technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,842
Nilikuwa naangalia hotuba ya Trump leo usiku kupitia CNN, Trump ameishutumu China kwa kusema walifanya uzembe na kusababisha virusi vya Corona kusambaa Duniani.
Amesema Marekani inafanya uchunguzi mkali ili kubaini ukweli juu ya China kusambaza kwa makusudi virusi hivyo kwa Dunia.
Ila kauli iliyonishutua ni Hii kauli Trump alikuwa na maana gani? 'Amesema yeye asingekuwa Rais wa marekani wangekuwa kwenye vita na taifa la Korea'
Amesema anamtakia afya njema Rais wa North Korea!.
Wajuzi wa mambo ebu nielewesheni juu ya hii kauli ya Trump! ana maana gani?