rais

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku. Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli. Nakupongeza kwa...
  3. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  4. Mngurimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli Dullah Planet anastahili kuitwa rais wa Bongo Flavour?

    Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa. Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye tasnia ya burudani na michezo. Nisingependa kuongelea kwenye michezo maana hayo yamepita na...
  5. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Sifa Bora alizonazo Tundu Lissu zitakazomfanya kuwa Rais wa JMT

    Kama wewe ni mfatiliaji wa siasa za Tanzania na Afrika utakubaliana na mimi kuwa kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikosa kiongozi bora wakuongoza watanzania kwa maslahi ya taifa na wala sio vyama na wanaompa vyeo. Tulipata janga kama taifa baada ya kuongozwa na Mh Rais Magufuli ambaye aliokota...
  7. tikatika

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    Katika dunia ya sasa hakuna kitu kinaweza kupotea ili mradi kimewahi kutamkwa mbele ya jamii. Lakn pia tunaweza kupoteza vitu admu pale tu tutakaposhindwa kuweka kumbukumbu kwa vizazi vijavyo na vya sasa. Kwa kipindi kirefu tumekua na nukuu za Baba wa Taifa mwalimu nyerere. Ni wakati mwafaka...
  8. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania GE2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

    " TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kasi ya Rais Magufuli imemshinda Abood, anaweza asipitishwe kugombea Morogoro Mjini

    Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa. Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi wake wangekuwa wanamsaidia vizuri Rais kuitangaza na kuifafanua kwa wananchi Miongoni mwa miradi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shura ya maimamu yakana kutoa waraka wa uchaguzi, yampongeza Rais Magufuli kwa kuitokomeza Corona

    Amiri mkuu wa Shura ya maimamu Shehe Kundecha amekana Taasisi anayoiongoza kutoa waraka wowote unaohusu uchaguzi. Kundecha amesema yeye kama kiongozi mkuu wa waislamu hana taarifa yoyote juu ya waraka unaosambazwa mitandaoni na kwamba waraka huo ni feki. Shehe Kundecha amempongeza Rais...
  11. Chief Kabikula

    JamiiForums Tanzania Mahesabu makali ya Rais mstaafu Ally Hassan Mwinyi

    Rais mstaafu, Ally Hassan Mwinyi katika kikao Cha mkutano mkuu wa CCM leo amesema kuwa katiba lazima iheshimiwe lakini Rais Magufuli aongezewe muda wa miaka mitano ya asante kwanza halafu utaratibu wa miaka kumi utarudishwa kwa Marais watakaofuata. Mahesabu yake haya hapa, Magufuli akiongezewa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  13. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Malawi waandamana kumpinga Rais Chakwera

    Hatimaye taifa la Malawi lina rais mpya kutoka upande wa upinzani kufuatia uchaguzi wa marudio uliokumbwa na mbwembwe za kila aina kati ya rais anayeondoka na upinzani. Lazarus Chakwera ambaye ni muhubiri wa zamani wa kanisa la Evangelisti aliibuka mshindi baada ya kumbwaga rais wa zamani kwa...
  14. Nyendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli azungumzia wapinzani wanaohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kugombea

    Rais Magufuli akijibu swali la Sojo, MNEC kutoka Songwe aliyesema kwamba ametumwa na wanasongwe kuwasemea kuwa wanasononeka pale ambapo wapinzani wanapohamia CCM na kupewa kipaumbele cha uongozi na kuwaacha wanachama ambao walikipigania chama kufa na kupona 2010-2015, wanavunjika moyo wanapoona...
  15. Influenza

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ateua Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu Wakili Mkuu wa Serikali

    Rais Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba Aidha, aliyekuwa Mhadhiri katika Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar, Dkt. Boniface Luhende ameteuliwa kuwa Naibu Wakili Mkuu...
  16. James Martin

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, mambo unayoyafanya yatadumu?

    Sina uhakika kama hiki ninachokiandika kitamfikia rais lakini angalau Watanzania watajua kinachoweza kutokea huko mbeleni. Binafsi naona Rais Magufuli anapambana na UZEMBE NA RUSHWA kuliko marais wote waliopata kuiongoza Tanzania. Sikubaliani naye kwa kila kitu lakini kwa hili namsifia. Kitu...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania hii ndio sababu ya kwanini tuliandika katiba mpya, mnamchosha rais na kero zenu kwenye misafara yake

    Enzi za katiba ya zamani hapa kwetu ilikua hivi hivi kama tunavyoshuhudia kwa Watanzania, kwamba maskini wanyonge wanalaghaiwa na kunyanyaswa bila msaada wowote, hata wakifika kwa wakuu wa mikoa taswira inabaki ile ile, mpaka siku msafara wa rais utapita, kisha umpigie rais makelele hadi akuskie...
  18. J

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Nzega na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang

    LEO Julai 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Godfrey William Ngupula. Mbali na uteuzi wa ACP Bulimba...
  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kuteua ndugu kwenye Baraza la Mawaziri

    Rais mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amekosolewa kwa kuteua Baraza la Mawaziri linalojumuisha Mtu na Mke wake pamoja na watu wengine ambao ni ndugu Sidik Mia, ambaye ni Mgombea mwenza wa Rais huyo katika Uchaguzi wa mwaka 2019 amechaguliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi huku mke wake, Abida Mia akiwa...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unanifurahisha sana, endelea kuwaumbua wazee wa ndiooooo wanaotoa rushwa ili uchaguzi 2020

    Mzee JPM kunawakati inabidi nikupongeze tu hata Kama roho yangu haitaki . Hawa jamaa zako ambao hawana faida kwa taifa kazi yao ni ndioooooooo na kupiga meza wanaumbuka vibaya Sana. Kila siku yanakamwatwa kwa rushwa hii ndio Safi mzee baba yajifunze kuwa ushetani wao unamalipo hapahapa...
Back
Top Bottom