Uchaguzi 2020 TLS kuvamiwa na AG: Uchaguzi wa Rais wao wazua sintofahamu

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,005
20,303
Katika hali isiyo ya kawaida , tangu mwaka 1928 TLS ilipoanzishwa, by the ikiitwa Tanganyika na mpaka leo inaitwa Tanganyika Law Society[huwezi kuita Tanzania law society kwakuwa kuna Zanzibar Law Socity] walikuwa na chaguzi za marais na ilikuwa ni kubembelezwa kuongoza chama.

Mwaka 2012 CCM ikaanza kupenyeza makada wake vyuoni na kuwa na matawi, ikapenyeza kwenye vyama vya wafanyakazi, bodi mbalimbali na wakamalizia na TLS;

Kimbembe kilianza pale Lau Masha alipohama CCM na kuingia CHADEMA , na ghafla akaona agombee urais, huku kada na mgombia Urais GODWIN MWAPONGO akachukua fomu kugombea TLS .

Nakumbuka ilikuwa 5-2-2016 pale viwanja vya mahakama Dar es salaam, yaani pale karibu na lile ghorofa kubwa linalochungulia ikulu ambalo iliamriwa floo za juu zivunjwe ili watu wasichungulie kwa MZEE BABA,[tofauti na marais wengine hawakuwa na woga huo]na baadae watu wa TISS kupewa appartments za juu, katika hotuba yake Magufuli alisema " TLS inaingiliwa na wanasiasa, naskia kuna mwanasiasa anataka kuwa rais wa TLS, kama mkimpitisha sitasshughulikia matatizo yenu.." wakulungwa wakapiga makofi, Mawakili binafsi wakaguna na kukanyagana viatu kimbea flani, kumkebehi "LAY MAN" anayewahutubia, infact yes he is Lay Man to date.

Wakati anasema hivyo Mwapongo katoka kukatwa Urais wa JMT kupitia CCM na MAsha siyo mbunge wala mwenyekiti wa mtaa, alikuwa na cheo cha " mume wa mke mmoja na watoto wawili tu" infact wanaotambulika, yale mambo yetu ya wazee hatutasema leo.

MzLISSU alikuwako pale, aliposikia hivyo mzuka ukapanda akachukua fomu ili apambane na Mwa[ongo maana aliona Masha hatoweza huo mziki ama atanunuliwa kwa vipande vya Pesa kama alivyonunuliwa na kurudi CCM.

LISSU alishindam, Mwakyembe na genge laki walichukia sana, wakapanga mikakati[kama ya Yuda iskarioti ]kumuangusha Lissu, wakaanza na kuzuia mikutano isifanyike AICC ARUSHA, wakafungua kesi kupitia kada wa ccm na mpiga dili za viongozi wakili Mpenzile , na Wasonga., kote wakashiindwa, wakapeleka mswada Bungeni TLS iwe saccos, wakashindwa sasa wamefanikiwa KUMUINGIZA KILANGI, anai munipulate na mpaka uchaguzi anaamua nani awe rais, maagizo toka juu.

Kaka Kilangi wewe ni mwanasheria japo una maringo na ka-english chako cha kuombea maji lakini nakwambai hao wansiasa wata staafu, wewe utaendelea na uwakili, utaficha wapi huu uovu?
Lo umeiandikia TLS barua ijieleze kwanini wanapitisha sheria yao ya uchaguzi wakati katiba inawaruhusu kufanya hivyo, mawakili si wajinga, wanakuchora tu!
 
Attachments

  • TLS.pdf
    389.5 KB · Views: 2

Mmmh ngoja nisubiri hadi mwisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TLS iliharibiwa na wanasiasa kina lissu

Tunataka TLS ile iliiyojaa weledi
Kenge kweli wewe, JIWE ndiye aliharibu kwa kuzuia watu antaratibu zao, alinza yeye LISSU akamalizia.
Mbona tangu 1928 TLS haikuwahi kuharibiwa? na wote waliopita kwenye uraisi walikuwa makada wa vyama mbalimbali ikiwamo KIBATALA, RWECHUNGURA , DE MELLO, FATMA KARUME, FAUZ TWAIB na wengine wengi? acha uchawi, kama hujui hii kada si UVCCM hapo unasubiri mgao wa hela mnazopora wahindi uweke bando, pumbav kweli wewe
 
TLS naijua mimi, ila mzee wa kubwata lissu Ndio aliharibu TLS huo ndio ukweli
Kenge kweli wewe, JIWE ndiye aliharibu kwa kuzuia watu antaratibu zao, alinza yeye LISSU akamalizia.
Mbona tangu 1928 TLS haikuwahi kuharibiwa? na wote waliopita kwenye uraisi walikuwa makada wa vyama mbalimbali ikiwamo KIBATALA, RWECHUNGURA , DE MELLO, FATMA KARUME, FAUZ TWAIB na wengine wengi? acha uchawi, kama hujui hii kada si UVCCM hapo unasubiri mgao wa hela mnazopora wahindi uweke bando, pumbav kweli wewe
 
U

Umetumia nguvu kubwa Sana kumjibu huyo lofa sidhani kama hata makao makuu ya TLS yapo mitaa gani!!!
Shule yenyewe Hana kichwani
 
Kwani anajua hata maana ya TLS huyo?

Para ya mwisho ndio muhimu
TLS ni kama chama cha kufa na kuzikana tu
 
UNAJUA TLS ACT?
unajua majukumu MATANO ya TLS?

1. KUELIMISHA.
2. KUKOSOA.
3. KUCHANGIA
Tatizo serikali ya MAGUFULI haitaki kitu kinaitwa kukosolewa, nafikir ni sawa na Corona kwake
Msomi, kazia swaumu na castle lite kidogo!!
 
TLS iliharibiwa na wanasiasa kina lissu

Tunataka TLS ile iliiyojaa weledi
TLS haina Hadji kama bodi za madaktari,wahasibu ,mainjinia

TLS ni kama kijiwe cha kahawa tu ianzishwe body ya wanasheria hiyo TLS ibakie tu kama chama cha kufa na kuzikana cha wanasheria
 
Back
Top Bottom