rais

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania UJUMBE WA SHUKRANI KUTOKA KWA Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

  2. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais wa Tanzania na tukio la kigaidi la September 11, 2001 (25th Anniversary)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Kuelekea maadhimisho ya miaka 25 ya tulio la kigaidi la September 11, 2001, Rais wetu wa JMT Samia S Hassan anaweza aka-post statement hii katika accounts zake za mitandao ya kijamii. ===== "As the friendly and peaceful people of the United States of America (USA)...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kazi za Makamu wa Rais ikiwa Rais hayupo ofisini kwa dharura

    Kwa UZI huu nampinga Sheikh Mkuu kwa kusema at Mh Rais akiwa Eda miezi 4 na siku 10 anaweza kufanya kazi muhimu fulanifulani kinyume na Quran 2:234. We can never dilute the Quran Verses. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, kazi na majukumu ya Makamu wa Rais...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais Samia: Kutoka kufungulia vyombo vya habari hadi udhibiti mkali

    Mjadala kuhusu uhuru wa habari nchini Tanzania umeingia katika sura nyingine baada ya Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, kusema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ndiye aliyerejesha uhuru wa habari baada ya kuingia madarakani Machi 19, 2021, huku akilituhumu gazeti la...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme kwazua kizaazaa Gambia, raia waandamana nchi nzima, Rais aomba radhi

    Rais wa The Gambia, Adama Barrow, amewaomba wananchi wake kuwa wavumilivu baada ya maandamano makubwa kuibuka mtaani kupinga kero ya kukatika kwa umeme kwa muda mrefu. Katika baadhi ya maeneo ya nchi hiyo, wananchi wamekuwa wakikaa giza totoro na bila umeme kwa hadi saa 48 mfululizo katikati ya...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asaini Kitabu cha Maombolezo Malkia Elizabeth II

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 9 Septemba 2022 — Kusaini Kitabu cha Maombolezo cha Malkia Elizabeth II Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alisaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, katika Makazi ya Balozi wa Uingereza, Oysterbay, Dar es Salaam. Malkia Elizabeth II...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Elimu ya Juu Walipa!

    Uwekezaji wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan katika elimu ya juu walipa. ■Wanaodahiliwa vyuo vikuu waongezeka zaidi ya mara one ■Alikuta wadahiliwa 51,489 leo nafasi zimefika 227,000 ■Ni wakati uwekezaji mkubwa kihistoria ukiendelea mikoani
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wasanii wamfariji Rais Samia baada ya msiba

    Wasanii mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Tungekuwa tunapambanisha Samuya na Ndegembi ungemchagua nani rais?

    Hoja iko wazi kabisa. Japo ni kizungumkuti sanaa na uchawa, kama wawili hawa wangeweza kupambanishwa, ungemchagua nani kati yao ? Nini sababu ya kumchagua au kutomchagua? Anafaa wapi na katika nini au kwanini hafai kabisa? None of the duo pia inaweza kuwa kigezo. Weka maoni yako tafadhali.
  11. Manyanza

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Samia kukaa mapumziko ya Eda siku 90

    Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa iliyotolewa na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi. Picha hiyo inadai kuwa, kufuatia msiba wa mume wake, Mzee Hafidh Ameir Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahirisha...
  12. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

    Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

    Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kaseya amfariji Rais Samia baada ya msiba

    Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Afrika cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (Afrika CDC) Dkt. Jean Kaseya akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia...
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Eda ni nini? Je, Rais Samia kuendelea kuongoza akiwa eda?

    Kifo cha Hafidh Ameir, mume wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, kimeibua maswali kuhusu kipindi ambacho mwanamke Mwislamu huingia baada ya kufiwa na mume wake. Kipindi hicho kinachojulikana kama eda kina masharti gani, huchukua muda gani na kinatofautianaje na maombolezo ya kawaida? Soma...
  16. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

    • 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania ▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza. ▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza...
  17. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Bibi alietembea kwa miguu ampe Rais zawadi ya kuku apewa gari

    Mwanamke mwenye umri wa miaka 52, Maggie Sapatu, kutoka Mwinilunga nchini Zambia, amezawadiwa gari baada ya kutembea kwa miguu karibu kilomita 1,000 hadi Lusaka kwa lengo la kumshukuru Rais Hakainde Hichilema. Maggie alianza safari hiyo Agosti 15, 16, akiwa amebeba kuku wawili wa kienyeji...
  18. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Rais ni nembo Ya nchi, Tumpende na kumpa ushirikiano wa kutosha

    Watanzania wenzangu, katika safari ya kulijenga taifa letu, tunahitaji kuwa na moyo wa kushirikiana na viongozi wetu. Rais ana jukumu kubwa la kuiongoza nchi na kusimamia mambo mbalimbali yanayogusa maisha ya wananchi. Kwa hiyo, tunapokuwa na jambo zuri linalofanyika, tusisite kulitia moyo...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Watanzania chuki zimezidi sasa mnashindwa hata kusema pole kwa rais wenu. Tumwombe Mungu atutoe hapa

    Kwa kweli comments za watanzania wengi juu ya kifo cha mume wa rais Samia Suluhu Hassan nyingi zimejaa chuki kubwa mno! Nilitegemea watu watoe pole kwa rais katika siku hii ngumu sana kwake kwa kufiwa na mumewe lakini niliyoyaona mtandaoni yameniacha na maswali mengi sana kuhusu hali ya kisiasa...
  20. aise

    JamiiForums Tanzania Pita Msechu ameshatoa wimbo kufuatia kifo Cha Mume wa Rais?

    Ambao mko karibu na vyanzo mnipe jibu
Back
Top Bottom