Malema awatetea Polisi waliowaambiwa Waislamu kua Muhammad sio mkubwa kwa Rais Ramaphosa

Status
Not open for further replies.

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Wakati wananchi wa Afrika kusini wakiwa kwenye kipindi cha kujifungia ndani kukabiliana na corona baadhi wa waislamu waliamua kukiuka agizo la serikali la kukusanyika wakaamua kwenda ibadani kuomba baada ya mfungo wa waislam kuanza.

Baada ya watu hao kukiuka agizo la serikali la kukusanyika, polisi walienda kuwakatama na kuwaambia wafuate maelekezo na makatazo au amri ya rais na sio Mohammad kwani Rais ndie mkubwa .

Baada ya kauli hiyo ambayo ilinaswa kwenye camera, baadhi ya watu wakawashutumu askari hao kua wamekufuru ila Malema amewatetea kua hawajafanya kosa lolote, ni kweli Mohammad sio mkubwa juu ya amri ya rais wao.

-
In a reply to crime activist Yusuf Abramjee sharing a video of SA Police Service members raiding a Muslim prayer facility that was evidently in breach of lockdown regulations, EFF leader Julius Malema expressed his support for the work of the police.

Abramjee later tweeted: “Remember, all places of worship are CLOSED during the #Lockdown – Abide by the rules. If you don’t, you face arrest. There is no need to defy the law. Everyone must co-operate.”

He also confirmed that 17 people were arrested at a building in Pretoria West on Friday where they were found praying. The men were released on bail on Saturday, he said.

Religious gatherings have been outlawed during the lockdown, and will likely continue to be even once restrictions start to be gradually lifted from the end of the month as the country moved into level 4 of lockdown alert levels.

In the video, a group of Muslims can be seen at Friday prayers ahead of Ramadan with no one observing any social distancing measures.

The police can be heard chastising the group, and informing them they are all under arrest. One man who appears to explain something in mitigation is told, “You are an adult,” along with being told that they are blatantly ignoring a measure decided on by the president of the country.

“You mean the president is crazy,” the police ask them.

Controversially, one of the officers can be heard challenging the worshippers with a comment asking: “Are you bigger than the president? Heh? Or Muhammad is bigger than the president?”

Although Abramjee did not explicitly criticise the police or offer any opinion on these arrests in his initial video, he was nevertheless called out for alleged double standards (see below), as he had described a wedding in KZN as being in breach of the lockdown, while he did not say that about the prayer facility.

Malema, however, defended the work of the police and said they had done nothing wrong.

“Rubbish, nothing wrong here. We must all comply with the lockdown regulations irrespective of our background, colour, and religion.”

Rubbish, nothing wrong here. We must all comply with the lockdown regulations irrespective of our background, color, and religion. Attack @SAPoliceService
— Julius Sello Malema (@Julius_S_Malema) April 25, 2020
Abramjee is a hypocrite and he thinks we don’t see.
Look at the different captions for what is basically the same offense. pic.twitter.com/h5CGde6CGG
— King of Leon. (@MightiJamie) April 25, 2020
I get that…but there was no need for all the drama. Non of the people were resisting arrest.
— Richie_Zir (@RichieMcebo) April 25, 2020
I’m Muslim and my heart goes out to them but we need to adhere and listen to the lockdown rules this is for our own benefit and lives the police cannot being blamed for doing their work for once
— M J (@MTariqpossible) April 25, 2020
Nothing new here, people were arrested from a church and a wedding for not complying with the lockdown rules pic.twitter.com/0QN91qzS7e
— king of Confesssions Keith (@KaConfessor) April 25, 2020
They did the same in Christian churches nothing new here. Bht the insults are unneccesary.
— Sonwabile Spayidile (@sosospay) April 25, 2020

Malema defends cops asking Muslims defying lockdown: ‘Muhammad is bigger than the president?’
 
Kuna mwana harakati mmoja nchini Jamaica solomoni nzelaminde aliwahi kusema kwamba waafrica dini tuliletewa ili wazungu na waarabu waweze kututawala na kupora rasimali za waafrica .....

Ila watu walimshutumu mnooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yasiyokuhusu acha mzee dini ya mtu muachie mwenyewe mwisho uje muanzishe ligi bure humu

Maana hata ww hupewi chakula na Rais
Unamambo mengi ya kuwaza kuliko kuongea utopolo ulioandika hapa.
Bora nimwabudu magufuli atanipa hata Utendaji wa kijiji japo kwa figisu za kura!

Sasa huyo muhamadi wa kazi gani! Jitu la kale huko uarabuni!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa hapa eti wamepiga marufuku mikusanyiko huku wakiacha watu kujikusanya kwenye nyumba za ibada.

Unafiki unaofanywa na serikali unachangia huu ugonjwa kuendelea kusambaa, basi waache watu wajikusanye huku wakiendelea na shughuli zao za kila siku kwa sababu ktk nchi chovu kama hii, Lockdown haiwezi kutekelezeka.

Watu wa dini lazima watii sheria za nchi kwani dini ni taasisi tu zilizoanzishwa na wanadamu kwa ajili ya kumsujudu Mungu na hakuna dini iliyo juu ya sheria.

So they must toe the line or face the long arm of the law. They must know that if they transgress on the law, Mohammed, who is long gone, won't be around to help them.
 
Watanzania hatuna kazi za kufanya, tumejikita kukashifu imani za watu, kuchambana Instagram, facebook na twitter...hizi ni sifa za KIKE watanzania...hebu heshimuni imani za wengine na msiwe wajinga kiasi hicho!
 
Yasiyokuhusu acha mzee dini ya mtu muachie mwenyewe mwisho uje muanzishe ligi bure humu

Maana hata ww hupewi chakula na Rais
Unamambo mengi ya kuwaza kuliko kuongea utopolo ulioandika hapa.
kama unataka kumpambanisha rais na mtume jaribu,halafu upne nani yuko active zaidi.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom