rais

  1. JamiiForums Tanzania Upo uwezekano mkubwa Rais Magufuli hatoivusha Tanzania salama

    Kwa jinsi mambo yanavyoenda na huko tulipotoka, naamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa Rais Magufuli kutokuivusha Tanzania salama. Nimeona vihashiria kuwa sasa wananchi wanaonyesha kuchoshwa kweli na mwenendo wa siasa za kibabe za nchi yetu. Hili ni jambo la hatari. Ni kweli kuwa kwa muda wa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Ramadhan Hamis Ntunzwe, adai TRA hawajatekeleza agizo la Rais. Je, Kamishna Mkuu TRA afukuzwe kazi na Yono ifilisiwe mali zake?

    Kusema kweli mimi mkiristu kisa cha Ramadhani Ntunzwe kimenisikitisha Mwenye MB zako nisimwage chumvi Ona hapa[emoji116][emoji116][emoji116] Hii issue ikianza hivi natoa pongezi kwa Ramadhani kwa uvumilivu VIDEO: Hivi ndivyo mfanyabiashara aliyetajwa na Magufuli Baadae ikafuata hii mpaka...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Nchi yetu kuwa na Rais Mwanasheria au Mwenye elimu Juu ya Sheria (LL.B)

    Niweke haya bayana kua mimi sio mfuasi wa chama chochote hapa nchini. Taifa letu bado ni changa na ambalo ndio limeanza kukua kiuchumi kwa speed ya namna yake, huku bado bajeti yetu kwa zaidi ya asilimia 30 ikitegemea fedha za mabeberu ili iweze kujikidhi Tuna elewa msingi wowote ule wa taifa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi wa Umma kumuadhibu Rais Magufuli

    Sina mengi ila ni wito tu nautoa kwa watumishi wote wa umma kutoa adhabu kali kwa Rais Magufuli kwa kuupigia kura upinzani ili kumkumbusha nguvu mliyonayo kwa jamii. Maana licha ya mchango mlioutoa (hasa watumishi wa halmashauri) kwenye kumuweka madarakani mwaka 2015, amejifanya kuwasahau kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwaheri rais Donald Trump

    Huyu hajaikosa katika maishani mwake, matarajio yake yanatendeka vile anakuwa ameyatarajia. Sasa amesema Trump hatafaulu katika uchaguzi wa mwaka huu 2020.
  6. JamiiForums Tanzania Bernard Membe: Nikiapishwa kuwa Rais wa Tanzania viongozi wote wa dini (mashekhe) watarudishwa Zanzibar

    Kauli hii ina maana gani kwamba ni ahadi ya Mh Membe kuwa atakaposhinda kiti cha Urais na kuapishwa basi siku inayo fuata viongozi wa dini watarudishwa Zanzibar. Hapa anamaanisha mashekhe wa uamsho ama ni viongozi wepi hao? Na je kurudishwa Zanzibar tu ama kuachiwa huru kabisa mbona ameweka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi mbalimbali akiwemo DC mpya wa Ilala

    Rais Magufuli amemteua DED wa manispaa ya Kigamboni kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala. Kadhalika afisa elimu wa manispaa hiyo ameteuliwa kuu DED kule Mpimbwe mkoani Katavi. 2020 Hakunaga kama Dr Magufuli!
  8. JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Mzee Butiku, Tusiwa waoga ikiwamo kumfikia Rais Magufuli kwa hoja bila woga

    Amani ya Mungu alie mbinguni iwe juu ya Watanzania wote. Juzi mzee Butiku amesikika akisisitiza watu kutuwaogopa viongozi ambao ni wanadamu wenzetu, ambao kimsingi tukiwapigia kura, wanakuwa ni watumishi wetu kwa kukusanya kodi na kusimamia shughuli za maendeleo. Hata maandikiko matakatifu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ni mtu mwema na mwenye huruma wanaomuogopa ni wapiga dili na mafisadi

    Kama alivyosema Katibu Mkuu wa CCM Dr Bashiru kwamba Dr Magufuli ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Magufuli ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda. Ukiwa mwovu lazima utakuwa muoga. 2020...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kura kuwa ni zaidi ya lulu ever!

    Ndiyo, Rais Magufuli amenifanya nione kitambilisho changu cha kupigia kura mwaka huu kiwe zaidi ya hata mali ninazomiliki. Nimekihifadhi, nakitunza na nitakilinda ili nikamchinje mtu huku namkodolea macho kodoooooo! Ni kweli kuwa ndani ya utawala huu wa Rais Magufuli ndiyo nimeanza kuonja...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Ni rahisi zaidi kwa CCM kuachana na Rushwa kuliko wapinzani kuweka mgombea mmoja kwa Rais na Mbunge

    Pamoja na ukweli kwamba kwa upande wa CCM rushwa kwenye Uchaguzi ni sawa na sukari kwenye chai maana uchaguzi " haunogi" bila rushwa lakini wakithubutu wanaweza kuishinda Lakini vyama vya upinzani kushirikiana kwa kusimamisha mgombea mmoja kwa nafasi ya Rais na Mbunge ni kama vile ni jambo la...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya matukio ya kukumbukwa katika miaka mitano ya Utawala wa Rais Magufuli

    Mbunge wa Arusha Godbless Lema aliwekwa ndani kwa miezi kadhaa kwa kuota ndoto na kuielezea kuwa ameota Rais amefariki. Mbunge wa Mbeya alipata kesi ya uchochezi. Siku ya hukumu hakimu alipata maagizo kutoka juu kuwa ni lazima Sugu afungwe. Sugu alianza maisha ya jela. Sugu akiwa mtoto...
  13. JamiiForums Tanzania Je, hii 'Media Blackout' ya leo juu ya tukio zima la uchukuaji fomu wa Tundu Lissu ndiko kumuenzi vyema Mwanahabari Hayati Rais Mkapa?

    Nichukieni mtakavyonichukia GENTAMYCINE ila pamoja na kwamba nakipenda Chama changu Tawala ambacho ndicho Kimeshika Dola ya Kiserikali cha CCM, ila kama 'Mwanataaluma' kitendo kilichofanyika leo hasa cha 'Media Blackout' dhidi ya Tukio zima la Uchukuaji Fomu wa Tundu Lissu wa CHADEMA na ambayo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nyerere 1995 Mjini Iringa: Rais mchagueni Mhe. Mkapa lakini Mbunge chagua Mgombea atakayewafaa Jimboni

    Sabato ya leo nimejikuta najikumbusha kizungumkuti cha Uchaguzi Mkuu wa 1995 katika jimbo la Iringa Mjini. Wagombea wetu walikuwa Ben Mkapa ( CCM) vs Lyatonga Mrema ( NCCR mageuzi) kwa urais. Mwalimu wa Kemia Mfalamagoha Kibassa ( NCCR mageuzi) vs Kachero mbobezi Dr Hassy Kitine ( CCM) kwa...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Lissu alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe Rais wetu?

    Alitaka tufe na Corona kwa wingi ili Magufuli ashindwe halafu anataka awe rais wetu? Alisema Magiufuli atake asitake korona intamshinda na kuthibitisha hana uwezo wa kuongoza, alitaka korona ituue kwa wingi kuthibitisha yake sio? Si lolote si chochote ila anataka urais anufaike yeye na jamaa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Rais Magufuli asichaguliwe tena

    RaisMagufuli umejitahidi Sana kwenye ujenzi wa miundombinu, na kurejesha nidhamu kwenye utumishi wa umma na kiasi fulani kupunguza rushwa "ndogondogo". (Rushwa kubwa kubwa imeongezeka Sana). Lakini mafanikio yake haya yanafutwa, yanavizwa na yanafichwa na silka yake ya dharau, kutojali utu na...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abass: Pato la Tanzania limekua mara mbili zaidi katika miaka minne ya Rais Magufuli

  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Mzee Butiku: Hamchagui Rais ili mumuogope

  19. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi Kamati Kuu ya CCM hamuwezi kututeulia wagombea wapya kabisa wa Ubunge? Ziara za Rais Magufuli zilithibitisha Wabunge wengi ni mizigo

    Kwa bahati nzuri niliweza kufuatilia ziara zote za Rais Magufuli katika awamu yake ya kwanza ya uongozi. Kila aliposimama kusalimia wapiga kura wake alielezwa matatizo lukuki na wananchi wa maeneo hayo kana kwamba hawana mbunge na hii ni ishara kuwa Wabunge wengi wa awamu hii ni mizigo...
  20. JamiiForums Tanzania Wastani wa makusanyo ni Tsh. tril. 1 kwa mwezi, mishahara ya Watumishi karibu bilioni 700 kwa mwezi. Hata Rais atoke upinzani bado tuna safari ndefu

    Tuseme ukweli tu,hii nchi bado makusanyo ya mapato yako chini sana japo, serikali inajitahidi kuyaongeza. Ifike mahali Bunge litimize majukumu yake katika kuishauri Serikali itakayokuwepo madarakani 2020 na pia wananchi wayajue majuku yao katika kuchangia maendeleo na pia katika kuongeza pato...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…