rais

  1. JamiiForums Tanzania Ilala: DC Sophia Mjema athibitisha wagonjwa wa COVID-19 hospitali ya Amana kuleta fujo na kutaka kuondoka wakajitibie nyumbani

    Mkuu wa wilaya ya Ilala Bi.Sophia Mjema athibitisha wagonjwa kulazimisha kuondoka katika Hospitali ya Amana kurejea nyumbani. Pia soma > Wagonjwa wa Corona wadaiwa kuvunja geti hospitali ya Amana na kutoroka. Mwananyamala waleta vurugu wakitaka waruhusiwe --------- Mkuu wa wilaya ya Ilala...
  2. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Watanzania tunaitaji kusikia zaidi ya hotuba yako kwa vyombo vya ulinzi na usalama

    Mhe. rais km mpambanaji namba 1 kwenye taifa letu la tanzania lenye kila aina ya maliasili tulizobarikiwa na mungu. tunahitaji kusikia kitu kutoka kwako tunahitaji kufahamu hapa tulipo tuna fanyaje na huko mbele tunaendaje. Katika kipindi hiki kigumu mno kwa dunia na sisi tukiwemo janga hili...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya Corona adai kushushwa cheo baada ya kupinga matumizi ya Chloroquine ambayo Rais Trump amekuwa akihimiza

    Mkuu wa Taasisi inayotengeneza chanjo ya #COVID19 Dkt. Rick Bright amesema ametolewa katika nafasi hiyo baada ya kupinga tiba ya Chloroquine ambayo imepewa kipaumbele na Trump Dkt. Bright amesema amepewa cheo cha chini kwenye Taasisi ya Kitaifa ya Afya na anaamini uhamisho huo umetokana na yeye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mahasimu wa rais Buhari wanadai COVID-19 imemuua body guard wake wa karibu

    Personal body guard wa rais wa Nigeria ndugu Mohamadou Buhari afariki dunia jana. Ofisi ya rais imetaarifu Lawal Mato alifariki kwa kisukari ambayo imemsumbua kwa muda wa miaka mitatu. Ila Mahasimu wa Buhari ambao bado wanaendelea kusheherekea kifo cha aliyekuwa powerful chief of staff wa...
  5. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Corona Tanzania: Badala ya Madaktari Bingwa wa tiba kuliokoa Taifa, ni Bingwa wa Kemia ndiye analiokoa Taifa kwa ushauri wa kikemia

    Wanabodi, Hii vita ya Corona Tanzania inakumbana na twists and turns za ajabu ajabu!, kwa vile huu ni mlipuko wa ugonjwa, ilitegemewa madaktari Bingwa ndio wangekuwa wakombozi wa taifa letu kwenye janga hili, lakini kwa Tanzania ni maajabu matupu, badala ya Madaktari Bingwa wa Tiba! kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Ndugu WanaJF, Kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi na hata hapa JF kuhusiana na changamoto ya vipindi vya Televisheni ya Taifa (TBC1). Malalamiko hayo yameegemea zaidi katika eneo la ubora wa picha na ubunifu wa vipindi. Kwa bahati nzuri, Mkurugenzi pamoja na Watendaji wa Shirika...
  7. JamiiForums Tanzania Kiswahili cha Kisiasa Kwa Watanzania: Ikulu sio Eneo Specific, ni Makazi ya Rais, Tuna Ikulu ya Magogoni, Chamwino, Sasa Hadi Ikulu ya Chato!

    Wanabodi, Salaam, Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Madagasca wamepata dawa...nilimuona hata Rais wao anakunywa

    Wadau hili nikweli au madagasca wanatuzuga kuwa wamepata dawa ya corona
  9. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli afanya mabadiliko kwenye Sekta ya Afya kwa kumteua Mganga Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya

    Rais Magufuli ajitokeza, Afanya teuzi mbalimbali na kuboresha sekta ya Afya kwa kumteua Katibu Mkuu na Mganga Mkuu wa Serikali. Pia, soma: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz atoa msaada wa sh 500 milioni kukabili Covid 19 Zanzibar, makamu wa Rais Idd Seif awataka watanzania waache ukaidi

    Mfanyabiashara maarufu nchini ndugu Rostam Aziz ametoa vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya sh 500 milioni kuisadia Zanzibar katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Akipokea msaada huo na michango mingine ya sh 100 milioni kutoka Kagera Sugar na sh 12 milioni kutoka kwa Subash...
  11. JamiiForums Tanzania Kutoonekana kwa Makamu wa Rais

    Wakati taifa likiendelea kupambana na gonjwa hili hatari la Corona. Ni takribani zaidi ya mwezi mmoja sasa sijapata kumuona wala kumsikia Mama Yetu Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Namuona Waziri Mkuu na Waziri wa Afya tu. Nilitegemea wkati Rais yuko mapumzikoni mpaka sasa Basi angalau...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

    Ukiwa na matumaini makubwa ya kuwa raia namba moja nchini, ulianza kampeni mapema kwa kuandika mabango kwa mamia katika maeneo yote muhimu na pia katika structures nyingi zilizo barabarani nchi nzima! Kwa kuwa umegonga mwamba katika matumaini yako tafadhali tumia mbinu zile zile ulizotumia...
  13. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Samia Suluhu atuma salamu za pole kwa kifo cha Getrude Rwakatare. Amuombea upepo wa kisulisuli

    Makamu wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu kwa kutumia ukurasa wa Twitter ametuma salamu za rambirambi kutokana na kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu, Mchungaji Dkt. Getrude Rwakatare. Amesema "Kwa Masikitiko na mshtuko nimepokea taarifa ya kifo cha aliyekuwa Askofu na Mchungaji wa Kanisa...
  14. JamiiForums Tanzania Kisa cha Rais Magufuli na bwana Maakov Litzman Waziri wa Afya wa Israel juu ya COVID-19

    Katika hili janga la korona kuna hawa watu wawili wamenivutia. Rais Magufuli na bwana Yaakov litzman magufuli tunamjua ila Yaakov ni waziri wa afya wa Israel. Tatizo la korona lilipoingia Tanzania Magufuli alichukua hatua za haraka kuokoa umma wake kwa kufunga mashule. Baadae akasema watu...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli muongeze RC Makonda aongoze mapambano ya Covid-19

    Pole na majukukumu hapo Chato, Mheshimiwa Rais wangu. Baada ya kuwaza sana juu ya kuongezeka kwa idadi ya wagonjwa corona naomba nikuombe bomoa zile kamati muweke RC Makonda aongoze mapambano kwa sababu zangu ninazoziona. Kwanza Makonda akili imesha mkaa sawa sasa hivi naona ameamua kuongoza...
  16. JamiiForums Tanzania Wachina wakutwa na hatia ya kuwatupa wazamiaji wawili wa Tanzania baharini

    Wachina saba wamekutwa na hatia ya kujaribu kuwaua watanzania wawili kwa kuwatupa baharini karibu na mwambao wa KwaZulu Natal, mwezi uliopita Amiri Salamu(20) na Hassani Rajabu(30) walitoswa baharini wakiwa wamepewa ‘life jackets’ na chupa za maji wakaamriwa kuogelea. Siku tatu baadae...
  17. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais Zanzibar vipi ningetatua matatizo ya Muungano. Ni mambo Matatu...

    1) Tukumbuke Mwalimu Julias Kambarage Nyerere alisema sitawapiga Mabomu Wazanzibari wakikataa Muungano haki hio tunayo. Kama Rais Naamrisha Wabunge wote Wa Zanzibar ikiwa CCM au CUF ACT. Kutoka Bungeni Kurudi Zanzibar. 2) Nikiwa kama Rais wa Zanzibar Nasitisha Shughuli zote za Kimuungano...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Corona, Magufuli anaenda kuonekana shujaa

    Nchi zote duniani zimechukua tahadhari kubwa kuhusiana na hili gonjwa la corona, kuna serikali zimefungia raia wake wasitoke nje ikiwemo nchi za Africa Isipokuwa Tanzania. Kwa hakika hili la Rais Magufuli kuruhusu shughuli ziendelee anapaswa kupongezwa na sio kubezwa, watanzania wengi ni...
  19. JamiiForums Tanzania Coronavirus: Rais Magufuli awaomba Watanzania kumuomba Mungu kwa siku tatu

    Yumkini hali si nzuri. Rais kafunguka. ===== Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe magufuli ameandika: "Ndugu zangu Watanzania, kutokana na ugonjwa wa Corona, nawaomba tutumie siku 3 za kuanzia tarehe 17- 19 Aprili, 2020 {Ijumaa, Jumamosi na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Magufuli ametambua uwepo wa viongozi wa dini wakati huu wa ugonjwa wa Corona pekee?

    Leo ndiyo siku ya kwanza ambayo Rais Magufuli amewaomba viongozi wa dini nchini kote pamoja na waumini wao, wamliiie Mungu wetu ili atuondolee na autokomeze kabisa ugonjwa huu hatari wa Corona unaosumbua duniani kote Wito huo sisi waumini wa dini mbalimbali tunaupokea kwa moyo mkunjufu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…