rais

  1. JamiiForums Tanzania Mfichuasiri wa Marekani aliesababisha Rais Trump kuanza Kuchunguzwa ajulikana

    Mfichuasiri 'whistleblower' aliepelekea Rais Trump kuanza kuchunguzwa na kupelekea kupigiwa kura ya kumuondoa madarakani kufanyika afichuliwa. Jana alhamisi Rais Trump alilaumiwa kwa kusambaza kiunganishi cha habari chenye jina la mtu huyo kwamba hii itafanya mazingira yake ya kazi kua magumu...
  2. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Magufuli na Awamu Yake ya Tano, Wafanya Maajabu Vita Dhidi ya Umasikini, Tanzania Yaongoza Dunia Kupunguza Umasikini Uliotopea-WB.

    Wanabodi, Hili ni bandiko la pongezi kwa Rais Magufuli na awamu yake ya tano. Naomba kuanza na angalizo, Kuna watu wana allergy na pongezi zozote kwa rais Magufuli na awamu yake ya 5, hivyo akifanya jema lolote au akipongezwa kwa zuri lolote, wao wanakasirika. Kwa vile bado tuko kwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aongeza muda kwa usajili wa laini kwa alama za vidole

    Rais John Magufuli ameongeza siku 20 kuanzia kuanzia Januari 1-20 kwa watu wote watakaoshindwa kusajili laini zao za simu ifikapo Desemba 31. Pia, leo Desemba 27 Rais amefanya usajili wa laini yake kwa kutumia alama za vidole Mwananchi ====
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Urusi awafukuza kazi Majenerali 5

    Rais wa Urusi, Vladmir Putin amewafuta kazi majenerali 5 waliokuwa wakifanya kazi katika wizara na mashirika mbalimbali. Kwa mujibu wa uamuzi wa Rais uliosambazwa katika mfumo wa sheria za serikali, Majenerali 5 waliokuwa wakitumika katika sehemu mbalimbli nchini humo kama vile wizara ya mambo...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

    Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo. Uongozi wake dhabiti, ujasiri na...
  6. JamiiForums Tanzania Kituo cha usalama kinachomlinda Rais Mstaafu wa Nigeria chashambuliwa na askari mmoja ameuawa

    Kituo cha usalama kilichoko karibu na nyumba ya rais wa zamani wa Nigeria Bw. Goodluck Jonathan katika jimbo la Bayelsa, nchini Nigeria kimeshambuliwa na watu wenye silaha wasiojulikana na askari mmoja ameuawa. Msaidizi wa Bw. Jonathan anayeshughulikia mambo ya habari amesema watu hao wenye...
  7. JamiiForums Tanzania Tunamuomba Rais aingilie kati hili suala la watu kutekwa

    Tunamuomba Rais wetu aingilie kati ili suala hili likomeshwe. Rais aliingilia kati suala la majambazi sasa hivi limepungua. Rais wetu ni msikivu, nchi hii hatujazoea watu kutekwa ni jambo geni. Tunamuomba aingilie kati na endapo watekaji watakamatwa waadhibiwe vikali. Tumuombee Rais wetu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli Amwaga Ajira Kwa Wahitimu JKT

    Rais Magufuli ameagiza vijana wote wenye elimu ya shahada ya kwanza waliohitimu mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) “Operesheni Magufuli” kupewa ajira katika taasisi mbalimbali za serikali. Ujumbe huo ulitolewa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aagiza vijana 800 wa JKT kuajiriwa

    [/URL] Rais wa Tanzania, John Magufuli Kwa ufupi Serikali ya Tanzania imetangaza ajira 40,000 kati ya hizo, 800 zitawahusu vijana waliojitolea kwa miaka miwili katika Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Dodoma. Rais wa Tanzania, John Magufuli ameagiza vijana 800 wenye shahada waliojitolea katika...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu. Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana? Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
  11. JamiiForums Tanzania Suala sio Rais Magufuli kuongezewa muda, bali ni nani atayaendeleza haya anayoyafanya?

    Hakuna ubishi ni ngumu Rais Magufuli kuongeza muda wa kukaa madarakani.Hii ni kwa sababu katiba ya Tanzania hairuhusu kufanya hivyo. Suala ambalo ni gumu kwa Watanzania ni nani atamrithi ili kuendeleza haya mambo mazuri anayoyafanya? Na kiongozi bora ni yule anayeandaa kuacha mrithi wake...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli asaini sheria ya Watanzania kujipima UKIMWI wenyewe

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Rais wa Tanzania, John Magufuli amesaini sheria ya Watanzania kujipima wenyewe Virusi vya Ukimwi (VVU). Novemba 12, 2019 Bunge la Tanzania lilipitisha marekebisho ya Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa VVU na Ukimwi yaliyoruhusu umri wa kupima virusi vya...
  13. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli anayafahamu haya?

    Rais Magufuli ni Rais asiyependa kuona watu wanafanyiwa dhuluma na kunyanyaswa. Mfano mzuri ni alipokuwa kahama alimuonea huruma toka moyoni kabisa mama ambae mume wake aligongwa gari na polisi traffic. Ila kiuhalisia huku ngazi za chini wananchi bado wanadhulumiwa na kunyanyaswa sana. Hasa...
  14. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuchika: Ukihisi umeonewa kwa kuwekwa ndani bila makosa fungua mashtaka

    Mzee George Huruma , Waziri wa Nchi , Ofisi ya Rais inayoshughulikia Uawala Bora kwa kweli umetufungua macho. Nimeona hii clip mahali. Kuna figisu figisu nyingi za kuchomeana na kubambikiwa kesi zinazoendelea nchini. Kuna maRC, maDC wanaona raha kumweka mtu ndani ili tu kujimwambafy. Kumbe...
  15. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raia wa Uganda auawa na kundi la watu wa Kongo

    Inaelezwa kuwa Mganda mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa katika shambulizi lililofanywa na raia wa Kongo kwa watu wa Uganda. Shambulio hilo lilitokea katika Soko la Nziapande, ambalo lipo takribani kilomita tano kutoka mpaka wa Uganda-DR Kongo ya Busunga wilayani Bundibugyo. Taarifa...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi Kama tukiamua kumfanyia mchakato Rais wetu kama Marekani wanavyofanya atakutwa na hatia ya kosa gani?

    Ninajiuliza tu huko kwa mabeberu walivyo na demokrasia ya hali ya juu. Hivi tukiamua kumshitaki kwa amani tu na upendo Rais wetu inawezekana ili na wao serikali yetu wakae mguu sawa katika uwajibikaji kwa wananchi inawezekana? Na kama inawezekana miaka minne sasa Serikali yetu imefanya vizuri...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Jafo awachana Mbinga Vijijini na kuwapongeza Mbinga Mji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amekerwa na utendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Mbinga vijiji kwa kuchelewa kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya Mapera. Jafo ametoa siku 17 majengo yote ya kituo hicho yawe yamekamilika. Kituo hicho kilipokea fedha mwezi Mei 2019 na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atoa onyo kwa wanaojenga mabondeni, wakipata madhara wasiilaumu Serikali

    Rais wa Tanzania, John Magufuli amewataka wananchi kujihadhari kujenga nyumba kwenye maeneo ambayo kuna mkondo wa maji. Mkuu huyo wa nchi ametoa tahadhari hiyo leo Jumatano Desemba 18, 2019 wakati anazindua mradi wa Visima vya maji Chato na kuzungumza na wananchi wa Chato katika uwanja wa Shule...
  19. JamiiForums Tanzania Uchunguzi dhidi ya Trump: Rais andika barua ya hasira kwa Spika Pelosi usiku wa kuamkia siku ya kura

    Rais Donald Trump na Spika Nancy Pelosi Rais Donald Trump ameukosoa uchunguzi unaokaribia kufanyika kwa kuandika barua kwa Spika Nancy Pelosi, akimtuhumu kutangaza vita vya wazi dhidi ya Demokrasia ya Marekani. Rais Trump anakabiliwa na kura ya uchunguzi itakayopigwa leo kuhusu madai kwamba...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Chato, Geita: Rais Magufuli afungua jengo la Mahakama ya Wilaya na kuweka jiwe la msingi jengo la Zimamoto

    leo Jumatano Desemba 18, 2019 Rais wa Tanzania, John Magufuli amehudhuria hafla ya uzinduzi wa jengo la Mahakama ya Wilaya ya Chato na uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Zimamoto na Uokoaji la Wilaya ya Chato mkoani Geita. Haya ni baadhi ya yaliojiri kwa ufupi. Prof. Ibrahim Juma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…