rais

  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu kubwa sana inatumika kumuhallaisha huyu dogo wao kwenye nafasi ya umakamu wa Rais

    Kuna jambo linafichwa ndio maana kuna nguvu kubwa sana inatumika kumpamba huyu dogo wao. Wanamjua mama yake ni Mzanzibar ila Kabudi alisema mama yake ni mchaga....🤣🤣 Hii nchi ina watu wapumbavu kwenye nafasi za muhimu sana
  2. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Tetesi:, Rais Dr samia wetu,na Dr.Nchimbi,wapo pamoja na wanawasiliana kwa jina la kaka na dada kila siku.

    Ndiyo habari iliyopo,wanawasiliana kama ndugu kila uchwao, kwa kuitana ""kaka na dada""kazi mnayo nyie vizabina zabina,mnaopenda biff. ""INAITWA CHENGA YA MWILI""
  3. T

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania haimtambui rais kama binadamu wa kawaida inamuona ni 'mungu'

    Ndio maana sishangai rais kuipigia debe hii katiba maana inamfanya awe kiumbe wa daraja la juu kuliko viumbe vyote Tanzania. Yaani hawezi kushtakiwa akiwa rais au hata baada ya kustaafu haitajalisha amefanya maovu kiasi gani. Kwa maneno mengine rais wa Tanzania anaruhusiwa kuvunja katiba...
  4. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Wait a Minute: Hivi Tunajuaje kuwa kweli Nchimbi Alijiuzulu Umakamu wa Rais?

    Na. M. M. Mwanakijiji Wanasifia "Katiba yetu nzuri" Wanasema wameridhia EN ajiuzulu Wakafanya kikao na kupendekeza mtu mwingine Wakampitisha Bungeni Wakaenda kumuapisha Ikulu Wakahamisha vimulimuli, ving'ora na saluti Wenye kupiga makofi na vigelegele wakapiga... Siku tano baadaye...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi katika Misa Dodoma

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, pamoja na familia yake wameungana na waumini mbalimbali katika kushiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Jumapili, katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu Katoliki Dodoma. Tarehe 30 Agosti 2026.
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku ni mnafiki, anasema Lissu hawezi kuachiwa kwa amri ya rais wakati fisadi Harbinder Seth na mwenzake waliachiwa kwa amri ya Rais

    Huyu mzee huenda kweli alimuuza Polepole akatekwa. Tulishuhudia baada ya Magufuli kufa Mafisadi papa wa CCM wakaachiwa kwa amri ya rais. Leo huyu mzee analeta porojo👇
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sifa za Uongozi: Ujumbe wa Rais Samia

    Hakuna shule inayofundisha kuwa Makamu wa Rais, bali sifa zako na bidii, weledi, nidhamu na utayari wako wa kujifunza kufuatilia na kusimamia shughuli mbalimbali za utekelezaji zitakusaidia kutumiza majukumu yako. -Mhe. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania
  8. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Makamu wa Rais aliyejiuzulu Dkt. Balozi Emmanuel John Nchimbi?

    Tangu ajiuzulu wadhifa wake amekuwa kimya mno. Je, ameenda kijijini kwake kwenda kulima na Kufuga? Emmanuel Nchimbi, nakukumbusha kumbuka viapo vyako ulivyoapa!
  9. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia katika mkutano wa 65 wa Nchi zisizofungamana na upande wowote(NAM)

    Huu ni mkutano muhimu katika nyakati hizi za mivutano ya siasa za kiuchumi na kikanda
  10. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa ujumbe mzito makamu wa Rais amwambia asiwe kama samaki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius John Ndejembi muda mfupi baada ya Uapisho wa Makamu wa Rais uliyofanyika Ikulu, Chamwino - Dodoma leo Agosti 29, 2026. Katika hafla hiyo Rais Samia...
  11. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania NI MATAMANIO NA MATARAJIO YA WATANZANIA WOTE, NDEJEMBI UTALITUMIKIA VYEMA TAIFA LETU – RAIS SAMIA

  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Ndejembi kuwa Rais wa awamu ya 7 kabla ya 2030

    Makamu wa Rais mteule ambaye anatarajiwa kuapishwa Leo aliyechukua nafasi ya Emmanuel Nchimbi aliyejiuzulu Mungu ameonionyesha kuwa kabla ya 2030 atakuwa Rais kamili Watu wa mtandao hawalali wako mbele ya muda, Rais awamu ya 7 anaandaliwa Sababu unaweza kuwa jambo letu la The Hague au...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Uapisho: Rais Samia akishuhudia uapisho wa Ndejembi kuwa Makamu wa Rais

    Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akishuhudia uapisho wa Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ikulu Chamwino, Dodoma Agosti 29, 2026. https://www.youtube.com/live/NULnL3jSsg8?si=MU1qd7w89oG2L0Dw Hapa kuna nukuu ya...
  14. H

    JamiiForums Tanzania BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS

    BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS. ▪️Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa...
  15. NYAQ

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu kuhusu uongozi wa Rais Samia na siasa za Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, uongozi wa Rais Samia una pande mbili tofauti sana: upande wa uchumi/maendeleo kuna mambo ya kupongeza, lakini upande wa demokrasia na siasa hasa baada ya uchaguzi wa 2025 kuna mambo mazito sana ya kuhoji. 1. Kwenye uchumi na maendeleo — kuna mafanikio Tanzania imeendelea...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Rais kwa asiempenda anabadili any time, wananchi tusiempenda hatuwezi mtoa

    Narudia tena, Kwa Tanzania organization structure Iko hivi Mungu - Rais wa JMT/Rais - wengine Kiufupi kiutawala Tanzania , ukiacha Mungu alie Mbinguni, katiba yetu imetupa Mungu Binadamu ambaye ni Rais wa Tanzania. Ambaye kila mtu, raia, majengo, bahari, mahakama, bunge, jeshi, raia, ardhi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamepiga kura kumchagua au kumkubali Makamu wa Rais?

    Hivi wabunge wamepiga kura kumkubali Makamu wa Rais au kumchagua? Kulikuwa na uwezekano wa kumkataa kweli? Kama ni demokrasia kwanini Rais asingechagua majina matatu halafu wabunge wapige kura kumchagua mmoja? Mi naona Makamu wa Rais ameteuliwa, mambo ya kura za wabunge ni kiini macho tu. Ndio...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa Kisheria Uteuzi Makamu wa Rais na AG Johari

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026. https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748 👆🏾👆🏾👆🏾 Tazama Video yote hapo juu.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Makamu wa Rais ukiondoka bungeni Dodoma

    Habari ndiyo hiyo.
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania BUNGE LAMTHIBITISHA NDEJEMBI KWA ASILIMIA 100 UMAKAMU WA RAIS.

    Waziri Mkuu asema anatosha, kiti kimempata mtu sahihi wa kumsaidia Mheshimiwa Rais. BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo (Ijumaa, Agosti 28, 2026) limemthibitisha Mheshimiwa Deogratius Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mheshimiwa Ndejembi amepitishwa kwa...
Back
Top Bottom