Rais Magufuli: Sio vema wala haki viongozi wa kisiasa kuwakamata na kuwaweka mahabusu madaktari

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,979
Rais Magufuli amesema si vema wala haki viongozi wa kisiasa kuwakamata na kuwaweka mahabusu madaktari.

Rais Magufuli amesema hatoi kinga ya moja kwa moja ila anawatahadharisha viongozi wa kisiasa kuwa siyo jambo la hekima na busara kuwaweka rumande madaktari

Source ITV habari

My take; Ikumbukwe kuwa RC Happi wa Iringa alimweka lupango daktari hali iliyopelekea Waziri Jaffo kuomba radhi kwa jumuiya ya Madaktari!
 
Kama leo kuna kitu kaongea lakini ni tofauti kabisa na hotuba yake
Ngosha sio wa kumwamini sana, jukwaani anaongea hivi lakini kwa graund mambo ni tofauti.
Screenshot_2020-02-20-13-00-48.jpeg
 
Kura zinatafutwa 20202 hapo anaanza hararakati za kuwa karibu na makundi aliyoyatelekeza kwa miaka minne. Imeanza tasaf sasa madaktari wiki ijayo...!?!?!?
 
Ngosha sio wa kumwamini sana, jukwaani anaongea hivi lakini kwa graund mambo ni tofauti.

Hata hiyo idadi aliyosema madaktari waajiriwe 1,000, fuatilia vizuri utakuta ni fix tu. Sana sana anaweza kuajiri 100 ndio ikatoka hiyo.
 
Back
Top Bottom