Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

Heri ya Krismass Mh. Rais wetu Rais Magufuli

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,303
Reaction score
2,022
Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo.

Uongozi wake dhabiti, ujasiri na uthubutu, Uzalendo na Busara zake ni ishara na kielelezo cha viongozi wa kiafrika kwa maendeleo ya Afrika.

Katika uongozi wako, umeweza kuleta maboresho katika nyanja zote za kimaisha hivyo kuhuisha matumaini ya kufikia Maendeleo ya Taifa.

Kama kuzaliwa kwa Yesu Kristo kulivyoleta matumaini ya kumshinda Ibilisi, Uwepo wa JPM ni matumaini ya maisha bora kwa watanzania

MERRY CHRISTMAS TO OUR LOVELY PRESIDENT
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Heri Ya Christmas Na Mwaka Mpya 2020
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Li fisi likila ugali sikukuu kama hii ya krismasi yanasumbua sana lingengoja jioni ifike lipite majalalani lingeokota makombo ya mifupa
 
....your "lovely" (sic!) president until October 2020 utmost!!
 
Binafsi namuombea mabaya yoote anayowafanyia watu nae yampate maradufu!!
Napenda kuungana na Watanzania na wanadamu wengine wote Rais wetu Mheshimiwa John Joseph Magufuli katika Kumtakia Heri ya Krismasi, kwa dhati kabisa, tunapaswa kumwombea afya njema, kumtakia Heri na Kumuunga mkono katika kuliletea Taifa letu maendeleo.

Uongozi wake dhabiti, ujasiri na uthubutu, Uzalendo na Busara zake ni ishara na kielelezo cha viongozi wa kiafrika kwa maendeleo ya Afrika.

Katika uongozi wako, umeweza kuleta maboresho katika nyanja zote za kimaisha hivyo kuhuisha matumaini ya kufikia Maendeleo ya Taifa.

Kama kuzaliwa kwa Yesu Kristo kulivyoleta matumaini ya kumshinda Ibilisi, Uwepo wa JPM ni matumaini ya maisha bora kwa watanzania

MERRY CHRISTMAS TO OUR LOVELY PRESIDENT

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ndio upendo tunao takiwa kuwa nao kwa Mh Rais wetu wa Haki na mpenda USAWA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye hawapendi watanzania wenzake, hasa wale wanaimkosoa.

Hebu angalia mateso anayowapa akina Eric Kabendera, Theodore pamoja na Tito Magoti.
Wamemkosea nini hata anadiriki kuwaamuru polisi wawabambikie vijana hawa wasio na hatia kesi ya utakatishaji wa fedha?

Hivi huyu dikteta anaamini uwepo wa Mungu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Merry Christmas Mr. President, uwe na maisha marefu
 
Badala ya kumtakia heri Baba na mama yako huko kwenu mashambani unajipendekeza kwa mtu ambaye hakujuwi hakika unahitaji ukombozi wa kifikra...hiyo ni roho ya kimasikini imekutawala akilini mwako

Una uhakika kama hajawapa Hongera wazazi wake?
 
Rais bora kabisa kuwahi kutokea tangu kuanzishwa Taifa hili, Jembe Rais wa Wanyonge kipenzi cha watanzania..

Viva Dr JPM, kura zote kwake 2020 ushindi wakishindo 99.9%..
 
Back
Top Bottom