais Samia

    TAARIFA Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kimedani: Mtawala au Rais hawezi kuwa na Imani na mtu mwenye ndoto ya kuwa Rais au mtawala kama Yeye.

    Hamjambo! Mtibeli ni Mwalimu wa wote. Utake usitake. Ukishupaza shingo Kafie mbele na lazima jambo baya litakukuta. Mwanaume hawezi kuwa na urafiki na rafiki anayemtamani Mkewe. Hiyo ni Kanuni. Ukishakuwa mtawala utaelewa hili. Sisi Watibeli tunafahamu saikolojia ya mtu mwenye mamlaka na...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Rais Samia ametoa Shilingi trilioni moja ili kuwakopesha wakulima kwa riba ya 9% zipo NMB na CRDB nia kukuza Kilimo walau kwa 8-10%

    https://www.instagram.com/reel/Dc-fV2YAgEN/?stkn=MTI3M3czY3cyajR1NA==
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania “Kumtetea Rais Samia Mbele ya Wananchi Si Kazi Rahisi: Wingi wa Malalamiko ya Utekaji, Mauaji, Dhuluma na Ukosefu wa Haki Wazua Maswali Mazito”

    Kulingana na wingi wa matukio ya watu kupotea, kutekwa, kuuawa, kudhulumiwa, pamoja na malalamiko ya wananchi kuhusu mahakama kutotenda haki, kumtetea au kumsemea Rais Samia mbele ya wananchi ni kazi kubwa sana! Kwa sababu huwezi kumtetea kiongozi kwa maneno pekee wakati wananchi wanapaza sauti...
  14. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Ruto aagiza waamiaji haramu waondoke Kenya kabla ya 7 Sep 2026

    Rais wa Kenya, William Ruto, ameagiza kuanza kwa operesheni ya nchi nzima dhidi ya raia wa kigeni wasio na vibali na wanaoendesha biashara ndogo ndogo, maduka ya rejareja, vibanda na biashara za kuzunguka mitaani. Wafanyabiashara hao wameelekezwa kufunga biashara zao. Hatua hiyo inalenga kuzuia...
  15. murthehelp

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    Wakuu, kama tunavyofahamu, hivi karibuni tumeshuhudia mabadiliko makubwa katika uongozi wa juu wa nchi yetu baada ya Dkt. Emmanuel Nchimbi kujiuzulu wadhifa wa Makamu wa Rais, na Bunge kumthibitisha Mhe. Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati, kuwa Makamu mpya wa Rais. Ndejembi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anastahili Pongezi Na Heshima Kubwa Sana Kwa Hapa Alipolifikisha Taifa Letu. Amelivusha Nyakati Zote Ngumu Na Za Giza

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anastahili Pongezi,anastahili heshima na kuheshimiwa, anastahili kuungwa Mkono kwa kazi kubwa na njema aliyoifanya ya kulivusha Taifa letu katika nyakati Nguma na za...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar aahidi Tsh. Milioni 1 kwa kila goli, Tsh. Milioni 5 kwa kila ushindi wa KMKM na KVZ CAF

    Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kutoa motisha ya kifedha kwa timu za KMKM na KVZ FC ambazo zinaiwakilisha Zanzibar katika mashindano ya klabu barani Afrika yanayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Rais Mwinyi ameahidi kila timu kupata shilingi milioni tano (TSh...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais SAMIA SULUHU HASSAN auende Kamati ndogo ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo ya Tume ya Jaji CHANDE

    Kamati ya Kusukuma Maridhiano ya Kitaifa,tunapendekeza na kushauri kwa Rais SAMIA SULUHU HASSAN kuunda Kmati au Timu ya watu wasiopungua watano (5) kushughulikia utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa na Tume ya Jji CHANDE.Kamati au Timu hii iuendwe na watu toka Serikalini,Taasisi za...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Xi Jinping Beijing

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 4 Septemba 2024: Rais Samia Mkutano na Xi Jinping, China Tarehe 4 Septemba 2024, Rais Samia Suluhu Hassan akiwa Beijing, China, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais Xi Jinping wa China katika ukumbi wa Great Hall of the People. Mkutano huo ulifanyika wakati Rais...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni miongoni mwa viongozi mashujaa na madhubuti sana barani Afrika

    Sote ni mashahidi kwamba, Dr Samia Suluhu Hassan, alipokea nchi katika mazingira magumu ya kiuchumi katikati ya janga la COVID-19 na katika hali ya majonzi, masikitiko makubwa na huzuni ya kitaifa baada ya kufariki Rais hayati John Pombe Magufuli akiwa madarakani, na akatuvusha salama. In fact...
Back
Top Bottom